Boda boda na wake zetu

Boda boda na wake zetu

Nakushauri kitu kidogo sana!
Kuna maisha baada ya kuchapiwa au kufumania mke wako, usiharibu maisha kisa mtu mliyekutana naye mkiwa na meno 32.

Kama una miaka 35 kushuka chini hautanielewa.
Mwanamke si kiumbe wa kupambana naye, atakuua huyo. Tuliza roho, kunywa maji mengi, punguza presha, kesho wahi kazn upge kazi! Kuwa serious na kazi ndo itakupa hela..
Oa pesa na olewa na pesa!

Kama hampo ofisi moja, usije omba uwatembelee ofisin wakati wa chai au chakuli, nasemaje nasemajee kwa akili yako hyo ya panzi utajinyonga
 
Back
Top Bottom