Micro E coli
JF-Expert Member
- Oct 31, 2011
- 938
- 192
Katika siku ambayo MAT chama cha madaktari Tanzania nimeona vichaa ni jana badala ya kushauri maboresho wanashauri chuo kufungwa ni hawahawa kila siku wanalalamika ni wachache je kila taasisi ikikosea ifungwe?kama ndivyo mbona Muhimbili walikata mguu badala ya upasuaji wa kichwa and that is a dangerous Doctor can do je warishauri Muhimbili ifungwe?waje hapa wajibu.