MIHULU
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 490
- 701
Aiseee leo nilimpeleka wife saloon na usafiri wangu, akanipa cash nijaze mafuta ili nimfate baadaye.
Wote ni watumishi.
Ile kamaliza, katuma text “nimemaliza,” nikaanza kujipanga nimfate, mara namuona kaibuka home.
Nikamuuliza umekujaje, akasema kampigia boda. Nikamuuliza ulipo text ukaona kimya, uliona tabu kupiga? Akasema boda mwenyewe kamkuta njiani.
Simu yake ilikuwa tofauti, inaonekana amepigia boda na wamechati.
Niko down vibaya guys.
Nilikua close na phone balaaa.