Bomoa bomoa barabara ya Morogoro inaendelea

Bomoa bomoa barabara ya Morogoro inaendelea

Kuna bar Maarufu kama Usangule bar and Guest house pembeni mwa Morogoro road hali sijui ikoje???

Education is the most powerful weapon which you can use to change the world.
By Nelson Mandela
 
Wales walioumia polenisana Sana'a... Na wale majirani mliokuwa karibu muda muafaka kufarijiana wapendwa

Leo umebaki hujuikesho yakoo..kila LA kheri
 
Kichwa kapewa rungu anazunguka nalo sokoni unategemea nini?
 
Wacha tunyooshwe tu, uzuri wa hili zoezi halina upendeleo, Uwe ccm au chadema wanabomoa nyumba yako, hongera magufuli
 
Back
Top Bottom