Bomu hatari duniani lipo Russia!!

Bomu hatari duniani lipo Russia!!

Vita ni mbinu na si wingi wa mabomu,mrusi akikaliwa kiuchumi anaomba poo
 
Kwani si ulisema huwezi kumpangia mtu weapon ya kutumia? All nations wana avoid nuke war because they know the consequences. Russia alisema yeye atatumia iwapo kuna mtu atam nuke, ndo pale pale No first use, Hao Nato wao wenyewe hawawezi kum nuke anyone at first. Wewe unasema butu but its in effect. Tumia hio hio Logic unayotaka nitumie. Tangu US adondoshe Nuclear nambie one war ambayo Nuclear weapon imetumika tena.

Umeona wewe unabase katika nadhalia eti NATO hawawezi kum-nuke yeyote at first. Mrusi sio atatumia nuke kwa atakayem-nuke pekee, bali yeyote atakaye mprovoke. Ndo maana nikasema NFU inamlinda victim na sio Adversary, na Anyone can be an adversary bro. Ndio maana North Korea ana nukes na anajaribu kila siku lakini Marekani hamgusi pamoja na kuwa kuna NFU kwa sababu kwa NK anafit kabisa kwa adversary side.
 
Hakika tusiombee ww3, makombora yaliyopo duniani ni tisho, ubabe utatumaliza, si USA au Russia zitajiangamiza, vinchi vilivyobakia vitakuwa nyasi vitaangamia, vuta historia ya mwaka 1945, Japanese war, USA atomic bomb Nagasaki na Hiroshima
 
Kwani si ulisema huwezi kumpangia mtu weapon ya kutumia? All nations wana avoid nuke war because they know the consequences. Russia alisema yeye atatumia iwapo kuna mtu atam nuke, ndo pale pale No first use, Hao Nato wao wenyewe hawawezi kum nuke anyone at first. Wewe unasema butu but its in effect. Tumia hio hio Logic unayotaka nitumie. Tangu US adondoshe Nuclear nambie one war ambayo Nuclear weapon imetumika tena.
USA hakutumia nuclear alitumia atomic.
 
We jamaa unajifanyaga unajua sana, wakati mwingine logic ndogo tu inahitajika kuelewa mambo. Pamoja na NFU pledge/policy ipo lakini haina meno mkuu. Hadi sasa ni China na India pekee ndo walioipledge 100%. NATO wenyewe waliikataa., Russia alisema yeye atatumia iwapo kuna mtu atam-nuke au hata kama mtu atamuattack conventionally. Na hiyo ndio sababu nikasema huwezi kumuamulia mtu silaha ya kutumia.
No First Use policy ni butu.
Na bado wanapangiana kuhusu nclear weapons.....Treaty on the Non-Proliferation of Nuclear Weapons
Umeona wewe unabase katika nadhalia eti NATO hawawezi kum-nuke yeyote at first. Mrusi sio atatumia nuke kwa atakayem-nuke pekee, bali yeyote atakaye mprovoke. Ndo maana nikasema NFU inamlinda victim na sio Adversary, na Anyone can be an adversary bro. Ndio maana North Korea ana nukes na anajaribu kila siku lakini Marekani hamgusi pamoja na kuwa kuna NFU kwa sababu kwa NK anafit kabisa kwa adversary side.
No one is going to nuke anyone because they know the consequences. Wanatumia kwa ajili ya kutishana but in reality kila mmoja anamuogopa mwenzie. Then one thing, kwanini mataifa kama USA, ISRAEL, UK, FRANCE etc huwa yanawazuia mataifa kama IRAN, NK kumiliki Nuclear?
 
USA hakutumia nuclear alitumia atomic.
Lahaula, umekuja with confidence. Katika Nuclear weapons kuna two types, Atomic Bomb (A-bomb) na Hydrogen Bomb (h-Bomb) sawa? zote ni Nuclear weapons. Hio atomic bomb ni category tu kama zilivyo bullets. Utakuta hii bullet ya AK47 hii ya bastola ya kihindi, lakini zote ni BULLET. USA walitumia nuclear Bomb, na hadi sasa hakuna hata mmoja aliethubutu kutumia kwa mwenzake.
 
Mkuu nuclear ni advancad na haijawah kutumika,atomic ikirutubishwa ndo inakuwa nuclear.Atomic ndo iliyotumika siyo nuclear bomb
 
USA hakutumia nuclear alitumia atomic.

Mkuu Atomic bomb ni moja na ya nuclear bomb. Kuna aina mbili ya mabomu ya nuclear,
1. Nuclear Fission bombs - Atomic bombs (Ndio yaliyopiga Hiroshima na Nagasaki)
2. Nuclear Fusion bombs - Hydrogen/Thermonuclear bombs (Haya ni upgraded/new technology na ndio yenye nguvu zaidi)
 
Na bado wanapangiana kuhusu nclear weapons.....Treaty on the Non-Proliferation of Nuclear Weapons

No one is going to nuke anyone because they know the consequences. Wanatumia kwa ajili ya kutishana but in reality kila mmoja anamuogopa mwenzie. Then one thing, kwanini mataifa kama USA, ISRAEL, UK, FRANCE etc huwa yanawazuia mataifa kama IRAN, NK kumiliki Nuclear?

That's my point, wanawazuia kumiliki Nuclear ili hata kama wakiwaonea wasilete madhara kwao. Hivi unategemea Marekani aanzishe uonevu wake kwa Urusi au NK unategemea nini kitatokea? Kama wamebanwa kwenye kona then I bet it'll be to Hell with NFU shit.
Trust me, treat ipo kwenye makaratasi lakini sidhani kama ni effective na ndio maana Marekani hawezi kurisk maana hana guarantee kama jamaa watauishi mkataba wa NFU.
 
What superpower does in MILITARY ni same kama wanavofanya economic. Mfano TZ tutaekewa vikwazo vya kiuchumi kisa tunapinga ushoga. Logically huwezi kumzuia mtu au kulipangia taifa jinsi ya kuendesha uchumi wake unavotaka wewe. Ipo ivo ivo katika military, huwezi kumzuia mtu kutumia weapon anayotaka katika vita, hili sikatai, lakini ni common sense kama kila mmoja anajua madhara ya nuke war, there is no winner in this war, automatically kila mmoja anataka mwenzake asitumie hio weapon, ndio maana kuna hizo treaty. We unafikiria mbona Izi other missiles za kawaida no one is making a scene out of it? Cluster bombs kwa mfano ambazo zina affect large area randomly, its because none of these leave a mark for long. Mimi ninao Nuke na wewe Unayo nuke, tutaheshimiana tu, haijaalishi nani analo kubwa au nani dogo, automatically wewe tayari ushanicontrol nisitumie hilo bomu vile vile kwako.

The reason why the treaty is not in full effect ni kwa sababu they all dont trust Russia, nchi kama India mbona zimekubali hio ishu. Na Russia doesnt trust any other nation. This is because them being communist and others Democratic, these two cant trust each other mana kila mmoja anataka mwenzake aanguke. Nuke bombs ni weapons ambazo they can be control but other weapons they cant be controlled no matter how big it is. Na ishu kubwa ambayo inasababisha hizi nuke ziwe controlledni radiations. Bomu la kawaida limeanguka limevunja jengo na kuuwa watu, kesho unaanza ujenzi upya na watu wataishi bila madhara. Nuke ni different case, maradiation kuendelea for years na effects zake zinaonekana.

Kwa kumalizia, Nuke warheads zitatumika kuekeana heshima tu, but no one is going to use it, and it will be used as a means of propaganda. And asante kwa kumfahamisha huyo mkuu alokataa atomic sio nuke
 
Hapa mkuu tupo pamoja, na ndicho nilichokuwa namaanisha. Mkataba upo lakini hauna effect kama zilivyo nukes zenyewe. Hawawezi kupigana kwa kutumia nukes sio kwasababu ya mkataba ila ni kwasababu wanajua athari zake, na ndiyo maana Marekani atafanya kila awezavyo Nukes asizipate Mwarabu maana wote tunafahamu akili zake.
 
Yote hayo ni kumuua mwanadamu tu duh binadamu bwana
 
Never end ever..hawana lolote. Dubiri atakavyosambaratishwa zikianza.
Tambua kwamba Russia anapigana na wengi siyo marekani... It's Russia against NATO jiulize kwanini Marekani kaenda kujiunga na NATO wakati yeye hayupo bara la ulaya
 
Back
Top Bottom