Bomoa bomoa yafanyika Mbezi, wananchi walalamika kutopewa taarifa

Bomoa bomoa yafanyika Mbezi, wananchi walalamika kutopewa taarifa

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,793
Reaction score
165,531
Naona ITV wanaripoti tukio la bomoabomoa huko maeneo ya Mbezi jijini Dar-es-salaam kwa wale waliojenga katika hifadhi ya barabara.

Watu wenye maduka wanalia kula hasara.

Ubomoaji unaendelea huku wananchi wanajaribu kuokoa mali zao.

Fuatilia ITV

Ubomoaji mkubwa unaendelea maeneo ya mbezi watu wengi wamepata hasara kubwa na wengi walikua hawana taarifa. Baadhi ya waathirika wamezimia kwa hali iliyotokea na wanamlalamikia Mungu kwanini aliwaletea serikali hii. Je hiyo ndiyo huruma kwa wanyonge? si wangepewa muda watoe vitu vyao?
14729359_1020756544701986_7780828368007578117_n.jpg

Source: ITV
 
Huwa Nawashangaa Mipango Miji, Eneo litapataje Thamani bila kuwa na njia za Magari na waenda/Watembea kwa miguu? Njia rahisi ni kubeba lawama mara Moja na kubomoa kote then kwa kipindi Kifupi watu wanasahau na kuanza kufurahia maendeleo!! Mtu anajenga Banda la laki Tatu halafu halafu anazuia njia ya kupita wengine!! Always Msemo ni Wengi Wape!!
 
Back
Top Bottom