meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,828
- Thread starter
- #21
haya bhana naona heri zenu mnaosoma vyuo vya taifa, mtuache na kata zetu maana tumeshaanza kuitana muhimbili na yule'wa Udom
tutaitana hivyo tu ili tusijichanganye na makanjanja wanaodhalilisha profession