Kuna vitu wabongo tunashindwa ku reason kwasababu ya usimba na uyanga, Simba waligomea mechi lakini kitendo cha bodi ya ligi kukaa kikao cha kumjadili mtu aliyegoma ni kuonesha udhaifu mkubwa sana katika usimamizi na utekelezaji wa kanuni
Angalia kwenye ligi ya Misri, Al Ahly waligoma na walikuwa na sababu ya msingi ya kugoma kwao lakini hukuona upuuzi wa watu kuangaika kuitana na kukaa vikao vya ghafla. Huu udhaifu wa bodi ya ligi mashabiki wa Simba wanashindwa kuliona kwavile wamefanya kitu kwa kupendelea upande wao. Yanga wamefanya kosa la kuzuia timu ngeni kufanya mazoezi ilipaswa kuadhibiwa kulingana na kanuni