Udaktari ni kama ufundi bomba,mtoto wa fundi bomba atafundishwa ufundi bomba na baba yake mpaka pale baba yake atakapofariki ndipo mtoto huyu kipindi hiki akiwa kijana ataanza kuifanya vizuri kiasi kazi ya ufundi bomba na hatimaye na yeye atamfundisha mwanawe.
huwezi ukamaliza MD5 halafu uende kufundisha madaktari halafu tutegemee madaktari hao wawe wazuri...never!!ukienda Muhimbili utawakuta mababu,mababa na makaka kwa ujumla wao ndio wanwafundisha madaktari...hii ni sawasawa na uingereza,marekani na maeneo mengine wanaojitambua na sio IMTU au UDOM au Agha khan ya bongo au kwa sasa IFAKARA.
Endelea kubisha ila mtaendelea kuumbuka
Tunaposema huu upuuzi wa vyuo vya kata hautakiwi watu wanasema tuna dharau bora jamii inajionea yenyewe.
Ati mtu alifeli kidato cha nne leo hii anapewa cheti cha kuwa daktari...ukiuliza nini eti ooh tunapunguza uhaba wa madaktari...pambaff sana.
MY TAKE
- SERIKALI INATAFUTA KURA
- G.ABACHORI ANASAKA NOTI
- MLALAHOI ANASAKA AJIRA YA URAHISI
Mi nilijua tunajadili kwa mapana kumbe we unataka tukae ndani ya box tu!!!!
Hapo UD by then mi nasoma undergrad idara ilifikia kuwa na prof mmoja full mmoja associate, madaktari senior si zaid ya watano, wengi walikuwa masomoni na asst lecturers wakumwaga, wakati naanza MA wakarudi kutoka sabatical na wengine masomoni ikajaa tena idara!!!! Dynamics hizi sio Udom tu!!!!!Lower level cadres ni transition na ndio maana kuna external examiners na quality assurance!!!
Idadi ya seniors wanaoonekana kwenye karatasi na wanaoingia kufundisha discrepancy yake unaijua????!!! Watu wako busy na consultancies kwa taarifa yako, majina hayafundishi jamani ukienda notice board utafurahi kawaulizie sasa utajua ukweli!!!!
Mobility ni kawaida kwa wafanyakazi walitoka huko wakaenda UDOM wamerudi walikotoka au kwingine na wengine wanaenda na kuondoka, MUCE na DUCE zilichukua UD na kadhalika, sasa wewe unashangaa nini???!!
Kama unaona ubishi sawa ila hii nchi haiajawahi na haitofikia hivi karibuni standard ya vyuo kama tunaamua kujadili kwa mapana say a class of 45-90 students per class!!!! With teaching facilities na well equiped libraries!!!!
La kama tumeamua kupenda chongo mbele ya kipofu sawa ila hali ina changamoto kote kote!!!!
Tunaposema huu upuuzi wa vyuo vya kata hautakiwi watu wanasema tuna dharau bora jamii inajionea yenyewe.
Ati mtu alifeli kidato cha nne leo hii anapewa cheti cha kuwa daktari...ukiuliza nini eti ooh tunapunguza uhaba wa madaktari...pambaff sana.
MY TAKE
- SERIKALI INATAFUTA KURA
- G.ABACHORI ANASAKA NOTI
- MLALAHOI ANASAKA AJIRA YA URAHISI
Hili liko juu ya uwezo wako we kabishanie Israel na.Palestina, mabomu Arusha, Yesu na mtume ndio mambo yako. Au la matusi na yafananayo ndio level zako!!!!
Hoja yako yaweza kuwa na ukweli fulani lakini wakati mwingine inaweza isiwe kweli. Zamani watu walikuwa wanasoma wakiwa na umri mkubwa. Wapo walioanza shule wakiwa na miaka 15 au 12, siku hizi huanza shule na miaka 6 au 7. Zamani busara ilipimwa kwa kuwa na mvi kichwani sasa hivi hupimwa kwa vyeti alivyonavyo mtu. Miaka ya 1992 wakati serikali inaiondoa Mhimbili kuwa tawi la Chuo Kikuu cha DSM watu walipinga tena kwa migomo. Leo hii MUHAS inakubalika na kila mtu hata kimataifa. Jambo la msingi lilowapa MUHAS kukubalika ni utendaji wa wanafunzi wanaotoka MUHAS na sio jina la University of Dar es Salaam.
Cha kusikitisha ni kuwa wanaolalamikia kutofaa kwa UDOM ni wanafunzi au waalimu wa Muhimbili. UDOM na MUHAS kwa sasa ni washindani (competitors) au line staff. Katika ulimwengu wa ushindani hawezekani mshindani akusifu wala haikubaliki mkurugenzi wa kitengo fulani amtathimini mkurugenzi mwenzie wa kitengo kingine.
Hoja ya IMTU kutupa taka jalalani sioni ni jinsi gani linahusiana na ubora wa wanafunzi wanaohitimu IMTU na UDOM. Nilidhali hili linahusiana na uongozi wa chuo. It is more managerial issue rather than an academic issue. Lakini nijuavyo mimi wanafunzi waliohitimu Muhimbili mara zote wamekuwa wakijisifia kuwa wao ni bora zaidi kuliko madaktari waliosoma mahali pengine popote. Mfano wamekuwa wakiwabeza wanafunzi waliosoma Urusi, China, Hungary, Cuba nk nk. Sio ajabu kwa madaktari hawa hata wakiwabeza wenzo wa IMTU au UDOM. Kwa bahati mbaya waalimu wengi wanaofundisha katika vyo hivyo wanavyovibeza wanatoka Muhimbili hapohapo. Inakuwaje walimu haohao wakifundisha Muhmbili wanafundisha vizuri na wakifundisha IMTU wanashindwa kufundisha. Kama wanafunzi wa IMTU hawafai, wanafauluje sasa na marking scheme ni ileile! Hivi daktari aliyepasua kichwa badala ya mguu alisomawapi vile? Maana hii iliingizwa kwenye kitabu cha Guinness.
Mkuu uko vizuri sana, napenda unavyojadili.
Huwa najiuliza sana kwa nini watu hupenda kuzungumzia mambo serious kwa hisia binafsi na chuki pasi kujali facts.
Yani huyu anayejiita KIGOGO
cjui ananini kwny kichwa chake!
According to Dr Kawambwa, Udom ndo chuo kinachoongoza kuwa wanataaluma wengi kutoka nchi za nje, kinawanataaluma zaidi 45 na wengi wana PhD, karibu kila department wako wawili mpaka watatu, course niliyosoma walikuwepo watatu.
Sasa UDOM wameingiaje hapo? Maelezo yako hayaonyeshi bomu la UDOM.
litatokea tu
Mbona hamuongelei chuo chakavu UDSM, hiki chuo ni jana kwa taifa yani ndio kimetoa mafisadi kwa 99%, wasaliti wote kama Zitto wamepikwa UDSM, vibaraka na vijana wachumia tumbo kama Shonza wote wamepikwa UDSM! Janga janga janga.
Hata kama ulisoma U Dom Punguza hasira ndugu! matusi siyo issue!! yanatuchanganya sana tusiopenda mambo haya.mkivimbiwa mavi mnakuwa mabwege,nadhani wewe elimu haijakukomboa upo upo tu
Wewe k.u.m.a unaengoja udom ipate aibu utasubiri sana, dogo yuko pale jamaa wako vzr sana kuliko unavyowaza wewe k.u.m.a
Heeeeeeeeeeeeh!!!!!!??? katoka wapi huyu