Boko Haram strikes again!

Boko Haram strikes again!

Status
Not open for further replies.
Mkuu unanipa burudani jinsi unavyo wachalenji hawa wana wa Allah
Jamaa yako anasema Mungu alipa ubaya kwa wema na binaadam ubaya kwa ubaya ! Ajabu mnasoma Biblia lakini hamtii maanani, Mungu alimuangamiza Pharao na watu wake, wale wayakudi waliobudu ngombe waliuawa. Wale wa safina, wale wa Luth, Mungu hakuonyesha huruma ?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom