Bomu la IMTU limeshalipuka, bado la UDOM!

Bomu la IMTU limeshalipuka, bado la UDOM!

Niliwahi kuhudhuria kikao cha wazazi kwenye shule moja jijini Dar wanaposoma wanangu kiukweli I was so disappointed baada ya kusikia baadhi ya wazazi wakitamani watoto wao one day wasome udom.Yaani Mtoto umlipie ada 1.5m kwa mwaka shule ya msingi then university akasome Udom-si majanga hayo?

Mimi namuonea huruma mtoto wako kwa kuwa na mzazi mwenye ubongo mdogo namna hiyo. Bila shaka huyo mtoto hataweza kusoma chuo chochote as long as amerithi that small brain yako.
 
Point yake mbona ipo wazi unashindwaje kuielewa? Anamaanisha kama walimu wake ni wa 2000s hakuna senior staff wa kutosha.

Wa kutosha wanaanzaia wangapi????!
2000 mpaka leo ni 14 years, inachukuka miaka 3-4 kufanya PhD sasa publications na post doc ni suala jingine kabisa achilia mbali mkopo kwa ajili ya hiyo PhD!!!!! Vikwazo vipo kuanzia Research, Consultancy mpaka Teaching ndio maana nasema politics na dynamics za vyuo vya juu ni mada mtambuka sio name and shame matter!!
Chuo chenye wakufunzi wa kutosha hapa Tanzania kiko wapi???!!
Hiyo UDOM ilianzishwa na bado ikihitaji walimu wanatoka vyuo vikongwe, ukienda Dodoma kuanzia CBE, Hombolo, Sjut, Mipango vyote vinalishwa na wakufunzi kutoka UDOM, unajua hilo???!!!! SAUT mwanza watu wanatoka UD sasa huoni ni kitu ambacho kipo almost kote na ku narrow down tatizo as of UDOM ni black sheep mnajidanganya?????!!!!!
 
Naona unachanganya mada hapa, hiyo issue ya mguu haikua MUHAS ila MNH,,waliofanya hivyo waliadhibiwa ikiwa ni pamoja na kusimamishwa kutibu kipindi kile!
Nacho kisema nakifahamu, unafahamu Prof.Fabian kilichomtoa kwenda UDOM? Ni kutokana na ----- unaoendelea hapo, nazungumzia kufungwa kwa muda na marekebisho yafanyike, i understand kunachangamoto ktk uanzishwaji wa chuo lakini hiki mlicho kifanya cha kutupa miili IMTU hakijadiliki na sio cha kibinadamu, haijawahi kutokea duniani, hakika mmeandika historia ya ajabu, vitendo vya wanafunzi kutoka cadaver room na viungo ni kiashiria tosha kuwa kuna shida, na shida kubwa ktk admistration!

Good waliadhibiwa waliofanya vile sio taasisi hiyo ya MNH,iweje Imtu kama taasisi iadhibiwe kama MAT wanavyosema asiwe mtu aliyefanya vile taarifa zinasema yupo aliyetumwa kuteketeza mabaki yeye akatupa.
 
UDOM ndio usiseme,maana hata wakufunzi wao ni vituko!!unakuta lecturer anashindwa challenge kidogo tu toka kwa wanafunzi,maana anakua hanatofauti yoyote ya ufahamu wa mambo kulinganisha na wanafunzi wake.hili nalo ni bomu lingine kaka.

Wakufunzi wengi wa UDOM wametoka SUA, UDSM na MZUMBE.Kama issue hawajui kufundisha, basi vyuo walivyotoka hao wakufunzi ndio vitakuwa na matatizo makubwa kuliko UDOM yenyewe.
 
IMTU, UDOM, IFAKARA & sasa Peramiho ni majanga ya taifa kwa ustawi wa afya nchi hii.....FULL STOP!!
 
Boya wee Mi nimemaliza Udom and am the best perfomer kazini acha danganya watu kama kichwani huna kitu hata ukisoma haverd sawa na bure
 
Unajua mtu huonekana mwerevu kwa jinsi anavyojenga hoja.Mnakisema sana udom kuwa haina ubora na hawafundishi vizuri wakati huo asilimia 90 ya walimu wa pale ni kutoka udsm ambacho mnakiona ndio chuo bora sasa hapo ni nani alaumiwe?Isitoshe viongozi na mawaziri wasiojielewa wengi wao wamesoma udsm sasa swali linakuja why udom and not udsm kwenye source ya matatizo?
 
Wa kutosha wanaanzaia wangapi????!
2000 mpaka leo ni 14 years, inachukuka miaka 3-4 kufanya PhD sasa publications na post doc ni suala jingine kabisa achilia mbali mkopo kwa ajili ya hiyo PhD!!!!! Vikwazo vipo kuanzia Research, Consultancy mpaka Teaching ndio maana nasema politics na dynamics za vyuo vya juu ni mada mtambuka sio name and shame matter!!
Chuo chenye wakufunzi wa kutosha hapa Tanzania kiko wapi???!!
Hiyo UDOM ilianzishwa na bado ikihitaji walimu wanatoka vyuo vikongwe, ukienda Dodoma kuanzia CBE, Hombolo, Sjut, Mipango vyote vinalishwa na wakufunzi kutoka UDOM, unajua hilo???!!!! SAUT mwanza watu wanatoka UD sasa huoni ni kitu ambacho kipo almost kote na ku narrow down tatizo as of UDOM ni black sheep mnajidanganya?????!!!!!

Mkuu mbona unachanganya vitu ambavyo hazihusiki mwenye point nliyotaka kukusaidia kuielewa? Ishu iliyopo hapa ambayo wala haihitaji mjadala ni kuwa UDOM ina uhaba mkubwa wa senior staff. Hata PhD holders waliovutwa kuja wakati wa mwanzo toka UDSM wengi wameshaondoka. Wamebaki wachache sana. Sasa kama umeamua kubisha kuwa UDOM hakuna upungufu wa senior lecturers, wee bisha lakini huo ni ukweli upo wazi. UDOM imejaa lower level cadres ya academic staff.
 
IMTU, UDOM, IFAKARA & sasa Peramiho ni majanga ya taifa kwa ustawi wa afya nchi hii.....FULL STOP!!

Huwezi kuongelea suala kama hili bila data wala analysis, na hata kama unatumia indicators zitaje tuzijue tujadili.

Hata ukitaka kujadili twanga na ngwasuma kazima uwe na vipimo mkuu!!!

Tuwe na vigezo!!
 
IMTU, UDOM, IFAKARA & sasa Peramiho ni majanga ya taifa kwa ustawi wa afya nchi hii.....FULL STOP!!

We ndio kiazi kweli hivi sasa ndani ya chama chetu cha CCM mpango ni kuongeza udahili wa wanafunzi wa udaktari na vyuo ilikuendana na mahitaji ya nchi wananchi wanahitaji huduma sio makelele yenu vilivyopo vitaboreshwa.
 
Kwa jinsi tulivyo watu wa ajabu! Badala ya kujadili matatizo na suluhu sisi tumebakia kuibua hoja za matabaka. Si chuo gani; sijuhi taasisi gani!
Tunajadili hoja nzito tena juu juu tu kisa watu wanajua ku-log in kwenye social networks badala ya kushirikisha akili zetu ili tufikirie nje ya boksi na kutatua matatizo yetu! Jamani tuache kuendeshwa na matukio na mihemuko!

Inabidi tukubali kumeza ukweli mchungu kuwa masuala ya elimu na afya ziko taabani si ktk sekta binafsi wala za umma. Na hii huchangiwa kwa kiasi kikubwa na hulka yetu ya bendera fuata upepo.. Tunaendeshwa na matukio tu pamoja na kuamini uongo wa wasaka tonge!

Eti tunajitoa ufahamu wa matukio ya wagonjwa kulazwa chini sakafuni (hasa akina mama wajawazito na watoto)! Tunajifanya kusahau jinsi ambavyo ndugu zetu wana-uawa hospitalini kwa kukosa huduma stahiki! Eti tunaona hili la kutupa miili ya marehemu msituni kuwa ndo jipya! Kweli? Ndiyo linahuzunisha na misingi ya taaluma lazima izingatiwe! Lakini kuwafanyia unyama binadamu wakiwa hai ni fedheha

Tuache unafiki! Haya yanayotokea sasa pale IMTU ni upeo wa yale maovu tunayowafanyia wagonjwa kwenye hospitali zetu!
Hapa tulipofikia serikali ingejibebesha jukumu zima la kusimamia na kuendesha hospitali na taasisi zote za elimu hapa nchini. Huu utaratibu wa kuweka nguvu kwenye ukaguzi wa taasisi binafsi ilhali za umma zinaongoza kwa huduma duni ni kujenga matabaka ndani ya jamii.
Nani asiyejua kuwa hospitali za serikali ndiko wengi wanaziacha roho zao au kurudi nyumbani na matatizo yasiyojulikana tiba kutokana na huduma duni zinazotolewa kwenye mazingira ya kubahatisha!

Nawashauri watanzania wenzangu; tusimame imara tudai haki zetu za msingi. Tunajitafutia fursa za ajira na maendeleo binafsi ni vema tukawa na uhakika wa huduma bora za afya na elimu kwanza!
Kama inawezekana tuandae mjadala wa kitaifa ili tujue hatma yake! Acheni siasa kwenye mambo nyeti!
 
Wewe k.u.m.a unaengoja udom ipate aibu utasubiri sana, dogo yuko pale jamaa wako vzr sana kuliko unavyowaza wewe k.u.m.a
 
Mkuu mbona unachanganya vitu ambavyo hazihusiki mwenye point nliyotaka kukusaidia kuielewa? Ishu iliyopo hapa ambayo wala haihitaji mjadala ni kuwa UDOM ina uhaba mkubwa wa senior staff. Hata PhD holders waliovutwa kuja wakati wa mwanzo toka UDSM wengi wameshaondoka. Wamebaki wachache sana. Sasa kama umeamua kubisha kuwa UDOM hakuna upungufu wa senior lecturers, wee bisha lakini huo ni ukweli upo wazi. UDOM imejaa lower level cadres ya academic staff.

Mi nilijua tunajadili kwa mapana kumbe we unataka tukae ndani ya box tu!!!!
Hapo UD by then mi nasoma undergrad idara ilifikia kuwa na prof mmoja full mmoja associate, madaktari senior si zaid ya watano, wengi walikuwa masomoni na asst lecturers wakumwaga, wakati naanza MA wakarudi kutoka sabatical na wengine masomoni ikajaa tena idara!!!! Dynamics hizi sio Udom tu!!!!!Lower level cadres ni transition na ndio maana kuna external examiners na quality assurance!!!

Idadi ya seniors wanaoonekana kwenye karatasi na wanaoingia kufundisha discrepancy yake unaijua????!!! Watu wako busy na consultancies kwa taarifa yako, majina hayafundishi jamani ukienda notice board utafurahi kawaulizie sasa utajua ukweli!!!!

Mobility ni kawaida kwa wafanyakazi walitoka huko wakaenda UDOM wamerudi walikotoka au kwingine na wengine wanaenda na kuondoka, MUCE na DUCE zilichukua UD na kadhalika, sasa wewe unashangaa nini???!!

Kama unaona ubishi sawa ila hii nchi haiajawahi na haitofikia hivi karibuni standard ya vyuo kama tunaamua kujadili kwa mapana say a class of 45-90 students per class!!!! With teaching facilities na well equiped libraries!!!!

La kama tumeamua kupenda chongo mbele ya kipofu sawa ila hali ina changamoto kote kote!!!!
 
Ni utumwa wa fikra na ubinafsi kufikiri baadhi ya vyuo pekee ndio yenye kutoa wataalam bora na kubeza vyuo vingine.
Haijalishi daraja alilopata mtu darasani ndio awe bingwa nje ya darasa.
Wanafunzi wanaotoka IMTU na UDOM wanaweza kuwa bora zaidi kwenye field kuliko hao wanaotoka kwenye vyuo Mnavo vifagilia kwa majina.Kiasi cha mabaki ya binadamu yaliyokutwa jalalani ni ishara tosha kiwango cha practical kinachofanyika hapo IMTU.Tatizo wakala/Mwekezaji wa kutupa mabaki ndio alizembea kwa kutofuata taratibu.
Otherwise tuache kubaguana kwa vyuo tulivyo soma maana havina tija kwa mstakabal wa taifa hili.
Tanzania tulikuwa na madaktari wa R.M.A na walikuwa std vii leavers,waliperform vizuri tu,leo hii tunawabeza form iv!
 
Back
Top Bottom