Kwangu mimi,Je unajua kuna vilio vya furaha?
Ama je wajua kwamba kuna shangwe za huzuni?
Si kila cheko ni furaha na si kila chozi ni huzuniView attachment 3665390
Tuko kwenye huzuniKifo kinaumiza bhana,
Who is nextMaturubali yaenda kufungwa wapi?
Polen sanaTuko kwenye huzuni
View attachment 3665392
Maturubali na hivi vikundi vya kichaga vya kuchangiana misiba siyo poaKifo kinaumiza bhana,
Who is next
Maturubali yaenda kufungwa wapi?
Mungu ikimpendeza afanye yake tuJe unajua kuna vilio vya furaha?
Ama je wajua kwamba kuna shangwe za huzuni?
Si kila cheko ni furaha na si kila chozi ni huzuni
Kule kuna wajinga wachache ila wengi wao kama huku tuKumbe hata ndugu zetu wa huko upande wa pili wanaishi kama sisi?
Dah!Kule kuna wajinga wachache ila wengi wao kama huku tu
Kuna watu wamekamatwa mitaani kwa kufurahia kifoDah!
Hii kesi ngumuKuna watu wamekamatwa mitaani kwa kufurahia kif
Hahahaaa watu wamepata pa kupoozea machungu yao tena kama vifo vya mapolisi watu wanafurahia tuHii kesi ngumu