Iron
JF-Expert Member
- Sep 4, 2008
- 363
- 150
Mh.Iron Jioni njema hutokea kukamata randomly; Mwezi jana kwenye tokeo la Boston Marathon bomu, Tangazo la kwanza kabisa wamerekaniUS na taaluma zote za kiintelijensia baada ya mripuko tu walitangaza eti Msaudi ndo mhusika na ni kijana mwanafunzi tumemkaribia kumweka nguvuni !! (hapo boston peke kuna wanafunzi zaidi ya elfu5 wa kisaudia) Looh,
Wakuu hao baadaye kupeleleza waka geuza kibao na kuomba radhi na kutoa taarifa ingine kuwa walotenda ni wa CHECHENIA/warussi. eti wanafanana, Sasa mambo kama haya yanatokea kukamata mtu katika " WRONG PLACE and WRONG TIME"...
Lakini tusubiri reporti ya FBI hao mababa riwaya yao ni nini? Hakuna siri itakayo fichwa milele!!
good luck.
Yote yanawezekana. Ila sitaki kuamini wageni watano walikamatwa kwa bahati mbaya halafu weusi wamekamatwa kwa hakika! There is something here, sijui kama mnakiona. Wamerekeni hawakukamata, walitoa initial link waliyokuwa nayo, whivh is very fair