Boda boda na wake zetu

Boda boda na wake zetu

Mwanamke anaecheat hutakiw hata kumfatilia,utajua tu ingawaje kwa kuchelewa

Relax bro!

Mim huwa naishi na wanawake kama sina time nao na mwsho wa siku huwa wanajiweka kwenye mstari wao wenyew

Nimeshaishi na ambao wamezoea kuwa na mabwana zaidi ya mmoja lakin kwa jinsi ambavyo huwa siwafatilii mimi ni kupiga mashine tu mpaka inachanganyikiwa unajikuta demu mwenyewe anaacha ujinga wake wote

Yaan mke kuchat na boda wake tu ushahisi ujinga
 
Nyie mliokataa kuhasiwa bado mnasumbuliwa na mapenzi.mimi niliye hasiwa kupitia kemikali naishi raha mstarehe.sijisumbui kupenda hawa masheitani ya wanawake, maana ni mapepo na hawana lolote ni usenge tu.
 
Mshitukize siku moja mpe ugolo anuse then uone kama kuna vitu vitatoka?,ukiona jua kwishaa habari yakee
 
20250926_084015.jpg
 
''akanipa cash nijaze mafuta ili nimfate baadaye."

Kuna tatizo ambalo hutakuja limaliza tofauti na kuachana nae.
Watu wazima wanaelewa.
 
Insonesha wewe mwenyewe sio mwaminifu
 
Back
Top Bottom