Bodi ya Ligi yaijibu Yanga "Hakuna points 3 za bure"

Bodi ya Ligi yaijibu Yanga "Hakuna points 3 za bure"

Mbumbumbu hamnaga akili sasa huyo binti Kazumari ndio body ya ligi?
Sijamuongelea hapa huyo binti mimi simjui binti anaitwa kazumari...utakua unaumwa wewe...mimi nimeongelea genaraly huko mitandaoni mnavyojitoa ufahamu mazuzu nyie...
Na ww ukute unaitwaga binti somewhere.... 😊 😊 😊 😆
 
Msingi ni Yanga kupeleka mabaunsa wakafanye vurugu na kuhatarisha usalama wa wachezaji na viongozi wa Simba,kama Yanga wasingepeleka kikundi chao cha vurugu hayo yote yasingetokea maana bodi kwa mujibu wa taarifa yao wameeleza wazi wametumia taarifa ya Afisa Usalama wa mechi,je wewe umeiona hiyo taarifa ya Afisa Usalama wa mechi?
Wewe huwezi kufanya majadiliano na mimi nilishakwambiaga ni zero nikikutwanga maswali hapa hakuna hata moja utaweza kujibu
 
Wewe huwezi kufanya majadiliano na mimi nilishakwambiaga ni zero nikikutwanga maswali hapa hakuna hata moja utaweza kujibu
Siwezi kujadiliana na wewe kwa sababu uwezo wako ni mdogo sana, wewe ni kati ya wanaoota points 3 za bure sasa utaweza kujadiliana na mimi?Husomi barua za bodi na kulinganisha na kanuni,wewe akili zako umeshikiwa na viongozi wako wa Yanga,kila watakachosema wewe unaamini,wakikwambia Kagoma ni mchezaji wenu unaamini na kuungana nao kuzunguka na mkataba wake.Ukiona huwezi kujadiliana na mimi tafuta ignore button tu
 
Msingi ni Yanga kupeleka mabaunsa wakafanye vurugu na kuhatarisha usalama wa wachezaji na viongozi wa Simba,kama Yanga wasingepeleka kikundi chao cha vurugu hayo yote yasingetokea maana bodi kwa mujibu wa taarifa yao wameeleza wazi wametumia taarifa ya Afisa Usalama wa mechi,je wewe umeiona hiyo taarifa ya Afisa Usalama wa mechi?
Polisi.
 
Siwezo kujadiliana na wewe kwa sababu uwezo wako ni mdogo sana, wewe ni kati ya wanaoota points 3 za bure sasa utaweza kujadiliana na mimi?Husomi barua za bodi na kulinganisha na kanuni,wewe akili zako umeshiwa na viongozi wako wa Yanga,kila watakachosema wewe unaamini,wakikwambia Kagoma ni mchezaji wenu unaamini na kuungana nao kuzunguka na mkataba wake.Ukiona huwezi kujadiliana na mimi tafuta ignore button tu
Hakukuwa na dharura msilazimishe makolo.
Je, wangezuiwa njiani na mabaunsa wangegomea mechi?
Mchome ni Yanga lakini anavaa jezi za Simba, angeizuia Yanga mngesema huyo ni baunsa wa Simba?
Baunsa ni mtu tu huwezi kuwa na uhakika katumwa na nani, maana kama mnajua wametumwa si mngeitaa Polisi? Chap tu kutoka Chang'ombe lakini mnajua kuwa Manager aliwakatalia.
 
Msingi ni Yanga kupeleka mabaunsa wakafanye vurugu na kuhatarisha usalama wa wachezaji na viongozi wa Simba,kama Yanga wasingepeleka kikundi chao cha vurugu hayo yote yasingetokea maana bodi kwa mujibu wa taarifa yao wameeleza wazi wametumia taarifa ya Afisa Usalama wa mechi,je wewe umeiona hiyo taarifa ya Afisa Usalama wa mechi?
Mtacheza nyie na Simba queens
 
Sijamuongelea hapa huyo binti mimi simjui binti anaitwa kazumari...utakua unaumwa wewe...mimi nimeongelea genaraly huko mitandaoni mnavyojitoa ufahamu mazuzu nyie...
Na ww ukute unaitwaga binti somewhere.... 😊 😊 😊 😆
wewe ndio unaumwa kafanye vipimo hauja chelewa
 
Hakukuwa na dharura msilazimishe makolo.
Je, wangezuiwa njiani na mabaunsa wangegomea mechi?
Mchome ni Yanga lakini anavaa jezi za Simba, angeizuia Yanga mngesema huyo ni baunsa wa Simba?
Baunsa ni mtu tu huwezi kuwa na uhakika katumwa na nani, maana kama mnajua wametumwa si mngeitaa Polisi? Chap tu kutoka Chang'ombe lakini mnajua kuwa Manager aliwakatalia.

Hakukuwa na dharura msilazimishe makolo.
Je, wangezuiwa njiani na mabaunsa wangegomea mechi?
Mchome ni Yanga lakini anavaa jezi za Simba, angeizuia Yanga mngesema huyo ni baunsa wa Simba?
Baunsa ni mtu tu huwezi kuwa na uhakika katumwa na nani, maana kama mnajua wametumwa si mngeitaa Polisi? Chap tu kutoka Chang'ombe lakini mnajua kuwa Manager aliwakatalia.
Ulikuwepo eneo la tukio? hukuona kuwa polisi nao walikuwepo uwanjani usiku ule?Bodi wamesema kuwa wametumia ripoti ya Afisa Usalama wa mechi kuahirisha mechi hiyo,umeiona taarifa yote ya Afisa Usalama wa mechi? Hujui kuwa jukumu la usalama uwanjani ni jukumu la polisi na Afisa Usalama wa mechi ni Afisa wa jeshi la polisi?Hao police unaodai wangeitwa ni kutoka nchi gani wakati polisi wa Tanzania walikuwepo uwanjani?
 

Attachments

  • Screenshot_20250317-144018.png
    Screenshot_20250317-144018.png
    444.6 KB · Views: 14
Kumekuwa na madai ya mashabiki wa Yanga humu jukwaani kuwataka bodi wawajibu barua yao ya kugomea mechi itakayopangwa na bodi, hatimaye bodi wamevunja ukimwa kwa kuwaambia Yanga kuwa hakuna points 3 za bure,na kuwa wamevunja kanuni kwa kukaidi agizo la bodi la kuahirisha mechi kwa kupeleka timu uwanjani ambako kwa mujibu wa kanuni 47:18 adhabu yake wanaweza kushushwa daraja.

Na pia wamejibiwa kuwa hakuna sehemu kwenye kanuni inayoitaka timu mgeni kuwasiliana na wadau ili kutimiza takwa la kikanuni la wao kufanya mazoezi.

Ngoja tuone hili tishio la kutunishiana misuli na mamlaka za soka litaishia wapi.

Hawatupi za simba tunachukua point tatu kwao.
 
Kwani bodi ya ligi ndio huwa wanashindwa kesi kule CAS kila wanapokwenda? Uongozi wa Yanga uliwaminisha washabiki wao kuwa Kagoma ni mchezaji wao hadi kutembea na mkataba wake,mlifikia wapi na mwanasheria wenu Patrick?Vipi kuhusu Morrison?
Chukeni nyinyi hizo point tatu sisi tunashuka daraja
 
Tukiacha mambo ya usimba na uyanga. Tuliza akili yako kama mtu wa mpira mwenye akili timamu, hivi kwenye hili sakata unaona kuna namna yoyote Yanga kupewa point 3 za mezani?
Watz akili zetu tunazitumia vibaya sana. Wenye mamlaka na hii ligi ni bodi ya ligi. Hata ukienda CAS hakuna point 3 za bure.
 
Mwandishi wa habari za kiuchunguzi, legend wa soka nchi hii,mtendaji wa zamani wa TFF, meneja wa zamani wa Azam FC,CEO wa JKT Tanzania,mchambuzi wa soka.Sifa hizi zinamfanya kuwa chanzo cha kuaminika cha habari za soka nchi hii
Mashoga sikuhizi ndo malegend
 
Mtu anaandika sio sababu ya Simba kugomea.

Unajiuliza maswali, kwahiyo Simba wasingegomea wao wangeaihirisha mechi kutokana na sababu ipi?
2) Walikutana kujadiliana ni nini kama sio barua ya Simba ya kugomea mechi?

Msingi wa kuahirisha mechi ni kugoma kwa Simba kucheza mechi wala wasipindishe kauli.
Kama wale wavuta bangi mabaunsa waliotumwa na Uongozi wa Yanga wasingeifanyia fujo Simba na kuizuia kufanya mazoezi yote haya yasingelitokea, tunataka kabla ya mechi hiyo Club ya Yanga iadhibiwe kwa kosa walilofanya usiku wa tarehe 7 March kuizuia Simba kufanya mazoezi.
 
Back
Top Bottom