Bomoa bomoa barabara ya Morogoro inaendelea

Bomoa bomoa barabara ya Morogoro inaendelea

Habarini za mchana, wale wa mororgoro road kuanzia stop over na waliondani ya mt 90 za barabara rejeeni nyumbani huku wameanza kubomoa

dah saloon yangu nimeomishia home kwanza maana suka pale patakua peupe
 
Achatu wabomoe kumaliza tatizo la foleni! Yaani unaweza kuwa maili moja saa kumi na mbili jioni lkn ukafika ubungo SAA tatu tumechoka adha hii
mkuu nina imani auna hata tofari yani kuvunjiwa kuunguliwa nyumba usioombe
 
Hii bomoa bomoa haiko rasmi nilikuwepo sehemu ya tukio na nikafanikiwa kuongea na baadhi ya wahusiki na kwa majibu yao leo walikua wanatoa salam tu kwa nyumba zote zenye x na ni kama tangazo kua kuanzia leo siku yoyote watakuja kubomoa, na kwa nyumba amvazo tayari watu walishabomoa nyumba zao na kuacha baadhi ya kuta ndio wakikua wanamalizia kuibomoa, wakasema siku wakija hawataruhusu mtu kutoa kitu hata kimoja ndani hivyo watu wahame wenyewe..

Kuhusu kesi ni kweli kuna kesi mbili za malalamiko ya bomoa bomoa, Moja ikiwa ipo katika hatua za awali na nyingine ni keshi ya msingi ambayo inangoja kupangiwa siku ya kutajwa.

All in All tumuombe Mwenyezi Mungu maana ni watu wengi sana watakao athirika kwani ni mita 122 kila upande.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu anataka akisimama mbezi aione msoga bila kikwazo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasikosee tena wakumchagua

from Katesh using Siemens C55
Tusifanye kosa kumuondoa,maana kama chama
cha kijani kitashika dola bila huyu Bwana mkubwa.
Tutarudishwa miaka miambili nyuma.
Kwa kutaka kurudisha haraka kile walichokipoteza.

Kwa sasa pamoja na mapungufu mengine
kila mtu anasoma namba, kama siyo kwa uwazi
basi kimya kimya.Ni vema tumuongezee muda
angalau mpaka anamaliza muda wake
kila mtu atajitambua kuwa yeye ni binadamu.
Na wanadiyoooo watakuwa makini katika
kutunga sheria.Maaana nao msumeno unawakata.
 
Achatu wabomoe kumaliza tatizo la foleni! Yaani unaweza kuwa maili moja saa kumi na mbili jioni lkn ukafika ubungo SAA tatu tumechoka adha hii

Kubomoa sio sio kutatua shida, Serikali ijisogeze nje nje ya Dar kupanua mji , Sio kila kitu kiwepo Posta na Kariakoo hilo ndio tatizo la viongozi wasio na maono ya muda mrefu,kuna maeneo mengi sana ya kupitisha barabara hili kuunganisha Dar na mikoa mingine, hii ni aibu kweli kwa Tanzania miaka 54 nchi hovyo hovyo.
 
Siku nyingine muwaulize vizuri watu wa mipango miji ...kabla ya kujenga

huu utamaduni wa kujijengea hovyo hovyo ulitamalaki mno dont dare again

to bypass mipango miji office.
Tunazungumza mengi kwa kuwa hayajatukuta sisi...na hatufahamu issue hapo barabara ya morogoro kwanini watu wanalalamika....hakuna hata mwananchi mmoja aliyejenga ndani ya mita 30 upande mmoja ambaye anapinga kubomoa na wengi tayari wameshabomoa au walibomolewa..issue ni mita 121.5 sawa na kiwanja cha mpira kila upande wa barabara kwa maana hiyo barabara inatakiwa kuwa na upana wa mita 242 kutokana na sheria ya mwaka 1932...na hao wanaobomolewa hawalipwi fidia yoyote
 
Back
Top Bottom