Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 71,320
- 105,727
- Thread starter
- #61
Yakhe, wewe unajua kuwa mungu hayupo au unaamini kuwa mungu hayupo?
Hakuna mtu yeyote anayejua chochote, kwishney.
Niambie wewe unajua nini ?
Kuna ana acceptable margin of error tu, na kwa kufuata hiyo, najua mungu huyu mjua yote na mwenye upendo usio mwisho hayupo.
Kama angekuwapo ulimwengu usingekuwa fyongo hivi.