Watu wa hivyo unawaacha wafurahishe jukwaa... Na viongozi wa wafanyabiashara walikuwa hawafikishi kila kitu kwa wafanyabiashara kwenye vikao mbalimbali walivyokuwa wanakaa,,hili jambo walishaambiwa sana sana.. Kibinadamu lazima uwaonee huruma maana vijana waliwekeza kwaajili ya kujipatia riziki,pa kwenda kwa sasa ndo mtihani,sabasaba kumejaa basi tabu tu.Kweli mkuu watu wengine hawajui wanaleta siasa eti serikali inataka kujenga ghorofa sijui
Mkuu tafadhali!! Haya mambo hayahusiani na kabila la kwetu au kule nilikuwa naishi wakati nasoma Lake Seko baada ya kufukuzwa Seminary. Jichunge sitaki mzaha, humanifasi siko kwa wote!..sasa mbona wakifika kule ghafla wanakuwa na " hyumani feis."
..tunataka HAKI SAWA kwa wote nchi nzima.
Inauma sana Mali za watu kuteketea mi nilitaka nichukue flemu pale kwa shabiby kumbe mambo si mamboWatu wa hivyo unawaacha wafurahishe jukwaa... Na viongozi wa wafanyabiashara walikuwa hawafikishi kila kitu kwa wafanyabiashara kwenye vikao mbalimbali walivyokuwa wanakaa,,hili jambo walishaambiwa sana sana.. Kibinadamu lazima uwaonee huruma maana vijana waliwekeza kwaajili ya kujipatia riziki,pa kwenda kwa sasa ndo mtihani,sabasaba kumejaa basi tabu tu.
Manisapaa walilijua hili,unajiuliza fensi waliojenga kuzunguka stand ya mkoa tena kwa kutumia kodi za wananchi walikuwa wanaweza nn,na wakajenga wakawekewa x
Bora hukuchukua na huku jamatini kwa nyuma watu walikuwa wanauza frem m1 hadi 2,alienunua ndo imekula kwake,anyway ukimpiga chura teke umemuongezea hatua. Wafanyabiashara watainuka tena katika vumbi walilodondokea na kujikung'uta na kusonga mbeleInauma sana Mali za watu kuteketea mi nilitaka nichukue flemu pale kwa shabiby kumbe mambo si mambo
Ni kweli lile lilikuwa eneo la railway ma walishaambiwa waondoke mpaka kuwekewa X.. Railway imeshinda kesi na trh 1/12/2107 walipita kuwatangazia wahamishe Mali zao kwa usalama wa mali zao wanabomoa. So hakuna namna
Kuweka kumbukumbu sawa, Tar 10/10/2017 Rahco ilichapisha mikataba ya kuwataka wafanyabiashara na watu wote walioko maeneo ya Jamatini, Sarafina, Stendi kuu ya Dom na stendi ya ndogo ya Kisasa & Nane nane waanze kulipia maeneo wanayofanyia kazi, kwani maeneo hayo yote yanamilikiwa na Reli na wala si manispaa ya Dom..Hapana ni hivi like eneo ni la railway ata kuangalia kuna baadhi ya miundombinu ya shirika la reli ila imeachwa .
Ishu ni ivi like eneo ilikuwaga Mali ya railway manispaa ndo wakawa wameomba shirika la reli waanze kulitumia wakawaruhusu kulitumia lakini kwa shughuli temporary sasa manispaa wao wakajenga masoko hadi stand wakawa wanakusanya ushuru pia wakawauzia na wafanya biashara kama akina shabby wakajenga halimashauri wakajenga na ukuta wa stand kutoza ushuru vizuri ndo railway wakawawekea bomoa ndo ishu imeenda mahakamani railway wameshinda miundombinu ya manispaa yote inaondoka yakiwemo masoko na stand .Kama utakuwa unapafahamu utaona kabisa kama Ile stand ya kisasa ipo katika makazi ya wafanyakazi wa reli.
Kingine usisahau wale wanajenga reli za kisasa wanaandaa mazingira kwa ajiri ya bandari kavu.Nachokisema nakijua kwa asilimia zote mkuu
si vizuri kuwasema wagogo wote kwa namna hiyo labda ungetumia neno baadhi ingekuwa vyema zaidi.Wagogo walivyo omba omba wakibomolewa si wataongezeka huku mjini
Akili yako fupi sana!Wagogo walivyo omba omba wakibomolewa si wataongezeka huku mjini
Sheria inafuatwa?Sheria inafuata mkondo! Uzuri hakuna anayeonewa, wako watu walijua wana makosa ila wakawa wanademadema wakati wa awamu zile. Sasa awamu ya utekelezaji iko kazin