Bomu la IMTU limeshalipuka, bado la UDOM!

Bomu la IMTU limeshalipuka, bado la UDOM!

Kweli IMTU wamechemsha maana hata SUA sijaona viungo vya Ng'ombe au Mbuzi vikiwa vimetupwa kama walivyofanya wao.

Na wameharibu kweli inabidi hata mambo mengine yahusuyo chuo yawe questionable aisee hawako serious kabisa
 
hakuna MD5 anaefundisha MEDICINE! usizungumze vitu vya kufikirika, kuna watu nawafahamu wako sehemu husika, we sema Md5 yupi na anafundisha nini?

una haki ya kupinga
 
ha ha ha!! yaani wewe daktari ukijiona kama fundi makenika ndio matokeo ya kutupa viungo kama vyuma chakavu.

Unatakiwa kutembea,kuvaa,kuongea na kutenda kidaktari wakati wote wewe sio mkandarasi wa binadamu bali ni daktari

Hamna hiyo kitu, unaleta mambo ya patient care na bed making hadi kwenye real life???!!!
Acha mapozi dogo kazi ndio inasema nani ni nani, utavaa tai na kuoiga kiwi na foleni yako inaweza isijae!!!!!

Kujishusha ndio mpango watu wakishona mgonjwa akienda surgical ward manesi wanajua mikato na usafi wa kazi we unajivunia kutembea, kuvaa na kuongea????!!!!
 
Jamani nyie semeni ila ndo hivyo wenzetu wanafanya yao nyie kalieni hizo story sijui UDOM nini UDSM kimeshuka mpaka26 toka 6 kwa ubora Afrika
 
Mkuu vijana kama hawa sio wa kuwashauri ila ni kuwaacha tu hata humu jukwaani huwa wanajikwaa na kuangukia pua.
Huyu ni mwanafunzi au fresh graduate hivyo bado anaamini sana hisia na historia binafsi na anaona inatosha kabisa kufanya majumuisho!!!!!

sio mara ya kwanza kutuona tuna dharau au conservative mara tunapoongelea maswala ya elimu kinagaubaga
 
Kuna watu hata uwezo wa kujenga hoja hawana ila wanataka kubishana kuhusu vyuo? Mtoa mada ni mfano wa watu ambao hawa. Hivi unapozungumzia University unajua ni criteria gani zinatumika? Mwanafunzi kum-challange mwalimu ni jambo la kawaida.. ni dhahiri humu ndani kuna watu wana certificate lakini wanataka kwenda sawa na degree holders, ni sawa mnachofanya ila hata IQ zenu haziwaruhusu.. UDOM, UDSM, MZUMBE, SAUT, SUA, CBE, TUMAINI, IFM na vyuo vyote vinavyotambulika vinatoa elimu bora.
 
Hamna hiyo kitu, unaleta mambo ya patient care na bed making hadi kwenye real life???!!!
Acha mapozi dogo kazi ndio inasema nani ni nani, utavaa tai na kuoiga kiwi na foleni yako inaweza isijae!!!!!

Kujishusha ndio mpango watu wakishona mgonjwa akienda surgical ward manesi wanajua mikato na usafi wa kazi we unajivunia kutembea, kuvaa na kuongea????!!!!

Unaona mambo haya!!!:nimekataa:nimekataa:nimekataa:nimekataa:nimekataa:nimekataa

siku hizi mnatibu na vi- Ipad
 
Unawajua maprofesa wangapi Tanzania??!!
Unajua historia zao???!!

Maprofesa wengi na bora walisoma enzi za mkoloni a.k.a std 4 enzi ambazo hata udsm haikuwepo zaid ya makerere hawa wa 1961 siasa tu na ufisadi umewajaa..

Profesa mzima aliyeelimika anaacha elimu ife akimbilie siasa ili atajirike? Uzalendo ukowapi.. Dr mzima unaongoza wizara ya elimu na mfumo mbovu wa elimu umwukumbatia kila siku kubadilisha majina mara BRN.. nini nini sijui

Any way hao wengi ndio hao hao tunaowasema failures tu profesa sijui dk kizaz hiki? Mtu ana phd bado analalama ajira shida.. ndo tumuite msomi huyo dah.
 
Mleta mada unaonekana kuwa na mawazo ya kizamani yaliyokwisha kupitwa na wakati,

Badala ya ku focus kwenye tatizo ambalo halihusiani kabisa na Academics za wanafunzi hawa likiwemo hili la Negligence iliyofanywa na IMTU administration unaishia kuwashambulia wanafunzi wasiokuwa na hatia.

Kwa mawazo yako hayo finyu nimeshapata kujua wewe ni mtu wa aina gani pamoja na dharau zako zilizopitiliza unaonekana kuwa mtu usiyependa kuona mwingine amesoma na kufanikiwa katika hii field ya Afya, sasa sijui ulitaka familia yenu peke yenu iwe na madokta hata sijakuelewa,.

Acha majungu yasiyokuwa na tija, fanya kazi kwa bidii uendeshe maisha yako na familia kama unayo.

atakuwa na njaa huyu, anasubiri dili za abort mimba za watu!
 
sio mara ya kwanza kutuona tuna dharau au conservative mara tunapoongelea maswala ya elimu kinagaubaga

Wewe unaweza kuongelea elimu kinaga ubaga kwa hizi generalization zako ambazo hazina premises wala evidence???!!!!

Conservative pia wana paradigm wanazotumia kukataa mabadiliko lakini wewe tangu umeanza kuandika hapa huna mental window unayosimamia zaid ya fikra binafsi na mihemko???!!!!

Unaongelea waste disposal/ incineration ya IMTU lakini una compare na chuo kingine nikadhani nao wana tatizo hilo kumbe issue tofauti ukavumiliwa na sasa unataka kuota pembe ati "elimu kinaga ubaga" malizia fani yako kwanza then uanze cross cutting matters!!!!!
 
Tunaposema huu upuuzi wa vyuo vya kata hautakiwi watu wanasema tuna dharau bora jamii inajionea yenyewe.
Ati mtu alifeli kidato cha nne leo hii anapewa cheti cha kuwa daktari...ukiuliza nini eti ooh tunapunguza uhaba wa madaktari...pambaff sana.



MY TAKE


  • SERIKALI INATAFUTA KURA
  • G.ABACHORI ANASAKA NOTI
  • MLALAHOI ANASAKA AJIRA YA URAHISI
Hao wa UDSM wanatusaidia nini? kuna wachumi kibao akiwemo na mkuu wa nchi
lakini wanaisaidia ni ni nchi yetu zaidi ya umasikini kuzidi siku hadi siku, hatutaki
Elimu ya kwenye makaratasi tunataka Elimu ya vitendo, mimi ni std 7 lakini siwaelewi
wasomi wetu.
 
pole sana mkuu kama ulisoma hapo IMTU,lakini hii haiondoi ukeli wa kwamba IMTU ni chuo cha kata.
Na mimi nitakwambia kuna medical attendant ana uwezo mkubwa sana wa kufanya ORIF lakini hiyo haijatosha kumuita daktari...huu msemo wa kwamba huku kwenye field tuko vizuri ni nonosense.kama wewe ni mkweli utaweza kugundua hata yale mabaki yanaonyesha cadaver wale hawakupasuliwa kwa kiwango cha kitaalamu!!

Ha ha nilijua utaangukia pua kwa mtego huo wewe umesoma Muhimbili kwa tabia zako za kizee kama waliokufundisha kipindi cha zama zile,wale wasiopenda kubadilika sasa huna namna ya kuyazuia mabadiliko u so special wenu ndio mwisho wake vyuo vinaota kama uyoga na vitaongezeka tu namadaktari watakuwa wengi,mambo ya kunyanyasa watu kwa kachuo kamoja kama zama zile hiyo haipo subiri tukuajili kwenye vyuo vyetu time will tell.
 
Maprofesa wengi na bora walisoma enzi za mkoloni a.k.a std 4 enzi ambazo hata udsm haikuwepo zaid ya makerere hawa wa 1961 siasa tu na ufisadi umewajaa..

Profesa mzima aliyeelimika anaacha elimu ife akimbilie siasa ili atajirike? Uzalendo ukowapi.. Dr mzima unaongoza wizara ya elimu na mfumo mbovu wa elimu umwukumbatia kila siku kubadilisha majina mara BRN.. nini nini sijui

Any way hao wengi ndio hao hao tunaowasema failures tu profesa sijui dk kizaz hiki? Mtu ana phd bado analalama ajira shida.. ndo tumuite msomi huyo dah.

Coherence!!!! Coherence ndugu msomi!!!!
Hebu angalia majibu yako na swali???!!

Unapata wapi authority ya ku despise maprofesa na madaktari kwa ujengaji hoja huu???!!!!!
 
Huwezi kuwa unaongelea lecturer!!!!!Na kwa premise yako unamaanisha lecturers wa hapo wote wamehitimu hapo na waliowafundisha walihitimu hapo??!!!!Lecturers wengi pale walitoka UDSM, SUA na MZUMBE na sasa ndio wameanza kutoa Lecturers wao ambao pia wengi First degrees na Masters zao hawakusoma pale au mtu akifika pale tu maarifa yanamuisha???!!!
Kijana acha papara,soma uelewe point,Nimemaanisha Udom wanaajiri watu ambao sio competent kuwa waalimu.Mtu hawezi tu kutoka na first degree alafu ukamkabidhi course outline tayari kawa mwalimu afundishe wangine.Wanavyofanya wengine ni kwamba anakua tutorial assistant,then anafanya masters,baada ya hapo anakua assistant lecturer,then PHD to full lecture.Unapokuwa umeeandika paper nyingi kwenye taaluma yako hata maarifa yanaongezeka kijana wangu.
 
Hahaahah,. Huyu ni Medical Attendant,.. C.A ni cheo kikubwa sana.
 
Back
Top Bottom