Nimependa kumbukumbu hiyoUkiweka other factors constant, na uzalendo aside, kwa mawazo yangu haileti economic sense kujenga bomba la mafuta kupitia Tanga as opposed kupitia Kenya. Ni kama wanyarwanda walivyotaka kupitishia mizigo yao Mombasa badala ya Dar es Salaam. Sijui kama bomba litapitia chini ya Lake Victoria au litazunguka, ila kwa kila hali itakuwa la gharama zaidi kuliko kupitia Kenya. Issue ya fidia ni one time cost na haiwezi kuwa kigezo cha kufanya uamuzi. Gharama za uendeshaji in the long run ndo kigezo muhimu.
Nafikiri sababu kubwa ya waganda kutaka kupitishia bomba kwetu ni usalama tu. Wakenya hawaaminiki kwani katika ule mgogoro wa kile kisiwa wakenya walingo'a reli ya kwenda Uganda. Hicho waganda hawasahau leo mpaka kesho. Sasa fikiri ni bomba la mafuta linapita, si wangelichoma moto? Wakenya wakifanikiwa kuwapa assurance waganda kuhusu usalama, we might as well kiss this project goodbye.
Haya ndio mawazo yanayo takiwa kwasasa
Sio kukalia siasa zakipumbavu
Wakati fursa ndio hii tunaizembea
Babu hiyo ndio point yenyewe, sababu Mseveni anazunguka zunguka na briefcase yenye madocument ya huo mradi wa bomba mara Kenya, mara Tanzania, akitoka Tanzania anaenda Kenya tena, pengine kesho mtasikia yupo Jibuti. Sababu hiyo mtaji wake wa kuburgain kwa sasa akiachia huo hana deal nyingine tena huko mbele.Usikute Waganda wanatutumia kama njia ya ku-negotiate na Kenya.
Tayari Dr.Mataragio ameshahakikishiwa mradi uko palepale.Kama ni ushenzi sasa nasie niwakati wa kuufanya
Tuingie vitani na Kenya
Kuusaka mradi huu
Hakuna namna
Pia sio suala la kubweteka
Kinacho fanyika sasa sio udugu wala ujirani
Ni kuangalia faida utakayo pata
Niwakati sasa wa Tanzania kuamka, tuingie ktk mapambano mradi huu upite TANZANIA
Acha comments za hovyo hovyo zisizokuwa na base. Kwa kipimo cha nani .....Magufuli anaaminika zaidi kuliko Kenyata!
Dah mkuu kama ishu inalipa hivi kwa long run inabidi serikali iangalie hata namna ya kuchangia gharama za ujenzi.Huu mradi ni wakupigania kufa na kupona, waziri wa uganda anasema bomba hili litatumia us$2.7b likijengwa kuelekea lamu, na likielekea mombasa litatumia us$ 4b, kwatanzania litagharimu us$5.7b hivyo anasema ni route ya Tanga haifai, lakini rais wa Total anasema watatumia pesa zao wenyewe kujenga.
Ada ya kupitisha mafuta katika bomba hili ni us$14 kwa pipa na kwa siku watapitisha pipa 250000, kwa haraka Tanzania itavuna US$ 1b kwa mwaka sawa na 25% ya exports ya nchi nzima kwa mwaka, kumbuka malipo haya yanafanyika kwa pesa ya kigeni.
Huu sio mradi wakuchezeaDah mkuu kama ishu inalipa hivi kwa long run inabidi serikali iangalie hata namna ya kuchangia gharama za ujenzi.
Kama faida kwa mwaka ni zaidi ya Trillioni 2 kama makusanyo ya ushuru kwa kupitisha bomba kwa nini Magufuli asijipige pige atafute hata Trillioni 3 azi-damp kwenye project ili kuhakikisha mradi unapita kwetu??
Huu mradi si wa kuuacha utupite aiseeee
Uposawa mkuuAcha comments za hovyo hovyo zisizokuwa na base. Kwa kipimo cha nani .....
Reseach iliyothibitisha hili uliifanya wewe?. Changia kwa hoja sio ushabiki...
Ni kweli kabisa mkuu.Huu sio mradi wakuchezea
Hivi lile la tazama lina faida gani?ni sahihi kwanza kujua faida za bomba la mafuta kuwepo. au ni kama lile la tazama? faida kwanza...
Kama faida kwa mwaka ni zaidi ya Trillioni 2 kama makusanyo ya ushuru kwa kupitisha bomba kwa nini Magufuli asijipige pige atafute hata Trillioni 3 azi-damp kwenye project ili kuhakikisha mradi unapita kwetu??
Dunia nzima Rushwa kubwa huwa zinatolewa kwenye miradi kama hii.Huu mradi kuna raisi anatafuta apewe rushwa kubwa kuachia huo mradi uje Tanzania.Anayetaka rushwa Ni museveni au Kenyatta au wote wawili? sijui.Lakini nimeanza kusikia harufu ya rushwa kubwa.
bomba hili linaifaidishaje tanzania? wasije wakatuletea milipuko kwa huhuma, wakenya wana usongo sana na tz
Kenya maneno mengi sana propaganda nyingi sanaa , na wakiwin hili bomba watajiona vidume sana na kejeli kibao hawa waduduKenya wajipange sana maana tuna watu makini kupita maelezo hapa mahiga pale jpm wataisoma namba wao wanaendelea kuhangaika mitandaoni cc tunajenga bomba
Ndio maana wakenya roho zinawatokaAda ya kupitisha mafuta katika bomba hili ni us$14 kwa pipa na kwa siku watapitisha pipa 250,000 kwa haraka Tanzania itavuna US$ 1b kwa mwaka sawa na 25% ya exports ya nchi nzima kwa mwaka, kumbuka malipo haya yanafanyika kwa pesa ya kigeni.