Kiyoya
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,775
- 994
Daah..mwaka huu tutasikia mengiLabda huijui tuu ww2 ilivoenda. Russia alisha surrender na parts kubwa ya russia ya ulaya ilikuwa imetekwa.na walishaanza kujenga maandaki kuulinda mji wa moskow maana germans walikuwa wanakaribia.wajerumani walichokosea ni kudivert wanajeshi wengi kuiteka kiev na kingine kuwa na maadui wengi.wao wakiwa wachache.na kama lengo lao la vita lingekuwa kuiteka urusi.wangeiteka tuu.maana walikuwa na more advanced weapon

