Bomu la IMTU limeshalipuka, bado la UDOM!

Bomu la IMTU limeshalipuka, bado la UDOM!

Editors are ment for that, internationally!!!!!

Na.kama alimaanisha "I/ he had two applications to submit for certain purposes???!!!!" kwa nini tukuamini wewe with your mere words???!
Wengine positivist humu kama huna experiment, test, what you are "expalining" is not observable why tukuamini haya uyasemayo???!!!

Nawe unadai ni msomi????!!!

Nilitoa hoja kwa jinsi alivyohitaji kufikisha ujumbe kwa muktadha uliokuwepo naam wewe ndio msomi ila ukweli unabaki palepale mfumo wa kishabiki na kisiasa unaua elimu ya nchi hii mbaya zaidi wanaotuwekea mifumo hiyo mibovu watoto wao wanakwenda nje kupata elimu bora na sio bora elimu wanayowapa watoto wetu lakini kwa vile mmefundishwa kushabikia endeleeni time will tell
 
Eti kufeli ni accelerator ya kufanya vizuri!
Kufeli ni kufeli tu hata ukibadilisha jina!
Kwa hiyo mmewaambia walimu wafelishe ili baadae watu wafaulu?

Yaani umefeli shule ya msingi,sekondari halafu leo umeibuka na PHD!
Hii iko Tanzania tu na ndio maana tunajionea vimbwanga!

UDOM na IMTU limekuwa kimbilio la wale walioshindwa na kuingia makazini kwa kada za clinical officers,AMO,n.k

ilitakiwa kuwe na program tofauti ya kuwaendeleza watu hawa na sio kuwapa elimu nzito ya udaktari kisa wanataka kupandishwa vyeo!

Hapa ni sawa na issue ya kila kijana kutaka kuimba bongo fleva hata kama ni bubu!

hivi hakuna IMTU wanaofanya kazi MNH na MOi ?he walipataje ajira?utabaki na umbumbu mbu wako watu wanapiga kazi, unajifanya una akiiili wakati hata kuweka cannula hujui, kilaza mkubwa.
 
hivi hakuna IMTU wanaofanya kazi MNH na MOi ?he walipataje ajira?utabaki na umbumbu mbu wako watu wanapiga kazi, unajifanya una akiiili wakati hata kuweka cannula hujui, kilaza mkubwa.
Kilaza ni wewe unayehisi kuweka cannula ndio udaktari!ndivyo IMTU inavyowafundisha eh?
Nenda kwenye zahanati ukawaone medical assistants wanavyojua kuweka cannula!
"The issue is not how to cut but when not cut,why not to cut and who not cut'' sasa we mburula ukishajua kufanya C/S basi wajiona daktariii !!
 
Hapo kwa UDOM nakuunga mkono.

Chuo cha hovyo sana kile
 
Kilaza ni wewe unayehisi kuweka cannula ndio udaktari!ndivyo IMTU inavyowafundisha eh?
Nenda kwenye zahanati ukawaone medical assistants wanavyojua kuweka cannula!
"The issue is not how to cut but when not cut,why not to cut and who not cut'' sasa we mburula ukishajua kufanya C/S basi wajiona daktariii !!

Malengo makubwa ya kufundisha daktari ni yapi?unasema issue is not how to cut but when not cut,why not to cut and who not cut, that true ilikuwaje watu waka pasua kichwa badala ya mguu na je walikuwa trained wapi hawa?hembu ni juze bwana uti wa mgongo.
 
Kilaza ni wewe unayehisi kuweka cannula ndio udaktari!ndivyo IMTU inavyowafundisha eh?
Nenda kwenye zahanati ukawaone medical assistants wanavyojua kuweka cannula!
"The issue is not how to cut but when not cut,why not to cut and who not cut'' sasa we mburula ukishajua kufanya C/S basi wajiona daktariii !!
Nilikuwa sijaisoma hii comment yako.
Now you are off track!!!!!!!
Problem yako ni kuwa unataka kuiweka medicine kama creation.
Unataka kuiweka medicine kama very very noble job ambayo wanaojifunza ni lazima wawe chaguo la very very special group,you are wrong!!!!!
How many specialists wanafanya kazi katika hospitali za mikoa,hospitali za wilaya?
Specialist mmoja ana attend cases ngapi kwa siku na katika stage gani?
Ni nina aliyezuia wagonjwa wengi kwa kupona au kuzuia ugonjwa wa watu hawa kutokuendelea hadi kuwafikia hao specialist wako.
Ikiwa ceasarian section imefanywa na ikafanikiwa na kuokoa maisha ya mama na mtoto,what do you need more!
Daktari kama AMO hawakujipachika bali ni sheria,once sheria ikibadilishwa hawatakuwepo ila kama wanakukera unaweza ku lobby through your member of parliament na sheria ikawa ammended,huna haja ya kuwa under size,disregard kwa status ambayo hawakujipa.
Wachukie madaktari kama kina Vulata na Maji Marefu.
Retreat and think,somewhere unahitaji kubadili msimamo.
 
There you are!

Hapo ndipo mnapochemka,kuchukulia udaktari au unurse ni sawa sawa na fani nyingine yoyote ndio maana mnahisi kila mtu aweza kuifanya....ONLY IN TANZANIA!!
 
Mbona hamuongelei chuo chakavu UDSM, hiki chuo ni jana kwa taifa yani ndio kimetoa mafisadi kwa 99%, wasaliti wote kama Zitto wamepikwa UDSM, vibaraka na vijana wachumia tumbo kama Shonza wote wamepikwa UDSM! Janga janga janga.

Kweli kabisa Mkuu, tunaamini mwanafunzi aliyepikwa vyema ana integrity, respect, commitment pamoja na kuwa accountable kwenye uongozi na jamii yake, sasa UDSM imetoa matunda ambayo yamekuwa sumu kwa jamii..
 
Mliosoma UDOM inabidi mkasome tena vyuo vingine Post Graduate!!! Elimu ya udom bado sanaaa...

Una matatizo ya ubongo na misifa ya kijinga ambayo haitakuletea sifa bali kujenga uadui,walimu wa udom,udsm,mzumbe,sua ni zao moja,kama udom ni fake basi hata elimu yako pia ni fake au haina ubora,lakini kwa taarifa yako,waliohitimu udom kwenye interview za utumishi ndio wanaofanya vizuri zaidi kuliko wengine,kakini hakuna anasifia hilo,sasa sijui wewe huo ubovu unatumia vigezo gani
 
ukweli utabakia kuwa ukweli elimu yetu inaporomoka siku hadi siku majuzi nilikuwa kwenye kikao msomi mwenye
masters akasema "I have two application" akimaanisha "two request" sasa kama huyu ni mwalimu tutarajie wahitimu wa aina gani toka kwake?

Makubwa, kwa hyo wewe unajua?Alitakiwa aseme 'two request' badala ya two application? Naona hata wewe umekosea!
 
Thread Hii Ni Nzito Maana Michango Ni Mkubwa
Toka Kwa Members
 
Mimi naona madaktari wazuri duniani Wanatoka MUHAS tu,na udaktari wako ukiajiriwa popote huwa unapimwa kwa kuzingatia ulikosoma.mleta thread ni genious sana.
 
Ubora wa chuo hupimwa kwa kuangalia Ubora wa wahitimu wenyewe, namsihi mtoa maada akawatembelee madaktari waliohitimu UDOM ambao tayari wapo kwenye mafunzo kwa vitendo, halafu aje hapa atuambie level ya upikwaji wake. Kama mtoa maada ana degree ya udaktari basi anaweza hata kufanya utafiti atuletee majibu linganifu kati ya wahitimu kutoka vyuo vyote vya udaktari hapa nchini, vinginevyo anapiga kelele tu. Pia kuwepo kwa maprofessor mababu ni uzembe au failure ya kiongozi na ni ubwanyenye, vijana ndo wananguvu na ari za kupika wataalamu. Acheni sifa Muhimbili was then, not now! Wote tumesoma hapo tinapajua, quantity has killed quality at Muhas.
 
I tell you kuna clinical officers wazuri kuliko wewe, kufail at a given point in time kunadeterminants nyingi, kama wewe umesoma Muhimbili utakuwa shahidi kuna waalimu wako walitokea wing hii, acha fikra mgando, be the change we need! Pengine uliiba kapaper cha form six ndo maana huna dalili za kuwa na busara hata kidogo, Watu wazuri wapo clinical officer pia. Hiyo MENINGITIC BRAIN yako INA FLAT GYRI AND SULCI kuelewa trends katika maisha. Wakati Muhimbili ikiwa pekee yake ilikuwa rahisi kuchuja form six na kuwa na division one or two pekee, saizi haiwezekani, na vyuo haviwezi kukaa bila admissions, vigezo vimelegezwa hata hapo MUHAS WANAPOKEA CLINICAL OFFICERS PIA,. Acha ulegevu dogo, the country is moving forward.
 
Pocha2,ww ni mtu wa busara sana,huyu mleta uzi kweli gyri zake flat kama za bata,msamehe bure.
 
kwa hyo tunajaj utendaji kaz wa mtu kwa chuo alichosoma? Sidhan kama ni sahih mda wote, emanuel didas alipasuliwa kichwa MOI kuondolewa brain tumor ambayo haikuwepo na alipata ajal alipaswa kufanyia operation ya mguu iliyofanyika kwa emanuel mgaya aliyepaswa kufanyiwa hyo ya kichwa, sidhan kama hao madaktar walitoka udom, kiu, imtu kwa mwaka huo wa 2007.
 
Back
Top Bottom