Bomu la IMTU limeshalipuka, bado la UDOM!

Bomu la IMTU limeshalipuka, bado la UDOM!

This Thread Is No Longer Valid,.

Mods Please Remove It.
 
Valid and reliable!

mkuu meningitis nimefuatilia thread yako from begining mpaka mwisho, you are a great thinker.

nimekuja kugundua wanaoupinga ukweli unaoongea ni wale wale waliotoka vyuo vya kata, na ukweli unaoongea hawawezi kukubaliana nao, its common sense kwamba hawawezi discredit vyuo walivyosoma coz wataonekana vilaza ila ukweli wanaujua kimya kimya.

muhas will still and always stand the best..
 
muhas will stand and always stand the best with which comparisons???
 
mkuu meningitis nimefuatilia thread yako from begining mpaka mwisho, you are a great thinker.

nimekuja kugundua wanaoupinga ukweli unaoongea ni wale wale waliotoka vyuo vya kata, na ukweli unaoongea hawawezi kukubaliana nao, its common sense kwamba hawawezi discredit vyuo walivyosoma coz wataonekana vilaza ila ukweli wanaujua kimya kimya.

muhas will still and always stand the best..

ukweli gani huo aliongelea hapo!!?!! Je,ni kweli kuwa form four wengi wanasomea udaktari pale UDOM
 
mkuu meningitis nimefuatilia thread yako from begining mpaka mwisho, you are a great thinker.

nimekuja kugundua wanaoupinga ukweli unaoongea ni wale wale waliotoka vyuo vya kata, na ukweli unaoongea hawawezi kukubaliana nao, its common sense kwamba hawawezi discredit vyuo walivyosoma coz wataonekana vilaza ila ukweli wanaujua kimya kimya.

muhas will still and always stand the best..

1. Umegundua kwa kusoma tu kuwa watu wamesoma vyuo fulani, we kweli mkali!!!!!

2. Ukweli uko wazi "we need to work on improvements" kote kwa levels tofauti, hii isiwe sababu ya kunyanyapaa kwingine mfano; incinerator Muhimbili mbovu, ya Bugando je??!! UDOM vipi???? KCMC niaje???!!! Ubovu wako ndio uzima wa mwingine!! There have to be complementing schemes.
UDOM wana dialysis machines and centre hili unaliongeleaje???!!

3. Kama unaweza dhani kuwa wengine hawawezi discredit waliposoma then implication ni kuwa unasema kuwa wewe uta credit uliposoma no matter what!!!!

The world is dynamic,think about your conservatism fella after all the more capable these Unis are the better the health statii of the country men!!
 
mkuu athibitishe nini wakati hana hata idea ya anachokizungumza?

Mkuu sababu anasema anachokisema ni kweli kwa dimensions za "validity" na "reliability" basi ni haki yetu kupata uthibitisho kutoka kwake!!
 
mkuu meningitis nimefuatilia thread yako from begining mpaka mwisho, you are a great thinker.

nimekuja kugundua wanaoupinga ukweli unaoongea ni wale wale waliotoka vyuo vya kata, na ukweli unaoongea hawawezi kukubaliana nao, its common sense kwamba hawawezi discredit vyuo walivyosoma coz wataonekana vilaza ila ukweli wanaujua kimya kimya.

muhas will still and always stand the best..
Ni kawaida ya mtanzania kujidai anaweza na kujua kila kitu!
Hawafahamu kuwa maisha bila changamoto yangekuwa mafupi na yanayoboa!

Hawajui kuwa hata pale MUHAS tuliwahi kuwaeleza juu ya athari za kudahili wanafunzi wengi kulinganisha na resources zilizopo.

Ni muhimu sana kukubali ukweli,kujitathimini na kuweka mikakati ya kutatua changamoto ulizonazo ...poor insight inahitaji insight orientation,kwangu mimi hawa wabishi wasiokubali ukweli wanahitaji kushawishiwa na kufundishwa kuukubali ukweli hata uwe mchungu kiasi gani ndipo hatimaye tuwape mbinu za kupambana na ugonjwa walionao au tuseme mbinu za kutegua hayo mabomu.

Watu hawataki kabisa kuuchukua ujumbe muhimu kwamba

Serikali inataka kuongeza idadi ya wavaaji makoti na stethoscope kwenye mahospitali bila kujali wamewiva kuchukua jukumu hilo adhimu.mwisho wa siku tunarudi kuhamaki ooh madaktari wala rushwa,manesi wana roho mbaya na malalamiko kama hayo.

Wenzetu wa uingereza wamejikita katika kuboresha maslahi na usimamizi mkali katika sekta ya afya....yaani wameweka mshahara mnono kwa watumishi wa sekta ya afya na hivyo hawahitaji sana kutoa ufadhili wa kusomesha wanafunzi katika vyuo vikuu.Lakini wameweka regulations ngumu waweza sema wako conservative ili kuzuia makapi au wale wa vyuo vya kata wasiingie kuchachua sekta ya afya.

Hapo tusije kusingizia eti uingereza wameendelea ndio maana wanafanya hivyo..bali inatakiwa kuiga hayo kwani matokeo yake ni kuwa na mfumo imara wa afya.

Kwa kuruhusu makapi yaingie kwenye sekta ya afya au hata elimu bado tutaendelea kulibeba tatizo...yaani baada ya miaka kumi na ushehe utahitaji kubadilisha mfumo mzima!

Ushauri wangu kwa serukali ni mmoja tu ...kwamba iweke maslahi mazuri kwa sekta ya afya au hata elimu,itoe sponsorship kwa wale waliofaulu kikwelikweli ili vijana walioko sekondari waongeze bidii kwenye masomo ya sayansi.
Haiwezekani watanzania wote tukawa na uwezo wa masomo ya sayansi,haiwezekani wote walioko kwenye field ya afya tukawa madaktari au maspecialists,ni lazima kuwe na mgawanyiko na kila mtu akiwa vizuri katika kada yake tutafika.

Serikali ni lazima iwe kali,vyombo kama MCT,MAT,PHARMACY COUNCIL ni lazima viamke na kupata meno ya kuuma kwani katika dunia hii ya kijasiliamali si tu ma.gabachori bali hata wachaga,wakinga,wasukumu yaani kwa ujumla kila mtu anatazama fursa ya kuingiza kipato bila kujali madhara atakayosababisha katika jamii.kila mtu anataka kufungua hospitali,chuo cha afya au duka la dawa,sasa tukiacha mambo haya yakiendelea bila kuyasemea ndio mabomu haya yanayotulipukia.
 
Mkuu huu sio mjadala wa kipima joto,we are here to stay..mjadala ndio umefunguliwa rasmi!

Sawa hebu pendekeza vigezo unavyodhani na kuamini vinaweza kutumika kupata chuo bora cha afya na hivyo basi wahitimu wawe wazuri (international standard???!!!)

Ili sasa tupate gauge!!!
 
Pamoja na makosa madogo madogo ya kiuandishi. Unapoint kijana, kimsingi mpaka hivi sasa hakuna chuo kinachotoa madaktari bora zaidi ya Bugando hapa Tanzania.Hii ni kuanzia undergraduate mpaka post graduate.

MUHAS wamebaki na jina tu. Waalimu wako bize na vijiwe mjini hawana muda wa kutosha kutoa mentorship kwa vijana. Kutwa wapo TUMAINI, HINDUMANDAL, AGAKHAN NA VIJIWE VINGINE. Vijana unawakuta wanarandarand mawodini bila usimqmizi na muongozo wa kutosha. Waalimu ni arrogant kam MENINGITIS alivyo arrogant. Wanajisifia tu..utasikia i am the only so and so in TANZANIA, Sasa unakuwa proud kuwa peke yako? akimaanisha kuw a ni intelligent zaidi wakati tunawajua wameanzia diploma...na kwa pespective ya MENINGITIS kuanzia diploma ni UKILAZA.

Huu ni wakati MUHAS kupokea changamoto kutoka vyuo vingine positively na kujifanyia self evaluation na kuchukua hatu madhubuti.

Ukija kwenye usimamizi katika research dissertations kwa wanafunzi wa postgraduates ni worse. Waalimu hawanamuda wa kusoma dissertion ya mwanafunzi. Kutwa kukimbizana n vijiwe mjini, waalimu wamejawa hofu ya kunyang'anywa vijiwe na wanafunzi wao, hivyo wanahakikish wanagraduate wakiwa na as little knowledge as possible. HIYO NDIYO MUHAS YA LEO BWA MDOGO MENINGITIS.

Ndugu meningitis nenda mahospitalini ambako madaktari intern kutoka vyuo mbalimbali wanafanya internship, nenda ongea na ma MO au Residents wanaofanya nao kazi, watakuambi wanafunzi wa MUHAS wakoje hivi sasa. Acha kuongea bla bla hapa. Na bahti nzuri wote wanafanya intern katika hospitali hizo hizo chini ya wasimamizi wale walewale na wanakuwa recommended for regiatration na watu hao hao kwa ajili ya registration kwenye bodi hiyohiyo.

Sasa unaposema kuna madaktar wanasajiliwa na kupewa vyeti vya udaktari wakati hawana sifa nashindwa kuelelewa msingi wa hoja yako ni nini?. Unataka tuende mbali na kuanza kuangalia huyu daktar anaenitibu alifaulu vipi huko chuoni, kwamba nikikuta ulipata C kwenye OBGY basi hunizalishii mke wangu. Daktar jitazame, zingatia kanuni na miiko ya taaluma yako. Usipende ku create hofu kwa wananchi pasipokuwa na sababu za msingi.

Niko RWANDA Huku kuna madaktari wamesoma BUGANDO hakik they are doing wonderfull and i am proud of them as fellow TANZANIAN.
hivi analysti ni wewe uliyepost uzi huu...https://www.jamiiforums.com/habari-...-council-yaagiza-imtu-kifungwe-mara-moja.html ? na ukasema maneno haya...
AC Patner states Medical and Dental Boards Ilifanya Ukaguzi katika vyuo vinavyotoa Fani za udaktar MD na DDS katika nchi wanachama hapo mwaka 2009. Katika Report yake Council hiyo Imeiagiza wizara ya Afya kwa kushirikiana na waziri wa Afrika Mashariki kuhakikisha chuo cha IMTU kinafungwa mpaka kitakapo meet the minimum requirements.

Sasa hawa wahindi walivyobobea kwa rushwa mpaka sasa chuo bado kinaendelea kuchakachua taaluma ya Afya, huku wakiwatoza ada vijana wetu kwa USD ambazo ni shurt ziwe deposited bank of INDIA.

Jisomee mwenyewe report hiyo hapo juu (Tanzania) section 3.1.3

Hebu wana JF na watanzania tujione tulivyo wanafiki wasahaulifu.
CC analysti aka daktari wa rwanda na OLESAIDIMU chakii aka wasindikizaji
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom