Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 42,436
- 50,163
Habarini za mchana, wale wa mororgoro road kuanzia stop over na waliondani ya mt 90 za barabara rejeeni nyumbani huku wameanza kubomoa
Viona mbali walishahama siku nyingi maana walitambua usemi wa hamjui siku wala saa