Haikuanza leo hiyo!! Ilikuwa Makererean vs Muhimbili ,ikaja Muhimbili Vs Eastern blog na sasa ni Muhimbili vs IMTU,KCMC,UDOM.haya bhana naona heri zenu mnaosoma vyuo vya taifa, mtuache na kata zetu maana tumeshaanza kuitana muhimbili na yule'wa Udom
Swala si kutoka chuo gani nielewe,Swala ni kwanini mhitimu wa degree ya kwanza apewe darasa afanye lecture,badala ya kuanzia kuwa tutorial assistant,aanze kwa kusimamia seminar kwanza.Wakufunzi wengi wa UDOM wametoka SUA, UDSM na MZUMBE.Kama issue hawajui kufundisha, basi vyuo walivyotoka hao wakufunzi ndio vitakuwa na matatizo makubwa kuliko UDOM yenyewe.
1. Those days may be, ndio maana nasema hii ni "conservatism" wakati watu wa account wanaanza kuachana na form six wanakatia diploma from form four kukimbia pata potea ya form six wewe bado unakomaa na medicine ni muhimu???!! Sifa ya kuitwa daktari wakati kila siku migomo ya posho na mzingira mabaya nani anataka nyakati hizi???!!! sio muhimu ni wachache sasa kama uchache ndio umuhimu sawa na ndio kiwewe sasa cha kuona wanakuwa wengi na kuanza kubaguana kwa vyuo wakati MAT ni moja!!!!! Walizoea kuonekana "high" sababu ya demand supply chain! !!!! Nini "noble" katika hiyo fani zaid ya mapokeo tu??????
2. Hiyo 75% ya Korea ukiivunja, udaktari unabaki na ngapi???!!!
3. Suala la mikopo ni stigma tu kwa sura nyingine, mtu anataka kuwa muhasibu na wazazi wake wanakatwa kodi huwezi mnyima mkopo halafu umpe Mbunge ambaye hata diploma hana, ubaguzi tu hamna jingine!!!! Kama hili unaona la maana sawa ila kwangu huu ni "
4. Nilikuambia na narudia dunia inabadilika mambo ya sifa za fani yanabadilika mwanao mwambie tu kuwa atachoamua lazima akifanye vizuri kwa hali ya juu kabisa sio kumlazimisha "noble" kwa mujibu wako!!!! Hao unaowaita "noble" wanaajiriwa na familia za watu successfull wanalipwa na kutumikishwa tu kama kawaida!!!!
aliyekwambia walimu wote wa m/s watakuwa na shahada ninani? .
mkuu mimi sio daktari, nilivyo maliza PCB wazazi walitaka nikawe daktari lakini kwa kuangalia future yangu sikwenda. lakini hili bado halisababishi nisione uadhimu wa hii fani. nchi nyingi duniani hasa zilizo endelea 'staarabika' madaktari ndio hulipwwa pesa nyingi. ni serikali yetu haioni unobility wa fani hii ndio maana wanawalipa kidogo na pia ndio sababu wanaanzisha mabomu ya substandards medical schools. tatizo ni kwamba serikali yetu ndio muajiri mkubwa. private sector lazima wangechagua wa MUHAS badala wa UDOM
Mmh gazeti la nipashe nimewahi soma kampuni moja wanatoa nafasi za ajira,vigezo GPA kwa waliohitimu Udom na SAUTI isiwe chini ya 3.8 na kwa vyuo vngne kama udsm,mzumbe nk GPA isiwe chini ya 2.9!
Tunaposema huu upuuzi wa vyuo vya kata hautakiwi watu wanasema tuna dharau bora jamii inajionea yenyewe.
Ati mtu alifeli kidato cha nne leo hii anapewa cheti cha kuwa daktari...ukiuliza nini eti ooh tunapunguza uhaba wa madaktari...pambaff sana.
MY TAKE
- SERIKALI INATAFUTA KURA
- G.ABACHORI ANASAKA NOTI
- MLALAHOI ANASAKA AJIRA YA URAHISI
Mliosoma UDOM inabidi mkasome tena vyuo vingine Post Graduate!!! Elimu ya udom bado sanaaa...
wanaofundisha hapo wengi ni graduates wa miaka ya 2000 na kuendelea!
huo utumbo wako naweza kulinganisha nataahira aliyesema kuwa "wale wote mliozaliwa na Kina mama wa kule mashinani (kijijini) miaka hiyo mrudi mlikotoka mkazaliwe upya na akima mama wa kisasa /kileo (wamama wa mujini) kisa kikiwa ni kizazi cha analogia hakiwezi shindana na kizazi cha digitali ...nani ka kwambia kuwa elimu ya mtu inapimwa kwa jina la chuo ulichosoma...? kwa taarifa yako mi naona kuwa unawatukana washikaji zako uliosoma nao Shule ya sekondari ..kisa wewe ulisoma chuo kikongwe,... na wao chuo kipya .... "education for emancipation" bado sana hapa TZ.na unaonaekana kuwa u'r suffering from critical mental slavery...
huo utumbo wako naweza kulinganisha nataahira aliyesema kuwa "wale wote mliozaliwa na Kina mama wa kule mashinani (kijijini) miaka hiyo mrudi mlikotoka mkazaliwe upya na akima mama wa kisasa /kileo (wamama wa mujini) kisa kikiwa ni kizazi cha analogia hakiwezi shindana na kizazi cha digitali ...nani ka kwambia kuwa elimu ya mtu inapimwa kwa jina la chuo ulichosoma...? kwa taarifa yako mi naona kuwa unawatukana washikaji zako uliosoma nao Shule ya sekondari ..kisa wewe ulisoma chuo kikongwe,... na wao chuo kipya .... "education for emancipation" bado sana hapa TZ.na unaonaekana kuwa u'r suffering from critical mental slavery...
Haikuanza leo hiyo!! Ilikuwa Makererean vs Muhimbili ,ikaja Muhimbili Vs Eastern blog na sasa ni Muhimbili vs IMTU,KCMC,UDOM.
Muulize Sarungi ukimuona!!!
mkuu kinachoangaliwa ni passion na ujuzi wa mtu. nenda hata india ukaone wanaosoma hayo mambo ni division 3 na 4. sasa endeleeni kuangalia ufaulu mkubwa. dunia imebadilika
Eti kufeli ni accelerator ya kufanya vizuri!Ku feli ni "accelerator" ya kufanya vizuri zaidi usoni, kwa wenye uelewa wanaelewa hilo, sitegemei kwa punguani kuelewa hilo.
Aliingiaje A level kama kafeli au alirudia mtihani wa alichofeli na akapasi?
Hii nyuzi yako imekaa kimajungu-majungu.
Kuna daktari mmoja maarufu sana ana PhD na hana degree hata moja. Unamjuwa?
Halafu kuna failure mwengine wa 0 kabisa. Eti ni Mwenyekiti wa chama fulani cha upinzani na anawaongoza wasomi zaidi yake, na haambiliki. Unamjuwa?
Wacha porojo na kuhororoja, njoo na vitu vyenye mashiko.