FLYAIR
Member
- Jul 11, 2015
- 23
- 9
Jana kupitia taatifa ya habari ITV nimesikia na kuona serekali ya manispaa temeke wakitangaza kubomoa nyumba zote ambazo wamiliki wake hawakuomba vibali vya ujenzi kutoka mamlaka.
Watalaam tusaidieni Dar es salaam karibu yote nyumba zinajengwa katika makazi ambayo kwanza mamlaka haikumbuki hata kuyapima ili tuwe na mpangilio mzuri, sasa je hili agizo Lao ni la waziri mwenye dhamana au ni wao tu wameamua ?
Watalaam msaada kufafanua!