Bomu hatari duniani lipo Russia!!

Bomu hatari duniani lipo Russia!!

Vita ni mbinu na si wingi wa mabomu,mrusi akikaliwa kiuchumi anaomba poo
Russia wameshindikana mbona wamewekewa vikwazo vingi tu lakini bado yupo imara... ana nchi chache tu rafiki ndo wanapeana support Anachofanya marekani ni kuzishinikiza nchi nyingine kuwa against Russia ili kumdhoofisha kiuchumi na kijeshi ili yeye atawale dunia lakini imekuwa mission imposible
 
Hiyo ya uwezo wa kuigeuza ufaransa yote kuwa majivu kwa bomu moja na ya kuigeuza USA kwa mabomu 54 ni maneno tu.
Ukubwa wa nchi kati ya USA na France, maana USA ina States nyingi na nikubwa sana so kwa kufiria tu inaonyesha anaweza kumpiga
 
Hiyo ya uwezo wa kuigeuza ufaransa yote kuwa majivu kwa bomu moja na ya kuigeuza USA kwa mabomu 54 ni maneno tu.
Russia satan 2 is the most advanced nuclear missile 2000 times stronger than the atomic bomb that hit Hiroshima...

Note that Russia siyo walioliita Satan bali ni NATO pamoja na USA ndiyo wanaliita Satan
 
zzhh1.jpg
.
uss zumwalt,brand new most expensive destroyer,imegharimu dola bilion 4 kuitengeza imekufa,imeknock ikiwa katika majaribio.

zzhh2.jpg
.
hms duncan,british very expensive new destroyer,
imeknock pia.

The mistake?,
walitumia computer chip za mchina,
zzhh3.jpg
.

Hujuma?
 
Labda huijui tuu ww2 ilivoenda. Russia alisha surrender na parts kubwa ya russia ya ulaya ilikuwa imetekwa.na walishaanza kujenga maandaki kuulinda mji wa moskow maana germans walikuwa wanakaribia.wajerumani walichokosea ni kudivert wanajeshi wengi kuiteka kiev na kingine kuwa na maadui wengi.wao wakiwa wachache.na kama lengo lao la vita lingekuwa kuiteka urusi.wangeiteka tuu.maana walikuwa na more advanced weapon
Kilichowaangusha pia ni baridi Kali LA Russia, so walishindwa kupigana kwa ustadi
 
baba wa ubabe anabakia ni ujerumani tu ambaye ameshawahi kufanya chochote na kwayeyote Russia, USA wote ni mbwa wasio na meno Dunia ya leo utamtishaje France wakati na yeye Ana nyuklia hayo watutishia Africa ambao n ombaomba tu
 
Hapo ndio unaona uongozi wa nchi hautakiwi kutumia akili ya mtu mmoja (one man show) kama hapa kwetu. Ni hatari sana kwa dunia na mustakabali wa binadamu kama anaweza kuachiwa mtu mmoja awe na uwezo wa kutoa maamuzi yote.
Siku akiamka kimempanda anaweza kuamuru fyatua! Na kitakachofuata ni majanga.
 
Hapa mkuu tupo pamoja, na ndicho nilichokuwa namaanisha. Mkataba upo lakini hauna effect kama zilivyo nukes zenyewe. Hawawezi kupigana kwa kutumia nukes sio kwasababu ya mkataba ila ni kwasababu wanajua athari zake, na ndiyo maana Marekani atafanya kila awezavyo Nukes asizipate Mwarabu maana wote tunafahamu akili zake.
USA awache kila mtu awe free kumiliki nuke asiwapangie wenzake duniani tutaheshimiana sote. NK wanaishia kumuekea vikwazo tu lakini hawampigi, wala they dont turn koreans against their government kama walivofanya Libya na kwengineko.
 
Back
Top Bottom