Boko Haram strikes again!

Status
Not open for further replies.

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
4,598
1,233
Naigeria ya kaskazini hapakaliki!

6 February 2012 Last updated at 21:52 GMT

Nigeria unrest: Blasts rock Kano and Maiduguri

A police station has been hit by an explosion and attacked by gunmen in the flashpoint northern Nigerian city of Kano, injuring an officer. Further east, at around the same time, witnesses spoke of hearing explosions in the market area of Maiduguri.

Suspicion for the attacks will fall on Islamist militant group Boko Haram.

Boko Haram is waging an insurgency in the region in a bid to try and overthrow the national government and install an Islamic state. Kano saw a series of attacks last month that left more than 185 people dead.

'Plumes of smoke'
The attack on the police station in the Sharada district of Kano happened at just after 18:00 (17:00 GMT). Gunmen carrying bombs had descended on the police station from different directions, Kano police spokesman Magaji Musa Maji'a told Reuters news agency.

"One policeman was shot on the leg and he is receiving treatment in hospital," he said.

Resident Bala Salisu told the AFP news agency he had just arrived home in time for a curfew when he heard a loud blast.
"Shortly, gunshots followed. From what I heard it sounded like a shoot-out," he said.

A Reuters reporter in the area said the explosion - so powerful it shook windows - was followed by a sustained gun battle which lasted more than an hour. Magaji Musa Maji'a said that the police officers eventually got control of the station.

Meanwhile, in Maiduguri - Boko Haram's heartland - a series of explosions were heard in the market and black smoke was seen billowing from the area.

"I heard five explosions around the market and plumes of black smoke... filled the air," nearby resident Aisha Goni told AFP.

"The market is still on fire. Soldiers and policeman have taken over the whole area."

-BBC
 
Inanikumbusha Biafra, wakatoliki waliuwa sana na Nyerere akiwa support walipotaka wamegewe kipande chao.
Wewe Faiza Foxy sidhani kama kuna uhusiano hapa. Huko Kano na Maiduguri hawa Boko Haram hivi sasa hawachagui mtu, kwa hiyo wanaokumbwa na mikasa ni wote; yaani Waislamu na Wakristo!
 
Inanikumbusha Biafra, wakatoliki waliuwa sana na Nyerere akiwa support walipotaka wamegewe kipande chao.

yeah.... itakukumbusha pia alkaida, walipoua wamama na watoto wasio na kosa wala uhusiano wowote na uterrorism
 
Wewe Faiza Foxy sidhani kama kuna uhusiano hapa. Huko Kano na Maiduguri hawa Boko Haram hivi sasa hawachagui mtu, kwa hiyo wanaokumbwa na mikasa ni wote; yaani Waislamu na Wakristo!

Nini kibaya nilichokisema hapo? Kwani uongo? Kama haukuwepo kaa kimya na uuulize waliokuwepo.
 
Inanikumbusha Biafra, wakatoliki waliuwa sana na Nyerere akiwa support walipotaka wamegewe kipande chao.

Mkuu FaizaFoxy, unaunga mkono bokoharam kwa kuwa Nyerere aliunga mkono Biafra? au ndio zile akili za mwanabodi Malaria Sugu.
 
Mkuu FaizaFoxy, unaunga mkono bokoharam kwa kuwa Nyerere aliunga mkono Biafra? au ndio zile akili za mwanabodi Malaria Sugu.

Unajuwa maana ya Boko Haram? na unajuwa kwanini wanadai wapewe sehemu yao wajitawale? Ulishawasikia kabla ya huyu Rais kushika? walikuwepo lakini uliwasikia? Jiulize kwa nini? au soma kidogo uelewe kwanini.

Kina John Garang walivyodai Sudan ya kusini, kuna mtu aliwaita ma "terrorist"? Fikiri.
 
FF, I'm just glad I am not you. I bet you ar glad you ar not me!

Move ya Tanzania mnaianza lini? Ama tz hamtaki kipande chenu mjitawale?

Leo wanakwenda kujaribisha ndanda secondary angalia jinsi polisi watakavyojibu itatoa majibu ya kipande chao cha pemba.
 
Leo wanakwenda kujaribisha ndanda secondary angalia jinsi polisi watakavyojibu itatoa majibu ya kipande chao cha pemba.

kwani ilikuwa ni leo au jana... mimi nadhani hapa kuna tofauti ya kuamini juu ya hawa watu wa wateule wa mungu yaani yesu na muhamad ndio inakuwa shida sana.

ngoja tuone watakuja na lipi kuhusiana na hayo maandamano...
 
FF, I'm just glad I am not you. I bet you ar glad you ar not me!

Move ya Tanzania mnaianza lini? Ama tz hamtaki kipande chenu mjitawale?

Tanzania ni nchi ya amani na sioni tatizo zaidi ya vidonda vilivyoachwa kwa kuminywa haki zetu, lakini tunaona kuwa vidonda vinaanza kupunguwa na tunatumai kuwa baada ya muda si mrefu yatabaki makovu.

Siku zote wapigania haki huitwa magaidi, hata Mandela aliitwa gaidi na akahukumiwa kifungo cha maisha. Jee, ni kweli alikuwa Gaidi? Laiti mngejuwa jinsi watu wanavyonyimwa haki zao huko Nigeria, nadhani wote mngekuwa upande wao. Lakini ni nani ataweza propaganda za "crusade"?

Leo Iraq, tuliaminishwa wana silaha za maangamizi, ziko wapi mpaka leo? lakini wanaouwa watoto, wazee, na kuikalia nchi yao na kuweka vikaragosi wanavyovitaka na kujichotea mali kiholela wanaonekana ni mashujaa, na wale wenye nchi wanaoonewa wamegeuzwa kuwa ndio maadui. Haki iko wapi?

Boko Haram, maana yake ni kupinga kuibiwa na kudanganywa na wageni na wale vikaragosi wao. Sasa kama wapo wanaotaka kuendelea kuwachia mali zikichotwaa, basi watupe kipande chetu na wao wabaki na hao wawapendao. Hao ndio Boko Haram.

Hatutoacha kuwa na wale wenye kudai haki zao kwa yakini.
 
Nini kibaya nilichokisema hapo? Kwani uongo? Kama haukuwepo kaa kimya na uuulize waliokuwepo.
Tuliza manyanga mwan'etu. Nilishakuonya kabla kwamba kiumri hutakuja kunifikia hata siku moja. Danganyana na vijana, na sio wazee. Tunazungumzia Boko Haram na sio Biafra!
 
Tanzania ni nchi ya amani na sioni tatizo zaidi ya vidonda vilivyoachwa kwa kuminywa haki zetu, lakini tunaona kuwa vidonda vinaanza kupunguwa na tunatumai kuwa baada ya muda si mrefu yatabaki makovu.Siku zote wapigania haki huitwa magaidi, hata Mandela aliitwa gaidi na akahukumiwa kifungo cha maisha. Jee, ni kweli alikuwa Gaidi? Laiti mngejuwa jinsi watu wanavyonyimwa haki zao huko Nigeria, nadhani wote mngekuwa upande wao. Lakini ni nani ataweza propaganda za "crusade"?Leo Iraq, tuliaminishwa wana silaha za maangamizi, ziko wapi mpaka leo? lakini wanaouwa watoto, wazee, na kuikalia nchi yao na kuweka vikaragosi wanavyovitaka na kujichotea mali kiholela wanaonekana ni mashujaa, na wale wenye nchi wanaoonewa wamegeuzwa kuwa ndio maadui. Haki iko wapi?Boko Haram, maana yake ni kupinga kuibiwa na kudanganywa na wageni na wale vikaragosi wao. Sasa kama wapo wanaotaka kuendelea kuwachia mali zikichotwaa, basi watupe kipande chetu na wao wabaki na hao wawapendao. Hao ndio Boko Haram.Hatutoacha kuwa na wale wenye kudai haki zao kwa yakini.
Some things are better kept at heart. Hold your cards so close to your heart.....
 
FF, I'm just glad I am not you. I bet you ar glad you ar not me!

Move ya Tanzania mnaianza lini? Ama tz hamtaki kipande chenu mjitawale?
Bado muda kidogo tuu ! Wagala mmezidi kiburi na dharau na ufisadi ! Wakati huo ndio mtajua nini maana ya neno 'Boko Haram'
 
Tuliza manyanga mwan'etu. Nilishakuonya kabla kwamba kiumri hutakuja kunifikia hata siku moja. Danganyana na vijana, na sio wazee. Tunazungumzia Boko Haram na sio Biafra!

Kama ulikuwepo unajuwa jinsi tulivyochangishwa na Nyerere kuwasaidia Biafra, na jinsi alivyo wa support. Au hujui hilo?
 
Hata kama ni haki lakini kuidai kiivi ni hatari.

Muislam anapodai haki yake ni hatari, M kurusedi anapoiba na kuhamisha mali zote nje ya Nigeria na kuiwacha maskini nchi yenye utajiri wa mafuta ni sahali. Unanshangaza!

Ndio hayo, ma nun wanapovaa hijabu ni watu wa Mungu, Mwanamke wa Kiislaam anapovaa hijab, ananyanyaswa!
 
Tanzania ni nchi ya amani na sioni tatizo zaidi ya vidonda vilivyoachwa kwa kuminywa haki zetu, lakini tunaona kuwa vidonda vinaanza kupunguwa na tunatumai kuwa baada ya muda si mrefu yatabaki makovu.

Siku zote wapigania haki huitwa magaidi, hata Mandela aliitwa gaidi na akahukumiwa kifungo cha maisha. Jee, ni kweli alikuwa Gaidi? Laiti mngejuwa jinsi watu wanavyonyimwa haki zao huko Nigeria, nadhani wote mngekuwa upande wao. Lakini ni nani ataweza propaganda za "crusade"?

Leo Iraq, tuliaminishwa wana silaha za maangamizi, ziko wapi mpaka leo? lakini wanaouwa watoto, wazee, na kuikalia nchi yao na kuweka vikaragosi wanavyovitaka na kujichotea mali kiholela wanaonekana ni mashujaa, na wale wenye nchi wanaoonewa wamegeuzwa kuwa ndio maadui. Haki iko wapi?

Boko Haram, maana yake ni kupinga kuibiwa na kudanganywa na wageni na wale vikaragosi wao. Sasa kama wapo wanaotaka kuendelea kuwachia mali zikichotwaa, basi watupe kipande chetu na wao wabaki na hao wawapendao. Hao ndio Boko Haram.

Hatutoacha kuwa na wale wenye kudai haki zao kwa yakini.

Faiza
Katika Jamii ya watu waliostaharabika na wenye hofu juu ya Mungu haiwezekani hata kidogo kujustify
udaiji wa haki kwa kuuwa watu wengine.

Niko tayari kujifunza kutoka kwako, lakini ninachokijua mimi ni kwamba, katika makundi yote duniani
yanayotumia kwa namna moja ama nyingine neno "Mungu" ni Islam peke yake ndio kundi lililo radhi
kuua binaadamu wengine hasa wasiojitambua nalo kwa kigezo cha kudai haki zao.

Ukisikiza madai ya Islamu unakuta kwamba ili yaweze kutekelezeka kwa namna yoyote ile, wanahitaji
kuwa na Geographical bounderies.

Kitu kinachonichanganya ni kwamba, ni kwanini Islamu imeshindwa kuwa na Geographical bounderies
ukilinganisha na Umri wake, wakati vikundi vingine vidogo vidogo tu kama, Tanzania vimeweza kuwa
na very clear bounderies wakati vina umri mdogo sana. why?

Islamu imekuwa ni kama mwiba kwenye nyama popote ilipo. Imekuwa kero.
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom