chikutentema
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 7,730
- 5,011
Ndio Kaka!Baadae wanasema hawakujua kama linaweza kulipuka![]()
Ndio Kaka!Baadae wanasema hawakujua kama linaweza kulipuka![]()
SATAN-2 Made in Russia likionyeshwa live tarehe 27/10/2016,hili kombora ndio hatari zaidi kwa sasa duniani limetengenezwa kwa advanced technology ni inter-continental linafika popote duniani na kwa muda mfupi tuu kwa kasi ya ajabu,lina uzito wa tani zaidi ya 100,linabeba mabomu 10-15 ya atomic,kombora kama hili moja linaweza kuigeuza majivu nchi yote ya UFARANSA.Makombora kama haya 54 yanaweza kuiangamiza USA kabisa.
Pamoja na silaha nyingine kali za kivita ndio maana Rais wa Russia kwa kujiamini kabisa alisema hivi
"we have the best army in world"
Hawa nao labda wasbr vita vya nuclear ndo watatisha, vita visivyo vya nuclear wakae pembeni..... Maneno mengiiii mwisho wa siku anakuja kukumutwa kama dogo tu. Atulie tu na sio kujisifu. Naendelea kushangazwa tangu kusikia Russia ina aircraft carrier moja tu in service.
Labda huijui tuu ww2 ilivoenda. Russia alisha surrender na parts kubwa ya russia ya ulaya ilikuwa imetekwa.na walishaanza kujenga maandaki kuulinda mji wa moskow maana germans walikuwa wanakaribia.wajerumani walichokosea ni kudivert wanajeshi wengi kuiteka kiev na kingine kuwa na maadui wengi.wao wakiwa wachache.na kama lengo lao la vita lingekuwa kuiteka urusi.wangeiteka tuu.maana walikuwa na more advanced weapon
Jenerali mmoja wa kimarekani, nadhan ni General Miller alisema ni ujinga kuanza Kupigana na nchi ingine ambayo mnajua mna nguvu sawa nayo kijeshi. Nilimpendea hapo
WWII huijui kasome "Operation Barbarossa". Hitler ailikuwa na axis tatu zikiongozwa na Gen. Von Runsdet kaskazini, Gen. Von Gott at the Center na Gen. Paulus South. Na hawa walikuwa the most combat experienced commanders wa Hitler na hiyo ilikuwa 1942. Operation hii iliendelea hadi katika viunga vya Moscow. Lakini Marshall Zhukov ndiyo aliyeongoza successful counter attack na siyo "kosa" la wajerumani kudivert majeshi. Hicho ukachokisema wewe si sahihi kwa kuwa mission aliyopewa Gen. Paulus na Gen. Guderian (Tank forces) ilikuwa kwenda kuviteka visima vya mafuta ili kuinyima Urusi nishati hiyo ya kuyawezesha majeshi yake Kusonga mbele. Hata hivyo majeshi ya Urusi chini ya Gen. Vasily Chuikov ( 3rd Army) aliwasambaratisha wajerumani pale Stalingrad ( kati ya Askari 300,000 wa Germany ni 90,000 tu ndiyo waliachwa hai na kutekwa. Gen. Paulus aliomba msaada na ndiyo hicho unachokizungumza na baadaye Paulus aliomba kujisalimisha kwa warusi lakini Hitler alimkatalia na akampandisha na Cheo kuwa Field Marshal akitegemea kuwa Paulus atajinyonga (kama ilivyotakiwa na Hitler kwa kamanda mwenye cheo hicho) kuliko kukubali kutekwa na Warusi. Paulus hakutekeleza ombi hilo la Hitler akasurrender kwa Gen. Chuikov and General na baadaye Marshal Vasily Chuikov ndiye aliyeongoza 3rd Army na ndiye aliyeiteka Berlin. Hao Wamarekani wako waliingia hiyo vita 1944 na nia ilikuwa kumzuia mrusi asiiteke Berlin na siyo vita. Nakukumbusha kuwa Hitler aliingia Paris anapiga bendi.Labda huijui tuu ww2 ilivoenda. Russia alisha surrender na parts kubwa ya russia ya ulaya ilikuwa imetekwa.na walishaanza kujenga maandaki kuulinda mji wa moskow maana germans walikuwa wanakaribia.wajerumani walichokosea ni kudivert wanajeshi wengi kuiteka kiev na kingine kuwa na maadui wengi.wao wakiwa wachache.na kama lengo lao la vita lingekuwa kuiteka urusi.wangeiteka tuu.maana walikuwa na more advanced weapon
Kuna kitu kinaitwa No first Use, sijui unaelewa au ndo upro russia usokuwa na maana!!We jamaa vipi? unaleta za utotoni za vua kwanza mabuti kabla ya kupigana? kwenye vita huwezi kumpangia mtu silaha ya kutumia na ndio maana US anamuogopa Mrusi kwenye kipengere hicho.
Kuna siku,warussi watakula hayo mabomu.SATAN-2 Made in Russia likionyeshwa live tarehe 27/10/2016,hili kombora ndio hatari zaidi kwa sasa duniani limetengenezwa kwa advanced technology ni inter-continental linafika popote duniani na kwa muda mfupi tuu kwa kasi ya ajabu,lina uzito wa tani zaidi ya 100,linabeba mabomu 10-15 ya atomic,kombora kama hili moja linaweza kuigeuza majivu nchi yote ya UFARANSA.Makombora kama haya 54 yanaweza kuiangamiza USA kabisa.
Pamoja na silaha nyingine kali za kivita ndio maana Rais wa Russia kwa kujiamini kabisa alisema hivi
"we have the best army in world"
Kuna kitu kinaitwa No first Use, sijui unaelewa au ndo upro russia usokuwa na maana!!
Kwani si ulisema huwezi kumpangia mtu weapon ya kutumia? All nations wana avoid nuke war because they know the consequences. Russia alisema yeye atatumia iwapo kuna mtu atam nuke, ndo pale pale No first use, Hao Nato wao wenyewe hawawezi kum nuke anyone at first. Wewe unasema butu but its in effect. Tumia hio hio Logic unayotaka nitumie. Tangu US adondoshe Nuclear nambie one war ambayo Nuclear weapon imetumika tena.We jamaa unajifanyaga unajua sana, wakati mwingine logic ndogo tu inahitajika kuelewa mambo. Pamoja na NFU pledge/policy ipo lakini haina meno mkuu. Hadi sasa ni China na India pekee ndo walioipledge 100%. NATO wenyewe waliikataa., Russia alisema yeye atatumia iwapo kuna mtu atam-nuke au hata kama mtu atamuattack conventionally. Na hiyo ndio sababu nikasema huwezi kumuamulia mtu silaha ya kutumia.
No First Use policy ni butu.