Boflo kuna deal hapa...

Mtoboasiri

JF-Expert Member
Aug 6, 2009
5,101
1,946
Fanya mpango uweke picha yangu hapa nikiwa na Kongosho. Buku mbili zitakuhusu ukiweza.

Cheers mate!

Btw: Bishanga haruhusiwi kutoa comments hapa.
 
Naona mambo ya kunyang'anya wake yameshika kasi humu!

St paka mweusi inabidi akemee hili pepo!
 
Ruta nitake radhi! Tangu lini kupiga picha na mke wa mtu (assuming Kongosho ni mke wa mtu kweli - maana nilichokiona so far ni kuwa binti anachezewa tu!) ikawa ni sawa na kunyang'anya mke wa mtu? Na kumbuka haijathibitishwa kuwa Kongosho ni privatized material!
 
Hahahahahahaha

Similar Discussions

Back
Top Bottom