Bomu la Ajira litamlipukia Rais Magufuli

Bomu la Ajira litamlipukia Rais Magufuli

Hili bomu mbona tokea wakat wa kikwete tunaambiwa litaripuka? Suala la ajira ni gumu sio tanzania tu bali dunia nzima hata kwenye kampeni za urais marekani lilitajwa sana tu

Wewe akil huna na hujaelewa mada,Read it again .
 
Ok mkuu, wewe labda Magufuli unamuunga mkono kwa lipi?
Nasikitika kwamba kwa kila nililokuwa naunga mkono ameniangusha!
nilimchagua, nikiamini he is strong na anaweza kusimamia kweli! Hii sifa bado anayo lakini....

Pamoja na kusimamia kweli amekosa kuwa sensitive sehemu nyingi ambapo nilimtarajia awe hivyo! unapokuwa rigid kupita kiasi si nzuri nami sikupenda raisi wa hivyo!
I needed strong man, lkn awe pia sensitive at times, hili la kukosa ajira, kukosa mikopo, tetemeko Bukoba, hakuya-handle kwa kiwango stahiki!
Haya ni majanga ktk taifa, pamoja na kuwa strong bado unapaswa kuwa na huruma!
Raisi ni mtu wa juu sana, hata Mungu anataka tumuheshimu!
Tukikwama ktk kufikia malengo basi tuwe wote, tukikumbana na ugumu pia tuwe pamoja!
Tunapokuwa tunawasubirisha wananchi jambo basi tufanye proper communications na si kila sehemu kuwe ni amri!
Tanzania ya Kambarage watu walijitolea Zaidi, hasa baada ya speeches za mwalimu, lkn hakuna asiyejua kuwa kambarage alikuwa mkali mno! he was strong and very sensitive!
Kama JPM atafanya assessment na kukubali kwanza kuwa yeye ni mwanasiasa, pili huruma anatakiwa aitende na asiiseme tu mdomoni, najua atakuwa vile nilivyomtarajia! Ingawa dalili hizo hazipo very clear kwa sasa!
 
Huyu teknikali wala hata simuelewagi? Juzi si alikuwa anampongeza huyo anayemponda leo?

Sisi hayo tumeyapigia kelele kwa mwaka sasa ila wewe ukatunanga humu kuwa "Tunapinga kila kitu" labda kina BAK Chakaza na Salary Slip wanisaidie kukuelewa maana peke yangu nimeshindwa!

Kapagawa huyo ,,,,hata mimi simuelewagi huyo
 
Mkuu nakupongeza sana kwakuwa umemfahamu Magufuli. Hivyo ndivyo alivyo na usitegemee abadilike. Niamini mkuu maana Magufuli nimemfahamu hapo kabla!
 
Mkuu mapinduzi yote dunian huwa yanaletwa na vijana hasa vijana wasomi, Mapenduzi ya kimfumo. Ila itachukuwa kama miaka 500 tanzania kuja kubadilika, maana vijana wengi wasomi na wasio kuwa na kazi ni rahisi sana kuwa tumikia wanasiasa.

Siungi mkono hoja!
Mawazo aina hii huwa ni mihemko tu!
Mliohubiri changes ndio mnaolia namba moja na changes zilizotokea!
Mlitaka kiongozi Imara sio legelege wote leo mnalia! utahubiri mapinduzi leo, lkn kama JPM akiamua kubadili gear angani pia mtalia!
Naamini ktk smooth transitions, na open dialogues na kwa Imani hiyo endapo Bunge letu lingeifanya ajira kama agenda maalum ktk kikao kijacho then tungeanza mchakato vema!
Africa sio sehemu ya rapid/abrupt transition ya lolote!
Vyama vingi/demokrasia ilileta vurugu Africa nzima, Glabalization (mitandao) pia inaleta shida Africa nzima! na shida yetu ni kuwa overwhelmed na mapinduzi holela ya kila kitu! demokrasia, uchumi wa viwanda, mawasiliano etc, leo wewe unahubiri mapinduzi ya ajira!
BIG NO!
Go Slow ndio policy ya kwetu.....!
 
Mkuu nakupongeza sana kwakuwa umemfahamu Magufuli. Hivyo ndivyo alivyo na usitegemee abadilike. Niamini mkuu maana Magufuli nimemfahamu hapo kabla!
Anaweza kubadilika!
Ni binadamu kama sisi sote tofauti kwa sasa ni uraisi!
Kuna sehemu yuko sensitive, nikimuona ktk speech zake zote za makanisani au hata na wale viongozi wa dini ya kiislam! Ukipitia kwa Mungu, JPM inaonesha anakuwa msikivu Zaidi!
hii ni ishara njema kuwa there are people ambao wanaweza kujadili naye!
Mungu wa Imani zote anahimiza ktk kukumbushana mema, ni kazi yetu kufanya hivyo!
ila sisi nao huwa na tatizo! Watanzania huwa tunafeli sana ktk hili!
wakati tulipokuwa tukimkumbusha Kikwete maeneo aliyotakiwa kuyaboresha tulitumia lugha ya matusi au lugha ya kebehi.. hakutusikiliza!
Leo wengi tunarejea kwa lugha zilezile naamini sisi hatutosikilizwa!
Tukiendelea hivi hatutomsaidia raisi wetu, nasi hatutofanikiwa!
tukiwatumia hawa viongozi wa dini ambapo inaonekana anawasikiliza tunaweza kufanikiwa!
Kingine watu wasichoke, ukirejea kushauri mara nyingi Zaidi, kutaleta mafanikio chanya Zaidi!
kazi tuwaachie nyie mlio karibu naye Zaidi!
 
Unatarajia wangefanyaje?
Wanasiasa wanatuangusha sana!
sisi wananchi na wao wote tunalia kilio kimoja!
sisi hatuna ajira na kina mbowe hawana ajira!
kabla ya kibanzi cha vijana waliohitimu shule jana/juzi, Tazama UKAWA wameambiwa wasifanye kazi walizoajiriwa kwazo na wote wameufyata! hata ikifika 2020 bado nitasita kumchagua Lowasa na Mbowe maana hawawezi hata kusimamia vilivyo haki zao leo ndani ya nchi yao! hawa ukiwapa nchi ili wakamshurutishe Trump na watu aina hiyo nje ya nchi/Africa wataweza kweli!
Lissu na Lema wanaonesha ukaidi, lkn bado haitoshi ku-beep mamlaka!
wanasiasa wangeenda ktk mahakama kupeleka kesi yao ya kikatiba ningewaamini, at least wangeonesha kuwa wanaweza angalau kutumia platforms sahihi kufikia suluhisho la migogoro ya kiutawala! kwa sasa hakuna matumaini ya kuwa upinzani unauwezo wa kushika dola! (sorry nimeenda nje ya mada asilia)[/QU. Umenena sana wewe
 
Sasa wewe juzi si ulimpongeza kwa teuzi anazofanya? Umesahau mkuu? Sisi tukakuambia kuwa ondoa ondoa yake imejaa kasoro na makosa ya uonevu ukatunanga weee.. Kama Mwanakijiji ameweza kujirudi sitashangaa kwenu!!
Mkuu nilipongeza kuondolewa kwa huyo mkurugenzi na nikashauri Muhongo na mkurugenzi wa Ewura waondolewe wote
 
Hili bomu mbona tokea wakat wa kikwete tunaambiwa litaripuka? Suala la ajira ni gumu sio tanzania tu bali dunia nzima hata kwenye kampeni za urais marekani lilitajwa sana tu
Mko vizuri kulinganisha mabaya lkn mazuri hamna...Siku nyingine utasema ushoga ukubaliwe Tanzania kwakua Marekani ushoga ni halali
 
Huyu teknikali wala hata simuelewagi? Juzi si alikuwa anampongeza huyo anayemponda leo?

Sisi hayo tumeyapigia kelele kwa mwaka sasa ila wewe ukatunanga humu kuwa "Tunapinga kila kitu" labda kina BAK Chakaza na Salary Slip wanisaidie kukuelewa maana peke yangu nimeshindwa!
Kuwa muelewa yeye kasema atapingana naye kwenye uchumi na kubana demokrasia. Hivyo kwa mambo anayokubaliana nayo hasiti kumsifia.
 
Hili bomu mbona tokea wakat wa kikwete tunaambiwa litaripuka? Suala la ajira ni gumu sio tanzania tu bali dunia nzima hata kwenye kampeni za urais marekani lilitajwa sana tu
mahaba au kitu gani

au hujasoma mada na kuielewa
 
Back
Top Bottom