Bombing: Tanzania frees 3 Emiratis

Twiga wamekwenda na sisi tunakwenda...tusubiri watuletee aioc na mhakama ya kadhi...mungu tuhurumie watanzania na tuepushe na hili janga

Hapa janga ni kuwa na ubalozi wa vatican Tanzania. Kwani bila kija huyo balozi kusingetokea mlipuko - Janga.
 
Kwa hiyo unataka kulazimisha watu wa kukamatwa?au huamini kama akina victor wanaweza kuhusika na hilo tukio. Muulize pengo atakuambia nani wamehusika. Ndomaana wamekaa kimya hawajatoa tamko lolote kitu ambacho si cha kawaida

Victoe alikodishwa kijiweni kwake anapopark na wenzie kusubiri abiria,na mbaya zaidi abiria alikimbia bila kulipa. Serikali iache siasa kwa kutaka kuonyesha inafanya kazi na kuna watuhumiwa tayari wanashikiliwa.
 
Victoe alikodishwa kijiweni kwake anapopark na wenzie kusubiri abiria,na mbaya zaidi abiria alikimbia bila kulipa. Serikali iache siasa kwa kutaka kuonyesha inafanya kazi na kuna watuhumiwa tayari wanashikiliwa.
Mkuu Unaweza kumsaidia ushahidi mahakamani!?
 

Mkuu hii inaonyesha serikali inavyowadharau raia. Hata mbwa ni nafuu! Ndio maana kila siku nasema kosa ni letu sisi raia. Issue kama hii ya kudharauliwa inatakiwa tuwafurumushe huko ikulu kama mbwa mwizi!
 
Jeshi la Polisi Mkoani Arusha limewaachia huru Raia Wanne wa Saud Arabia waliokua wakiwashikilia kwa kuhusishwa na tukio la Ulipuaji wa Kanisa kwa Bomu la kurushwa na Mkono.

Hii ni baada ya Polisi kurudhika na uchunguzi wao kuwa raia hao wa Saud Arabia hawakuhusika na tukio hilo la ulipuaji Kanisa ambapo ktk tukio hilo watu watatu walipoteza maisha huku zaidi ya 60 wakijeruhiwa.

Polisi imeendea kuwashikilia watu 8 kwa mahojiano na Uchunguzi zaidi. Hii ni pamoja na Raia wa Tanzania mwenye asili ya Kiarabu ambae alikua Mwenyeji wa Wasaudia hao walioachiwa huru.

Sourc: TBC radio.
 

Inabidi tumwogope sana Mungu. Maana hii hadithi hata uelezejwe haieleweki. Angalia

1. Yaani uchunguzi walioshirikiana na FBI na Interpol umewaonesha hawa watano wageni 'hawahusiki'!
2.Ila uchunguzi huo bado haujakamilika na hivyo unaendelea tena wakishirikiana na wakenya na waganda,
3. Pamoja na hayo wamemfungulia mashtaka Victor! Kuna wale raia wawili wa Tanzania wenye asili ya Yemen, taarifa haisemi kama wameachiwa au wamefunguliwa mashtaka. Kaw lugha nyingine Interpol na FBI wamekuwa silent and so is the police force!
4. Pamoja na kuwa uchunguzi haujakamilika wamewaachia watu ambao mwanzoni waliwakamata (randomly?) wakiamini wanahusika. Yaani uchunguzi ukiendelea ukagundua wanahusika itakuwaje? Au ndio inabidi uchunguzi uhakikishe hawa aliochiwa hawahusishwi kwa vyovyote?
5.Sitaki kuamini lakini pengine kuna maelekezo kutoka juu kwamba upelelezi huu kwa vyovyote vile uoneshe watu wa dini fulani hawakuhusika kama ilivyohisiwa bali ni wao wenyewe ili kujikosha na kufuta aibu yetu. Maana haiingii akilini kwanini wapo wengine ambao FBI na Interpol hawajasema kama hawahusiki lakini bado hawaachiwi na hawajafikishwa mahakamani? Au mie ndio sina habari? Naona kama kuna unnecessary capitalization ya Victor, naam VICTOR. Victor sasa anashtakiwa kwa kuuwa na kujaribu kuua. Hakuna dhamana.
 

Literally this is a rubbish! How the hell this stupid goverment with narrow minded leaders want to play with our feelings! F¤K!
 
Kamanda Sabas, kama FBI wanasema raia hawa wanne hawakuhusika, lazima, kwa kushirikiana na Intepol, Uganda na Kenya, watakuwa wanajua ni nani alishiriki! At least watakuwa na hint. Je ni Victor? Au kuna mwingine alihusika hajakamatwa?
 
Hii ni matokeo ya kuwa na mtazamo mmoja kt mambo serious,

na bado meng yatadihirika na weng wataumbuka sana
 
Hii taarifa iko humu kitambo.
Pengine lugha iliyotumika na mbandikaji wa kwanza ndio imefanya baadhi yetu kutoiona!
 
Literally this is a rubbish! How the hell this stupid goverment with narrow minded leaders want to play with our feelings! F¤K!

Wnadhani kwa kutaja FBI na Intepol plus Kenya and Uganda ndio watatufanya tuwaamini! Nimepoteza imani kabisa na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama. Kama ndivyo wanavyofanya kazi hatiwezi kushangaa ile ndege ya kijeshi iliyokuja na kuondoka 'unnoticed'
 
Ni kweli, hata yule mtoto aliyekojolea Qur'an bado hajakamatwa. wala hajafunguliwa mashtaka yoyote. Halafu kumbe kule segerea kuna mtoto wa miaka 10 kafungwa kwa kuiba pesa kidogo. Hiyo ndio Tanzania!!!

Si mlimwambia akikojolea sijui atageuka mjusi na yeye akataka kuthibitisha ni uongo! Ana kosa gani! Na huyo wa Segerea (kama yupo) ni kosa! Usitake kuhalalisha kosa kwa kutenda kosa!
 

sarakasi zimeshaanza.Baada ya kuona hali imepoa!Jeshi dhaifu hili jaman.
 
Raia wa Saudia ni mmoja tu nae anafanya kazi U.A.E,watatu ni raia wa U.A.E.
 
KIKWETE DHAIFU, HATUWEZI KUFIKA KWA MTINDO HUU.Wanawaogopa hao wa Saudia kwani watashindwa kuwasaidia waislamu wa Tanzania kuanzisha mahakama ya kadhi:argue::drum:
 
Ililikuwa wazi kwamba vijana wa kiarabu
hawakuhusika kama ilivyo kwa kijana wa bodaboda! Kwa ufupi wahusika wa tukio hili hawajakamatwa.

Kama hawajakamatwa huyo dereva wa bodaboda wanamfungulia kesi ya nini? Kuna kitu wanataka ku-potray kwa umma!!!! Amini usiamini!!! It is framed!! Na hawatakamatwa milele, kama ambavyo wa Ulimboka na Kibanda hawatakamwatwa!!!! Na wa kumuua mwangosi hakuna kitu, na muuaji wa padre naye at large!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…