BodaBoda date-out or delivery?

Sio mbaya, hata mkipanda punda si mtafika huko nmnakoenda (outing) na kipenzi chako ?

For me hii sio shida kabisa, mnaweza hata kutembea pia ! Tatzo watu wamekariri, na pia outing sio lazima iwe five star ๐ŸŒŸ.... ni popote pale unapohisi mpz wako ataenjoy pia kulingana na budget yako
 
"Kupitia mada zako napata picha we ni mwanamke wa aina gani" kuna mlevi atakuja kucomment hivi tuwe wapole tu.
 
Ni kweli kabisa Kitalembwa.๐Ÿ˜›
 
Mkuu,

Hapo mwisho mengine tunamezea kwa uzalendo tu.

Unajua tena nyumbani ni nyumbani tu na kuna ukweli fulani ukiusema unaweza kuonekana unatukana watu.
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† Naam ni kweli mkuu nakuelewa sana
 
Mimi tunapiga mguu, ukichoka na kubeba mgongoni na mimi niki choka unanibeba mgongoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ