Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,400
STELLA MARIS ni jina la chuo kikuu tanzania??
haya bhana naona heri zenu mnaosoma vyuo vya taifa, mtuache na kata zetu maana tumeshaanza kuitana muhimbili na yule'wa Udom
Mtu anaanzisha upuuzi kama huu, watu wanaunga mkono, muulize mleta mada kasoma wap ana elimu gani na anafanya nn saiz akisema ukweli, upunguwani wake tutaujua.
Mada na kichwa na habari havina uhusiano, pili nahs ni std 7 leaver kanunua tecno T311 anajifunza kutumia Jf.
Hayo ulisoma wewe peke yako wengine hawajasoma hawajui hata kufanya autopsy hata kusatifay death.
Dhihaka hizi haziondoi ukweli uliopo!Mtu anaanzisha upuuzi kama huu, watu wanaunga mkono, muulize mleta mada kasoma wap ana elimu gani na anafanya nn saiz akisema ukweli, upunguwani wake tutaujua.
Mada na kichwa na habari havina uhusiano, pili nahs ni std 7 leaver kanunua tecno T311 anajifunza kutumia Jf.
Dhihaka hizi haziondoi ukweli uliopo!
Dhihaka hizi haziondoi ukweli uliopo!
Kama waalimu wao wanaakili zile za kutupa Cadavar machimbo ya Bunju,wanafunzi watakuwaje?
hii ni imani yako inayofanana na watawala mamburula!Mi naona huko ni kukariri tu sio eti kwakuwa Ud ilianza na jengo moja na course moja eti kila chuo lazima kianze hivyo! kipindi hicho taifa lilikuwa ndo km linazaliwa na wasomi hawakuwepo kabisa! suala la kuwa na malecturer vibabu nalo halina mantiki sio kila anayeitwa dr au profesor lazima awe mzee hizo ni akili za kijima! mi namsifu sana JK kwa kuanzisha chuo kipya kuliko wale waliokuwa na akili mbovu za kubadilisha sekondary na vyuo vya kati kuwa vyuo vikuu mf: mkwawa na chang'ombe! naamin baada ya miaka kama kumi Udom watakuwa mbali sana kielimu kwani hata mtoto huanza kutambaa na mwisho hukimbia! mpangilio wa chuo ulivyo kwasasa ni wa kimataifa na hiyo ni mojawapo ya heshima ya chuo kikuu
wanaofundisha hapo wengi ni graduates wa miaka ya 2000 na kuendelea!
mkuu watu wanatuona tuna nyodo kumbe tinawaambia ukweli!halafu walipata u-tutorial assisstant wa kimagumash then Masters za kishkaj
mkuu watu wanatuona tuna nyodo kumbe tinawaambia ukweli!
mkuu watu wanatuona tuna nyodo kumbe tinawaambia ukweli!
mkuu watu wanatuona tuna nyodo kumbe tinawaambia ukweli!
Mwana huna point...kalale tu.!!
halafu walipata u-tutorial assisstant wa kimagumash then Masters za kishkaj
ukweli utabakia kuwa ukweli elimu yetu inaporomoka siku hadi siku majuzi nilikuwa kwenye kikao msomi mwenye
masters akasema "I have two application" akimaanisha "two request" sasa kama huyu ni mwalimu tutarajie wahitimu wa aina gani toka kwake?