Jaluo_Nyeupe
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 2,955
- 2,489
Akiweka nishtue!Weka hapa hiyo barua ya Bodi.
Akiweka nishtue!Weka hapa hiyo barua ya Bodi.
Yanga hawana hata akili ya kuvuka barabaraBodi ya Ligi na TFF yote kumejaa watu wajinga tu. Na huu ndiyo ukweli mchungu. Wallace Karia tangu hapo anafahamika fika ni kwa namna ni mtu wa hovyo.
Nawashauri Yanga wasiingie kwenye mtego wa hao vilaza. Wapeleke timu kwenye hiyo siku watakayo itangaza, halafu tuone kama ile timu yao wanayoibeba kwa kila aina ya mbinu chafu; itashinda huo mchezo.

Wewe subiri points 3 za dezo kama viongozi wakoWeka hapa hiyo barua ya Bodi.
Washushwe daraja wakajifunze wamezidi uhuni na usela maviWewe subiri points 3 za dezo kama viongozi wako
Mamlaka zitumie hii fursa kuionyesha Yanga na godfathers wao serikalini kuwa wako imara.Tukiacha mambo ya usimba na uyanga. Tuliza akili yako kama mtu wa mpira mwenye akili timamu, hivi kwenye hili sakata unaona kuna namna yoyote Yanga kupewa point 3 za mezani?
Watz akili zetu tunazitumia vibaya sana. Wenye mamlaka na hii ligi ni bodi ya ligi. Hata ukienda CAS hakuna point 3 za bure.
Wanamsikiliza Haji Manara anawajaza upepo yakija kuwakuta ya kuwakuta yeye anaenda kuchekea chooniMamlaka zitumie hii fursa kuionyesha Yanga na godfathers wao serikalini kuwa wako imara.
Simba wametengeneza njia Bodi na TFF waifuate. Kuna namna Yanga wanadharau mamlaka. Fikiria nani aliwafungulia Yanga geti wakaingia uwanjani hiyo tarehe 8.
Kwa akili ndogo tu utapewaje points? Sio mechi kuchezwa tu hata mamlaka za kuchezesha hiyo mechi hazikuwepo? Angalia kilichotokea Misri kutokuja kwa Al Ahl, yale ndiyo mazingira ya kupewa points.
1) Mabaunsa wana nguvu kuliko polisi? Mabaunsa wanaweza kuwazidi vyombo vya usalama?Kama wale wavuta bangi mabaunsa waliotumwa na Uongozi wa Yanga wasingeifanyia fujo Simba na kuizuia kufanya mazoezi yote haya yasingelitokea, tunataka kabla ya mechi hiyo Club ya Yanga iadhibiwe kwa kosa walilofanya usiku wa tarehe 7 March kuizuia Simba kufanya mazoezi.
Kuhusu meneja wa uwanja kukataa kuwafungulia geti Simba ambao wanalindwa na kanuni lakini akawafungulia Yanga ambao mechi imeahirishwa nadhani hapo ndipo linakuja suala la rushwa ambalo limejitokeza kwenye uchunguzi kwa mujibu wa taarifa ya Afisa Usalama wa mechi.Mamlaka zitumie hii fursa kuionyesha Yanga na godfathers wao serikalini kuwa wako imara.
Simba wametengeneza njia Bodi na TFF waifuate. Kuna namna Yanga wanadharau mamlaka. Fikiria nani aliwafungulia Yanga geti wakaingia uwanjani hiyo tarehe 8.
Kwa akili ndogo tu utapewaje points? Sio mechi kuchezwa tu hata mamlaka za kuchezesha hiyo mechi hazikuwepo? Angalia kilichotokea Misri kutokuja kwa Al Ahl, yale ndiyo mazingira ya kupewa points.
Kichekesho unaenda kumdai point 3 mtu ambae alikuambia hakuna mechi, imeahirishwa. Yanga wanahisi kuwa wakienda CAS wanapewa point 3 ila ukweli wanajisumbua.Mamlaka zitumie hii fursa kuionyesha Yanga na godfathers wao serikalini kuwa wako imara.
Simba wametengeneza njia Bodi na TFF waifuate. Kuna namna Yanga wanadharau mamlaka. Fikiria nani aliwafungulia Yanga geti wakaingia uwanjani hiyo tarehe 8.
Kwa akili ndogo tu utapewaje points? Sio mechi kuchezwa tu hata mamlaka za kuchezesha hiyo mechi hazikuwepo? Angalia kilichotokea Misri kutokuja kwa Al Ahl, yale ndiyo mazingira ya kupewa points.
Na huu ndio ukweli halafu kuna watu wanajilazimisha kuamini kuwa Yanga watapewa points 3 za dezoKichekesho unaenda kumdai point 3 mtu ambae alikuambia hakuna mechi, imeahirishwa. Yanga wanahisi kuwa wakienda CAS wanapewa point 3 ila ukweli wanajisumbua.
Bodi ya ligi imeahirisha mechi kwasababu za kiusalama na mmb mengine. Na bodi ndo wenye mamlaka. Hapa bodi watawambia CAS mechi ilihirishwa kwa sababu za kiusalama na kila timu ilipewa taarifa.
Haikutosha wakapeleka basi lao Bunju kudai mechiKuhusu meneja wa uwanja kukataa kuwafungulia geti Simba ambao wanalindwa na kanuni lakini akawafungulia Yanga ambao mechi imeahirishwa nadhani hapo ndipo linakuja suala la rushwa ambalo limejitokeza kwenye uchunguzi kwa mujibu wa taarifa ya Afisa Usalama wa mechi.
Yanga wenyewe wanajua ukweli kuhusu ule mchezo kuahirishwa ni basi tu kutusumbua. Yaani mlitaka limpira lenu lituharibie hotuba nzuri ya siku ya wanawake? Kamwe asilani tusingekubali.Kumekuwa na madai ya mashabiki wa Yanga humu jukwaani kuwataka bodi wawajibu barua yao ya kugomea mechi itakayopangwa na bodi, hatimaye bodi wamevunja ukimwa kwa kuwaambia Yanga kuwa hakuna points 3 za bure,na kuwa wamevunja kanuni kwa kukaidi agizo la bodi la kuahirisha mechi kwa kupeleka timu uwanjani ambako kwa mujibu wa kanuni 47:18 adhabu yake wanaweza kushushwa daraja.
Na pia wamejibiwa kuwa hakuna sehemu kwenye kanuni inayoitaka timu mgeni kuwasiliana na wadau ili kutimiza takwa la kikanuni la wao kufanya mazoezi.
Ngoja tuone hili tishio la kutunishiana misuli na mamlaka za soka litaishia wapi.
Wewe utaweza kunipikia Milo mitatu Nile na kuridhika kweli?Nyie mnaotaka point 3 ndo mna uzuzu...yani ufike uwanjani ww na genge lako ulazimishe upewe point 3...hata akili ya kuvukia tuu barabra haiko hivyo..mpira umehairishwa toka saa8...
Kuna vitu wabongo tunashindwa ku reason kwasababu ya usimba na uyanga, Simba waligomea mechi lakini kitendo cha bodi ya ligi kukaa kikao cha kumjadili mtu aliyegoma ni kuonesha udhaifu mkubwa sana katika usimamizi na utekelezaji wa kanuniMamlaka zitumie hii fursa kuionyesha Yanga na godfathers wao serikalini kuwa wako imara.
Simba wametengeneza njia Bodi na TFF waifuate. Kuna namna Yanga wanadharau mamlaka. Fikiria nani aliwafungulia Yanga geti wakaingia uwanjani hiyo tarehe 8.
Kwa akili ndogo tu utapewaje points? Sio mechi kuchezwa tu hata mamlaka za kuchezesha hiyo mechi hazikuwepo? Angalia kilichotokea Misri kutokuja kwa Al Ahl, yale ndiyo mazingira ya kupewa points.
Ukiwa shabiki wa simba na Yanga, lazima uwe na matatizo ya kiakili
Ukiwa shabiki wa simba na Yanga, lazima uwe na matatizo ya kiakili