Sangarara
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 13,100
- 5,649
Hapa niko darasani, ninajifunza kutoka kwako, Msomi na Mjuzi mzuri sana wa Islamu.Unajuwa maana ya Boko Haram? na unajuwa kwanini wanadai wapewe sehemu yao wajitawale? Ulishawasikia kabla ya huyu Rais kushika? walikuwepo lakini uliwasikia? Jiulize kwa nini? au soma kidogo uelewe kwanini.
Kina John Garang walivyodai Sudan ya kusini, kuna mtu aliwaita ma "terrorist"? Fikiri.
Naomba kabla sijapotoka uniweke sawa. Unazifananisha harakati za kina Garang na Harakati za Islam?
Unasema, wanadai wapewe sehemu yao wajitawale? ni lini iliwahi kuwa yao? walinyanganywa lini?
Leo nitakupa changamoto my dear. Kama Islamu ni dini ya Mungu isingekuwa na hofu ya kuchangamana
na imani zingine alafu Binaadamu huru, kwa kadri alivyobarikiwa na Mwenyezi Mungu uwezo wa kufikiri
na kutafakari, including you Faiza, aweze kuichunguza, na kuipima kisha afanye maamuzi bila kushurutishwa
ama kuifuata ama kuisukumia mbali kabisa. yeyote ajitengae na wenzake ni mchawi.
Kwenye Falsafa ya Survival for the fittest, Inasemekana kwamba ni vile vitu imara peke yake vinaweza kuimiri
changamoto za mabadiriko. sio kwa kukimbia, bali vyenyewe ndio vitabaki na vile weak vitakimbia au kufikwa na
natural death.
Je ninakosea kuichukulia Islam namna hiyo.