Bomu la IMTU limeshalipuka, bado la UDOM!

Bomu la IMTU limeshalipuka, bado la UDOM!

Ni la kiutawala linalohitaji maamuzi ya kielimu.

hahaha,mkuu unacheza shere yani bora ungeuchuna tu. haya niambie ili kujua kwamba unahitaji udispose wapi hayo masalia ni kiwango gani cha elimu kinatakiwa kwa watawala hao? ili tujue kama hao mabosi hawana!! ni hivi tusizunguke chief,kujua nini ni sahihi na kufanya kitu sahihi ni vitu tofauti! hilo sio tatizo la ACADEMICia bali ni la kiADMINISTRATIONia
 
I advise to advise your brilliant sons and daughters to avoid undergoing serious science disciplines in the Tanzania universities but UD and MUHAS. Many current universities that previously offered advanced diploma would practically better do 'as you were'
 
hahaha,mkuu unacheza shere yani bora ungeuchuna tu. haya niambie ili kujua kwamba unahitaji udispose wapi hayo masalia ni kiwango gani cha elimu kinatakiwa kwa watawala hao? ili tujue kama hao mabosi hawana!! ni hivi tusizunguke chief,kujua nini ni sahihi na kufanya kitu sahihi ni vitu tofauti! hilo sio tatizo la ACADEMICia bali ni la kiADMINISTRATIONia
Tatizo sio kujua uka dispose wapi?Tatizo ni kutokua na elimu ya kujua nini madhara yake kama wata dispose hadharani.Wao waliona ni kawaida tu,hata usipotumia tanuru.
 
Unamjua daktari aliyefanya upasuaji huo alisoma wapi au unaropoka tu?

endelea kujifariji na historia a huku hujui uhalisia wa mambo,hayo ndo matatizo ya elimu ya tz ya kukariri,mnakariri hata visivyotakiwa,zunguka mahospitalini uulize interns viazi na vichwa maji wa miaka ya karibuni wanatoka chuo gani then ndo uje kuchangia humu la sivyo utakuwa walewale,na vp mbona unataka kuwaaminisha uma kuwa waliopasua miguu badala ya kichwa au kichwa badala ya mguu walikuwa sio wa mhimbili,hebu tuambie ni wa wapi?
 
lnashangaza mtu kuupinga ukweli huu!

sio vyuo tu hata mimi na wewe hatuwezi kuwa sawa, hapo sijakataa. ninachokupinga ni wewe kudanganya watu kuwa MD5 anaweza kufundisha MEDICINE. Pili tatizo la miili itupwe wapi ni la kiutawala, mada uliyoleta wewe mwenyewe huelewi unaongea nini ndio maana watu wanakupinga humu, inawezekana ulikuwa na point ya kuleta ila reasoning yako mkuu sio. pia unaongea vitu viingi ambavyo haviko kwenye mada, sijui niite TANGENTIAL SPEECH DISORDER? Nilikuuliza umtaje huyo lecturer, nafundisha nini na wapi lakini hujajibu unazunguka tu, kama wewe sio muongo ni nini. mimi ndio nakupinga hapa, so stick to the topic jibu hoja
 
Kwa taarifa yako nina full list ya hao unaowasema ni walimu wa UDOM na matokeo yao ukitaka.
Namjua vizuri sana na kumuheshimu mkuu wa 'shule' ya medicine hapo UDOM kwa sasa ni prof ingawa enzi ananifundisha hakuwa prof yet.

Ninawafahamu aina ya wanafunzi wanaopelekwa kuusomea udaktari hapo UDOM,IMTU na kata nyingine.

Vile vile ninatambua hospitali inayotegemewa na UDOM kwa clinicals ni Dodoma regional hospital na kuelewa vizuri idadi na uwezo wa madaktari na madaktari bingwa waliopo hapo............

MWENYE MASIKIO NA ASIKIE!!!

Sitengenezi zengwe wala jungu lakini ni tahadhari juu yatakayokuja kutokea baada ya hawa 'half cooked' watakapoanza kunyakuwa roho zetu na wajukuu zetu!

Kwa sababu hao 'half cooked', unalaumu walimu wa UDOM, TCU, wizara ya elimu au system nzima. Unataka kutuaminisha kwamba Muhimbili wanafundishwa vizuri kwa sababu wanamaprof wengi kuliko IMTU wakati tunajua wanafunzi hao full cooked hawaendi dissecting room inavyotakiwa, wanasoma anatomy kwenye video? Hao product za Muhimbili si tunajua.

Kama unaijua list ya walimu wa UDOM umeshindwa hata kuappreciate juhudi wanazofanya kusomesha hawa waliowaajiri ili nao wawe maprof au unadhani maprof waliopo wangetosha kuhudumia population inayokua katika vyuo vikuu au wanafunzi wote zaidi ya mia sita wakasome MUHAS?

Halafu wakati unalamika ya vyuo vya kata vipi kuhusu interns wanaenda hospitali kwenye idara kuna specialist mmoja na second on call anakuwa A.M.O?

Tukubali ukweli kama taifa kwenye sekta ya afya sisi bado sana, sio serikalini wala kwenye sekta binafsi. Tusiwaonee wengine.
 
Tatizo sio kujua uka dispose wapi?Tatizo ni kutokua na elimu ya kujua nini madhara yake kama wata dispose hadharani.Wao waliona ni kawaida tu,hata usipotumia tanuru.

Hawakuona kawaida na ndio maana walikuwa na kifaa na hata kilipoharibika walijaribu kwingine ili kukwepa huo "ukawaida" unaouleta wewe, walipokwaribiwa na wakaguzi wakatafuta short cut through a long corner!!!!!

Ndio maana mpira umeanza na wanasema "yupo aliyepewa jukumu na sasa simu hazipatikani inasemekana alienda Zanzibar" kama ingekuwa ni kawaida basi "blame game" isingekuwepo!!!!
 
Tatizo sio kujua uka dispose wapi?Tatizo ni kutokua na elimu ya kujua nini madhara yake kama wata dispose hadharani.Wao waliona ni kawaida tu,hata usipotumia tanuru.

chief bado unabishana tu. haya bana
 
Kwa sababu hao 'half cooked', unalaumu walimu wa UDOM, TCU, wizara ya elimu au system nzima. Unataka kutuaminisha kwamba Muhimbili wanafundishwa vizuri kwa sababu wanamaprof wengi kuliko IMTU wakati tunajua wanafunzi hao full cooked hawaendi dissecting room inavyotakiwa, wanasoma anatomy kwenye video? Hao product za Muhimbili si tunajua.

Kama unaijua list ya walimu wa UDOM umeshindwa hata kuappreciate juhudi wanazofanya kusomesha hawa waliowaajiri ili nao wawe maprof au unadhani maprof waliopo wangetosha kuhudumia population inayokua katika vyuo vikuu au wanafunzi wote zaidi ya mia sita wakasome MUHAS?

Halafu wakati unalamika ya vyuo vya kata vipi kuhusu interns wanaenda hospitali kwenye idara kuna specialist mmoja na second on call anakuwa A.M.O?

Tukubali ukweli kama taifa kwenye sekta ya afya sisi bado sana, sio serikalini wala kwenye sekta binafsi. Tusiwaonee wengine.

Haya ndio mawazo yanahitajika kuona tatizo, vyanzo, jitihada zilizopo, changamoto na kuona jinsi ya kusogea mbele kwa rasilimali kidogo huku tukifikia lengo!!!!!

Lakini watu wananyanyua mabega suruali kitovuni kana kwamba yeye haimuhusu wakati ni "tragedy of the common" phenomenon!!!!

Halafu wana scape-goat kwenye class based society!!!!!

Selfish members!!!!
 
Sidhani!!!!!! Na sio kweli!!!!

Unapoongelea classes za madaktari kwa madaktari utakuwa na hoja ila kutaka kuweka classes kati ya taaluma mbili zinazojitegemea kuanzia theory mpaka practical utaonekana kituko!!!!

Yaani say huyo professor wa Sociology na masters holder wa medicine au paediatrics unawawekaje kundi moja???!!! Hata wa degree moja huyu anatibu huyu yupo field huko na data za project hiyo "noble" attitude inaingia wapi???!!!

MUHAS na UDOM unafananisha kwa lipi sasa, milestone ya chuo ni moja ya factor za kuweka classes yes lakini huwezi ku bank on milestone for stigmatization purposes as it is the case in here "barbaric and lack of civilization" a typical case!!!!!

"Class is inherent feature of any society, actually it is an engine for change" thus hata huyo Marx, K hakuchanganya wakulima na wamiliki wa viwanda, bourgeoisie na peti one hawakiwa class moja, workers na labourers hawakuwa class moja, nyie mnachanganya tu sababu you are "conservative" while the society itself is so dynamic!!!!!
hapa kwenye red umeongea vema. tatizo lako inaonyesha unakosa level ground ya kushindanisha watu wa profession tofauti. ni hivi status ya profession inatokana jamii inavyochukulia umuhimu na kwa kiasi fulani nguvu iliyotumika kuipata hiyo profession. leo hii ukiiuliza jamii kati ya prof wa sociology na MD (achilia mbali pediatrician) nani muhimu "noble". jibu litakuwa MD. profession zote hazipo sawa, zingine ni noble kuliko zingine na zinalinganishika.

wakorea kaskazini wanasema vyuoni mwao 75% ni pure sciences na 25% ni humanity sciences. wanajua kuna taaluma zingine ni muhimu kuliko zingine. shukrani serikali yetu inaliona hili kupitia utoaji wa mikopo. hapa simaanishi kwamba madaktari wanaakili kuliko kozi zingine,japo kwa kiasi fulani ni kweli.
pia sio kwamba ni unyanyapaa bali ni ukweli ambao tunatakiwa kuwaambia na wanetu .
 
Hawakuona kawaida na ndio maana walikuwa na kifaa na hata kilipoharibika walijaribu kwingine ili kukwepa huo "ukawaida" unaouleta wewe, walipokwaribiwa na wakaguzi wakatafuta short cut through a long corner!!!!!

Ndio maana mpira umeanza na wanasema "yupo aliyepewa jukumu na sasa simu hazipatikani inasemekana alienda Zanzibar" kama ingekuwa ni kawaida basi "blame game" isingekuwepo!!!!
69551_10151939790985369_362527830_n.jpg
 
hapa kwenye red umeongea vema. tatizo lako inaonyesha unakosa level ground ya kushindanisha watu wa profession tofauti. ni hivi status ya profession inatokana jamii inavyochukulia umuhimu na kwa kiasi fulani nguvu iliyotumika kuipata hiyo profession. leo hii ukiiuliza jamii kati ya prof wa sociology na MD (achilia mbali pediatrician) nani muhimu "noble". jibu litakuwa MD. profession zote hazipo sawa, zingine ni noble kuliko zingine na zinalinganishika.

wakorea kaskazini wanasema vyuoni mwao 75% ni pure sciences na 25% ni humanity sciences. wanajua kuna taaluma zingine ni muhimu kuliko zingine. shukrani serikali yetu inaliona hili kupitia utoaji wa mikopo. hapa simaanishi kwamba madaktari wanaakili kuliko kozi zingine,japo kwa kiasi fulani ni kweli.
pia sio kwamba ni unyanyapaa bali ni ukweli ambao tunatakiwa kuwaambia na wanetu .

1. Those days may be, ndio maana nasema hii ni "conservatism" wakati watu wa account wanaanza kuachana na form six wanakatia diploma from form four kukimbia pata potea ya form six wewe bado unakomaa na medicine ni muhimu???!! Sifa ya kuitwa daktari wakati kila siku migomo ya posho na mzingira mabaya nani anataka nyakati hizi???!!! sio muhimu ni wachache sasa kama uchache ndio umuhimu sawa na ndio kiwewe sasa cha kuona wanakuwa wengi na kuanza kubaguana kwa vyuo wakati MAT ni moja!!!!! Walizoea kuonekana "high" sababu ya demand supply chain! !!!! Nini "noble" katika hiyo fani zaid ya mapokeo tu??????

2. Hiyo 75% ya Korea ukiivunja, udaktari unabaki na ngapi???!!!

3. Suala la mikopo ni stigma tu kwa sura nyingine, mtu anataka kuwa muhasibu na wazazi wake wanakatwa kodi huwezi mnyima mkopo halafu umpe Mbunge ambaye hata diploma hana, ubaguzi tu hamna jingine!!!! Kama hili unaona la maana sawa ila kwangu huu ni "udikteta wa elimu" sababu unamfundisha mpaka form six na mtihani unampa halafu unaweka vikwazo vya kuendelea wakati ulimpa option ya kuchagua fani akiwa form three???!!!!

4. Nilikuambia na narudia dunia inabadilika mambo ya sifa za fani yanabadilika mwanao mwambie tu kuwa atachoamua lazima akifanye vizuri kwa hali ya juu kabisa sio kumlazimisha "noble" kwa mujibu wako!!!! Hao unaowaita "noble" wanaajiriwa na familia za watu successfull wanalipwa na kutumikishwa tu kama kawaida!!!!
 
Na sasa tumeambiwa waalimu wote wa elimu ya msingi watakuwa na shahada,Movie at work!!

elimu tz safiii sana ;;;;;;;;udom ni ahadi ya ssssssssm ili kuwa wasomi wengi ;;; bravo sssssssssssm
 
Kwa sababu hao 'half cooked', unalaumu walimu wa UDOM, TCU, wizara ya elimu au system nzima. Unataka kutuaminisha kwamba Muhimbili wanafundishwa vizuri kwa sababu wanamaprof wengi kuliko IMTU wakati tunajua wanafunzi hao full cooked hawaendi dissecting room inavyotakiwa, wanasoma anatomy kwenye video? Hao product za Muhimbili si tunajua.

Kama unaijua list ya walimu wa UDOM umeshindwa hata kuappreciate juhudi wanazofanya kusomesha hawa waliowaajiri ili nao wawe maprof au unadhani maprof waliopo wangetosha kuhudumia population inayokua katika vyuo vikuu au wanafunzi wote zaidi ya mia sita wakasome MUHAS?

Halafu wakati unalamika ya vyuo vya kata vipi kuhusu interns wanaenda hospitali kwenye idara kuna specialist mmoja na second on call anakuwa A.M.O?

Tukubali ukweli kama taifa kwenye sekta ya afya sisi bado sana, sio serikalini wala kwenye sekta binafsi. Tusiwaonee wengine.

Umesema kweli hasa huo mstari wa mwisho.Vyuo vyote vya udaktari bongo vina mapungufu.Hakuna chuo kinaweza kujidai kwamba ni bora kuliko kingine.Wataalam hawatoshi na hata wenye ujuzi,wanaojiita mabingwa wengine ni wababaishaji tu.Hospitali za kufundishia hazina wataalam wa kutosha,hazina vifaa vya kutosha na vya kisasa.

Muda wa kufanya specialization(wenyewe wanaita ubingwa)ni mchache ukilinganisha na wenzao wa Ulaya na Marekani kwa mfano.

Ndiyo maana daktari aliyesomea Tanzania akitaka kufanya kazi nje hasa Ulaya na Marekani,hata kama ni specialist tayari,ni lazima atarudia baadhi ya kozi na kufaulu mitihani ya udaktari upya ndipo aweze kupata leseni ya kutibu wagonjwa.Vinginevyo hawezi kuruhusiwa kutibu.

Kwahiyo badala ya kukashifiana,ni heri kufanya majadiliano yenye kutafuta ufumbuzi wa tatizo,maana hili ni tatizo la madaktari wa vyuo vyote na siyo wa UDOM au IMTU peke yake
 
Kweli vichaa hawataisha dunia hii, Wale madaktari walio pasua mgonjwa kichwa badala ya goti wamesoma Udom? Hao mawaziri mizigo wamesoma Udom? Wewe unaeropoka humu Jf umelisaidia nini taifa hili kama sio kutwa kuropoka kwenye mitandao ya kijamii na vijiwe vya ghahawa?

Mm nawaambia huku ndani kuna vichwa maji lakini watu wanabisha
 
Mbona mnaonea sana UDOM! Why? Kwa nn? Kila siku udom udom khaa

Wivu unawasumbua walitaka wabaki madaktari peke yao J Kikwete kawakata ngebe kafungua chuo kingine wanahaha sasa uconservative wao kwisha watanyooka tu.
 
UDOM ni majanga matupu, na ajira wanapeana kwa kujuana na Udini pia
 
Back
Top Bottom