Bomu la IMTU limeshalipuka, bado la UDOM!

Bomu la IMTU limeshalipuka, bado la UDOM!

thread hii ni nzito maana michango ni mkubwa
toka kwa members

post za namna hii huwa zinaibuka kipindi cha udahili kutokana na kuiogopa udom. Meningitis aliianzisha july 2014 na wewe umeenda kuuibua kuelekea july 2015. Kama udom ni hovyo tuiache ijifie yenyewe sio kuleta hoja zisizo na utafiti. Ni chuo gani tz hii na afrika kimeweza kusomesha walimu wake zaidi ya 400 ktk masters na phd ndani ya miaka 6? Time will tell.
 
Unajua post kama hizi zinaletwa na vijana Waliovunja ungo jana,
 
Hongera Dr Kikwete Kwa Kuwakomboa Watz Kupitia Udom, Sioni Chuo Cha Kukifananisha Hapa Bongo Waache Wasojua Kulinganisha Mambo Wapige Kelele Ila Utamu Wa Ngoma Ingia Ucheze
 
THE SylloGISM IS INVALID!
what a fool are we discussing?
mtoa mada this is uncritical thinking, hebu tupe facts ili tukuelewe, umefanya research? Na kama umefanya umetumia vigeto/kigezo kipi??
 
THE SylloGISM IS INVALID!
what a fool are we discussing?
mtoa mada this is uncritical thinking, hebu tupe facts ili tukuelewe, umefanya research? Na kama umefanya umetumia vigezo/kigezo kipi??
 
Mara mia Bomu la IMTU na UDOM ila bomu baya zaid ni bomu la Kampala international unvrsty kwa kitivo cha sayansi hilo ndio baya zaid coz pale ni ujinga ujinga
 
Haiwezekani kabisa.kichaa wa usa ni bora kuliko kichaa wa Tanzania,oooh no mtu aliyezaliwa uingereza ni bora kuliko aliyezaliwa usa.no no no pickup iliyotengenezwa japani ni nzuri kuliko iliyotengenezwa ujerumani.sisi ni intellectuals tunajadili mada muhimu kwa ajili ya maendeleo ya nchi hii.!!!!!!!!!!!!!masikini wtz tupo karne ipi bc?
 
mnatoana povu bure, katika elmu hii; mnashindanaa kumeza tu! na kudharauliana pasipo sababu. mnapimwa kwa maswali ya kwenye makaratasi [afu mnakua mmeyarudia rudia weeee!] ndan ya masaa matatu, mkipatia ndo mmefaulu, ndo mmekua 'vipanga'. cc tunataka kuwatambua kwa kazi zenu, co vyuo vyenu. af mtihani co kipimo knachojitosheleza kupima 'ukilaza' au 'ukipanga' mtu!
 
Mkuu ww ndo umemaliza kila kitu no comment
 
Hao wa UDSM wanatusaidia nini? kuna wachumi kibao akiwemo na mkuu wa nchi
lakini wanaisaidia ni ni nchi yetu zaidi ya umasikini kuzidi siku hadi siku, hatutaki
Elimu ya kwenye makaratasi tunataka Elimu ya vitendo, mimi ni std 7 lakini siwaelewi
wasomi wetu.

UDOM kina maprofesa wangapi unaajua?walipata uprofesa wakiwa UDOM?Hopeful unajua professors na doctors wa UDOM walikuwa wanafundisha UDSM!So ujuzi wao uliisha baaad ya kwenda UDOM?
 
Inaonekana huu jamaa mleta mada sijui ni daktari by professional, na kama ndio, basi inaonekana alisoma kwa shida sana,na anapoona watu wengine wanakuwa madaktari roho inamuuma vibaya.

Kuna madaktari wana roho za kichawi kweli. Huyu mtoa mada anataka wawe wachache ili wagonjwa waendelee kumsujudia. Pia ana akili mgando ya kutegemea mshahara wa serikali, wakiwa wengi mtaani serikali itatoa ajira nyingi na mshahara utakuwa haungezwi maana demand inakuwa ndogo. Badilika ndg yangu mtoa mada sìo kuwa daktari we ndo hata kujiongeza ktk miradi huwezi. Kwa staili hii wewe mtoa mada lazima utawachukia madogo japo haitasaidia maana ndo washakuwa madokta japo hupendi. Hata f4 anaweza soma na kufaulu udaktari bila shida tena wapo mpaka mabingwa wameanzia scratch. We endelea kukariri na Muhmbili yako,utaishia kuona vumbi tu . Badilika wewe dunia ya leo sio ya zama zako!
 
Ha haha Mwambie huyooooo
 
Namuunga mkono mtoa thread.Ni muhimu sana serikali kjcuatilia kwa makini vyuo vi avyotoa mafunzo ya udaktari na uuguzi kwani haya ni maisha ya watu we are talking about.kuimarisha vyuo vyake vya uuguzi na udaktari ni mkakati mmojawapo wa kuboresha taaluma hii.pia madaktari mabingwa wasigomee kutoa ujui hata kwa hao form 4 failure kwa sababu uko mbeleni watakuja kuwatibu hata wao na watoto wao pia na wasipokuwa vzr watatumaliza.tulipoleka wagonjwa india tunajua manake huku unaambiwa mtu anaumwa hiki ukifika india wanagundua ugonjwa tofaufi ma isa
 
serikalini kuna shida kubwa hasa kuendekeza vyeti, unakuta mtu alifeli uko akapata ki certificate cha ajabu ajabu lakin anamjua mtu seriklaini anapata kazi kutokea kule anaanza vikozi vya kujiendeleza unajua serikalini u free mwingi sana kwa iyo muda wa kusoma ujinga ujinga wanao, mtu anaunga unga mara anapata kidegree cha kozi za jion, akitoka apo anapata masters ya kozi za jion na kuendelea mwisho wa cku mtu anaonekana amesoma ana qualify lakin kwa sampuli ya kuunga unga sasa unajiuliza izi akili za ukubwan zimetoka wapi? kule chini o level alifeli tena hata 4 leo hii ana masters kivip?

nadhan kungekua na sheria ili mtu usome degree at least o level uwe ulipata div 3 na ili kusoma masters basi at least o level uwe ulipata div 2 na mtu asiruhusiwe kusoma masters kama degree yake ya kwanza ilikua kozi ya evening class maana tunajiuliza izi akli za haraka haraka zimetoka wap?

mtu anayefikia phd na masters awe at least o level na a level alipata 1 au 2 na degree yake ya kwanza isiwe ya kozi za jioni
maana kozi za jion tunzijua nyingi walimu hawakaz kivile alafu wanachukulia watu ni wazima wako kazini iko loose sana mtu aliyepata degree kozi za jion huwez mlinganisha na aliyepata degree kozi ya asbui hata wakitetea vp

kama upuuz huu uko hadi kwenye sekta ya afya basi tumekwisha!!!
 
Back
Top Bottom