Bomu la IMTU limeshalipuka, bado la UDOM!

Bomu la IMTU limeshalipuka, bado la UDOM!

kuna thread humu inaonyesha kuwa chuo hiki kilitakiwa kufungwa mpaka kifikie kiwango...haya nayo ni majungu??
amini nakwambia hilo la juzi ni dogo lakini yawezekana kuna mengi mabaya pale sasa kama tutaweka masikio nta basi likitokea jingine tusiamshane na kelele za picha katika watsapp

Mmmh wewe una lako sio bure?
 
Mkuu thnk big b4 posting any thread,,,wanaosoma imtu hawahusian kabisa na kitu kilichotokea,,,kwa hiyo ulitegemea wanaosoma ndo waka deposit yale mabaki wanaojifunzia,???halafu unajiita great thinker....soma popote pale bhana bt all in all life kichwa chako tu na ukiingia mtaani ndo uta realize kitu nnachokisema,,,kosa la issue ya imtu si la wanafunzi wanaosoma,,,...
Kama waalimu wao wanaakili zile za kutupa Cadavar machimbo ya Bunju,wanafunzi watakuwaje?
 
Ha ha nilijua utaangukia pua kwa mtego huo wewe umesoma Muhimbili kwa tabia zako za kizee kama waliokufundisha kipindi cha zama zile,wale wasiopenda kubadilika sasa huna namna ya kuyazuia mabadiliko u so special wenu ndio mwisho wake vyuo vinaota kama uyoga na vitaongezeka tu namadaktari watakuwa wengi,mambo ya kunyanyasa watu kwa kachuo kamoja kama zama zile hiyo haipo subiri tukuajili kwenye vyuo vyetu time will tell.
Mpaka kufikia hivi majuzi hakuna mwanajamii aliyefahamu kwa undani kiasi kile kwamba wanafunzi wa udaktari wanajifunza anatomy kwa mtindo ule...huu 'usiri' 'utu' 'unyenyekevu' na 'usomi' ndio uliofanya mambo haya yasitokee muhimbili na yakatokea hapo IMTU na tena mwanafunzi wa IMTU kujimwaga kwenye social media akikiri kuwa miili hiyo imetoka IMTU!

Huu umimi wa muhimbili ndio tunaoutofautisha na ukanjanja wa IMTU na tusipochukua hatua yatatokea UDOM pia.
 
Wewe unaweza kuongelea elimu kinaga ubaga kwa hizi generalization zako ambazo hazina premises wala evidence???!!!!

Conservative pia wana paradigm wanazotumia kukataa mabadiliko lakini wewe tangu umeanza kuandika hapa huna mental window unayosimamia zaid ya fikra binafsi na mihemko???!!!!

Unaongelea waste disposal/ incineration ya IMTU lakini una compare na chuo kingine nikadhani nao wana tatizo hilo kumbe issue tofauti ukavumiliwa na sasa unataka kuota pembe ati "elimu kinaga ubaga" malizia fani yako kwanza then uanze cross cutting matters!!!!!

Anaropoka tu kutoka maneno ya mitaani. Nawajua walimu wanaofundisha UDOM clinical now, wengine waliwahi kuwa Tanzania one wamesoma Muhas ya enzi zile na waliondoka kwa heshima ya marks zao despite mikwara ya shule enzi hizo, wamefanya wonders kwenye maters zao na bado naweza waita walimu bora.

UDOM wanafundishwa basic science na maprof wazamani kutoka vyuo vya zamani. Kuna wakati nilitamani kuhamia huko maana wako wachache, wanajaliwa na wanafundishwa kwa ukaribu zaidi.

Hizi sifa za kulazimisha ni wale waliodhani kuwa daktari ni kitu cha tofauti sana kuliko waliochagua taaluma nyingine na baada ya kukuta ndivyo sivyo wanabaki wakihaha daktari daktari.

Kuna classmate tulimaliza nao form six PCB walikuwa the best hata sisi tulikuwa tunawakubali, chuo wakachagua kusomea taaluma zingine na hata leo sina jeuri ya kujishaua mbele yao.
 
Kama waalimu wao wanaakili zile za kutupa Cadavar machimbo ya Bunju,wanafunzi watakuwaje?

aisee kweli akili wanazo wengi, wanaofikiri ni wachache, Mkuu hivi suala la wapi yakatupwe masalia ni la KIELIMU au KIUTAWALA! Nimeandika kwa herufi kubwa ili unielewe zaidi! Naomba jibu Chief wangu!
 
"Noble professions" ni mbwembwe za enzi za ujima kabisa "stigamatized and uncivilized barbarians" ndio wanatumia hii lugha!!!!

Yaani we na degree yako moja ujinasibu mbele za watu kuliko professor wa lugha, au CPA holder???!!!

Angalia upya mtazamo wako wa maisha!!!
kwa kweli the opposite is true. watu wasiostaarabika na wanaotaka kuishi kijima ndio huamini kutokuwepo kwwa classes kati ya watu na watu. huwezi fananisha udaktari na sociology au MUHAS na UDOM. ni ukweli mchungu ila watu wastaarabu hhhuukubali.
 
Kijana acha papara,soma uelewe point,Nimemaanisha Udom wanaajiri watu ambao sio competent kuwa waalimu.Mtu hawezi tu kutoka na first degree alafu ukamkabidhi course outline tayari kawa mwalimu afundishe wangine.Wanavyofanya wengine ni kwamba anakua tutorial assistant,then anafanya masters,baada ya hapo anakua assistant lecturer,then PHD to full lecture.Unapokuwa umeeandika paper nyingi kwenye taaluma yako hata maarifa yanaongezeka kijana wangu.

1. Yaani ulipoandika "mkufunzi/lecturer anashindwa challenge na mwanafunzi" ulikuwa unamaanisha, waajiriwa sio competent???!! Unless uliandika usichomaanisha
If so unatumia kigezo gani kupima competence ya waajiriwa???!!! TCU wanakuwa wapi wakati huo??!!!!

2. Hiyo ya pili kama iko hivyo na una uhakika hapo hana immediate supervisor wa "kufundisha" naye hiyo course panaweza kuwa na shida. Kuhusu Publications kama atatoa kwenye thesis yake hakuna jipya na kama atatoa kwenye consultancies pia yaweza kuwa sio anachofundisha!!!!

Higher learning ina politics na dynamic kubwa kuliko mambo yanavyoonekana kwa nje!!!
 
Unamjua daktari aliyefanya upasuaji huo alisoma wapi au unaropoka tu?

Sema wamesoma Udom? After all Udom haijaanza kutoa Graduate wa Udaktari labda mwaka huu ndio wamehitimu wa kwanza
 
Mpaka kufikia hivi majuzi hakuna mwanajamii aliyefahamu kwa undani kiasi kile kwamba wanafunzi wa udaktari wanajifunza anatomy kwa mtindo ule...huu 'usiri' 'utu' 'unyenyekevu' na 'usomi' ndio uliofanya mambo haya yasitokee muhimbili na yakatokea hapo IMTU na tena mwanafunzi wa IMTU kujimwaga kwenye social media akikiri kuwa miili hiyo imetoka IMTU!

Huu umimi wa muhimbili ndio tunaoutofautisha na ukanjanja wa IMTU na tusipochukua hatua yatatokea UDOM pia.
mambo ya kusema vyuo vyote ni sawa ni kujidanganya MUHAS haiko sawa na UDOM kama ambavyo muhaas haipo sawa na medical school ya harvard.
 
aisee kweli akili wanazo wengi, wanaofikiri ni wachache, Mkuu hivi suala la wapi yakatupwe masalia ni la KIELIMU au KIUTAWALA! Nimeandika kwa herufi kubwa ili unielewe zaidi! Naomba jibu Chief wangu!
Ni la kiutawala linalohitaji maamuzi ya kielimu.
 
Anaropoka tu kutoka maneno ya mitaani. Nawajua walimu wanaofundisha UDOM clinical now, wengine waliwahi kuwa Tanzania one wamesoma Muhas ya enzi zile na waliondoka kwa heshima ya marks zao despite mikwara ya shule enzi hizo, wamefanya wonders kwenye maters zao na bado naweza waita walimu bora.

UDOM wanafundishwa basic science na maprof wazamani kutoka vyuo vya zamani. Kuna wakati nilitamani kuhamia huko maana wako wachache, wanajaliwa na wanafundishwa kwa ukaribu zaidi.

Hizi sifa za kulazimisha ni wale waliodhani kuwa daktari ni kitu cha tofauti sana kuliko waliochagua taaluma nyingine na baada ya kukuta ndivyo sivyo wanabaki wakihaha daktari daktari.

Kuna classmate tulimaliza nao form six PCB walikuwa the best hata sisi tulikuwa tunawakubali, chuo wakachagua kusomea taaluma zingine na hata leo sina jeuri ya kujishaua mbele yao.

Kwa taarifa yako nina full list ya hao unaowasema ni walimu wa UDOM na matokeo yao ukitaka.
Namjua vizuri sana na kumuheshimu mkuu wa 'shule' ya medicine hapo UDOM kwa sasa ni prof ingawa enzi ananifundisha hakuwa prof yet.

Ninawafahamu aina ya wanafunzi wanaopelekwa kuusomea udaktari hapo UDOM,IMTU na kata nyingine.

Vile vile ninatambua hospitali inayotegemewa na UDOM kwa clinicals ni Dodoma regional hospital na kuelewa vizuri idadi na uwezo wa madaktari na madaktari bingwa waliopo hapo............

MWENYE MASIKIO NA ASIKIE!!!

Sitengenezi zengwe wala jungu lakini ni tahadhari juu yatakayokuja kutokea baada ya hawa 'half cooked' watakapoanza kunyakuwa roho zetu na wajukuu zetu!
 
pole sana mkuu kama ulisoma hapo IMTU,lakini hii haiondoi ukeli wa kwamba IMTU ni chuo cha kata.
Na mimi nitakwambia kuna medical attendant ana uwezo mkubwa sana wa kufanya ORIF lakini hiyo haijatosha kumuita daktari...huu msemo wa kwamba huku kwenye field tuko vizuri ni nonosense.kama wewe ni mkweli utaweza kugundua hata yale mabaki yanaonyesha cadaver wale hawakupasuliwa kwa kiwango cha kitaalamu!!

We mbulumundu akili yako kama cadaver Tu,,, mi nilidhani uta appreciate kuwa kupatikana kwa kiasi kikubwa cha cadaver Ni kiashiria cha intensive practices kwa hiyo wanafunzi wamekwiva za kutosha. Unatia aibu, dada yako kama anazalishwa na wanaume tofauti tofauti haina maana kuwa Ni mtamu sana, huyo ni mjinga ameshindwa kuzuia mimba. Wewe kuzidiwa maisha na watu waliosoma hivo vyuo unadharau isikukatishe tamaa na kuanza kutukana, komaa na maisha uza hata tigo utoke. Mara nyingi mtu aliyefanikiwa hana time na wachovu, sasa wewe unaonea husuda hata hao unaowadharau, WTF
 
kwa kweli the opposite is true. watu wasiostaarabika na wanaotaka kuishi kijima ndio huamini kutokuwepo kwwa classes kati ya watu na watu. huwezi fananisha udaktari na sociology au MUHAS na UDOM. ni ukweli mchungu ila watu wastaarabu hhhuukubali.
Sidhani!!!!!! Na sio kweli!!!!

Unapoongelea classes za madaktari kwa madaktari utakuwa na hoja ila kutaka kuweka classes kati ya taaluma mbili zinazojitegemea kuanzia theory mpaka practical utaonekana kituko!!!!

Yaani say huyo professor wa Sociology na masters holder wa medicine au paediatrics unawawekaje kundi moja???!!! Hata wa degree moja huyu anatibu huyu yupo field huko na data za project hiyo "noble" attitude inaingia wapi???!!!

MUHAS na UDOM unafananisha kwa lipi sasa, milestone ya chuo ni moja ya factor za kuweka classes yes lakini huwezi ku bank on milestone for stigmatization purposes as it is the case in here "barbaric and lack of civilization" a typical case!!!!!

"Class is inherent feature of any society, actually it is an engine for change" thus hata huyo Marx, K hakuchanganya wakulima na wamiliki wa viwanda, bourgeoisie na peti one hawakiwa class moja, workers na labourers hawakuwa class moja, nyie mnachanganya tu sababu you are "conservative" while the society itself is so dynamic!!!!!
 
mambo ya kusema vyuo vyote ni sawa ni kujidanganya MUHAS haiko sawa na UDOM kama ambavyo muhaas haipo sawa na medical school ya harvard.
lnashangaza mtu kuupinga ukweli huu!
 
lnashangaza mtu kuupinga ukweli huu!

Acha kujitoa fahamu mkuu, kweli ungemaanisha kuelezea tofauti objectively hu uzi ungekuwa wa nature hii???!!!!

Kwamba tunaokupinga hatujui tofauti zilizopo???!!!
Despising, stigma, conservatism and mockery is what watu hatutaki!!!!

Kama ni differences weka data tujadili objectively nini kinapungua wapi, kwa nini, wanafanyaje kukabili hiyo hali ili tupate way forward sio kejeli na kuwakatisha tamaa!!!!!

Hivi unajua hata MUHAS ilikuwa MUCHS????!!!!
 
Back
Top Bottom