Mchezaji gani unadhani ataamua Dabi ya Kariakoo?

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
444
Reaction score
617
Dabi ya Kariakoo si lazima iamuliwe na jina kubwa zaidi, bali inaweza kuamuliwa na mtu mmoja atakayetoa tofauti wakati ambao hakuna anayetarajia!

1791524997648.png
Simba SC na Yanga SC zinatarajiwa kukutana Jumamosi, Oktoba 10, 2026, saa 1:00 usiku, kila timu ikisaka alama tatu muhimu katika mbio za ubingwa wa ligi.

1791525067809.png
Yanga inaingia kwenye mchezo huo ikiwa na rekodi ya kushinda mechi zote sita za ligi, kufunga mabao 16 na kuruhusu mawili pekee. Simba nayo imeshinda mechi zote sita, ikifunga mabao 11 na kuruhusu mawili.

Katika dabi tano zilizopita hadi Mei 2026, Yanga haikufungwa na Simba, ikishinda tatu na kutoka sare mbili.

Soma pia kuhusu Dabi ya Kariakoo
 
Bila shaka Ibrahim doumbia (Victor Osimhen wa bongo) atafanya jambo hapo kesho
 
Dabi ya Kariakoo si lazima iamuliwe na jina kubwa zaidi, bali inaweza kuamuliwa na mtu mmoja atakayetoa tofauti wakati ambao hakuna anayetarajia!

Simba SC na Yanga SC zinatarajiwa kukutana Jumamosi, Oktoba 10, 2026, saa 1:00 usiku, kila timu ikisaka alama tatu muhimu katika mbio za ubingwa wa ligi.

Yanga inaingia kwenye mchezo huo ikiwa na rekodi ya kushinda mechi zote sita za ligi, kufunga mabao 16 na kuruhusu mawili pekee. Simba nayo imeshinda mechi zote sita, ikifunga mabao 11 na kuruhusu mawili.

Katika dabi tano zilizopita hadi Mei 2026, Yanga haikufungwa na Simba, ikishinda tatu na kutoka sare mbili.

Soma pia kuhusu Dabi ya Kariakoo
Mudathiri na diarra a.k.a dole la kati
 
Back
Top Bottom