BodaBoda date-out or delivery?

Mkuu,

Hapo mwisho mengine tunamezea kwa uzalendo tu.

Unajua tena nyumbani ni nyumbani tu na kuna ukweli fulani ukiusema unaweza kuonekana unatukana watu.
 
Mzee wa busara.
Heshima Yako 😝
 
Kama Mo alipanda boda awahi kikao(alishachelewa), ERoni ni nani, yaani mkidis bodaboda mjue mnaigusa jamii kubwa sana ya watanzania.

Wengi hapa sio wa date-out, ni delivery kama ilivyo hoja ya mleta mada!!πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…