Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 16,863
- 62,390
Unajua maana ya kuuziwa mbuzi kwenye gunia?
Mkataba hauwekwi wazi ili tuone kilicho chetu exactly ni asilimia ngapi?, Cha Mganda ni asilimia ngapi?, Na cha mwekezaji ni asilimia ngapi?
Je hizo asilimia zetu tutakazopata ziko worthy kurisk hatari ya uharibifu wa mazingira kama itatokea hitilafu?
Je na sisi tunachangia mtaji wa ujenzi?
Je mgawanyo wa ajira katika kumanage hilo bomba ukoje kati yetu na Waganda?
Je sisi tunapata share yoyote katika mafuta yatakayopita katika nchi yetu au sisi kazi yetu ni kutoza ushuru wa hizo lita?
Je vipi kuhusu sisi tukigundua mafuta yetu, hilo bomba halitotuzingua kwa kutuletea ushindani?
BADALA YA KUTUIMBIA UZURI WA BOMBA, TUWEKEENI FIGURE TUONE WENYEWE CHETU NI ASILIMIA NGAPI?