Blog ina miaka 2 lakini hali mbaya!

Bado blog ni deal maana ata wazungua wanaamini sana blog sema wao blog zao zime base upende mmoja,mfano blog ya afya inabidi Taarifa zote za afya uwe nazo na uchambuzi wakina hii itakusaidia kupata matangazo la afya na inakubidi uwe connected na watu kuna dada ana blog ya afya uwezi amini alipewa dola 2000 na UN
Ilikueje
 
Ushauri mwingi uliopewa humu hauna uhalisia na umetoka kwa members wengi ambao hawamiliki blog ama website.

Kwanza tambua msingi wa watembeleaji kwenye blog kwa sasa ni Search engine(Google search), kwa maana unapaswa ujue keywords watu wanazoandika kwenye google pindi wakiwa wanasachi kwenye google

Hizi hapa chini ni takwimu za watembeleaji kwenye tovuti yangu ambao wote ni wateja wanaotaka kununua bodhaa fulani
1710578459838.png

Hawa wote wanatokea google.

Unaiona hii jamiiforums, kwa takwimu za wakati huu (saa tano dakika 45 asubuhi) kuna watembeleaji 9,807 huku wanachama 1,119 tu, unajua hao watembeleaji 8,688 wanatokeo wapi? Ni Google kwa asilimia kubwa

Unajua hata forums zilisemwa zimekufa ila zipo forums zinafanya vizuri mfano Jamiiforums na hata kuna nyingine naiona inaitwa Jamiitalk.

Ni ngumu kueleze kiundani sababu ya watembeleaji kuwa wachache kama bila kuona blog yenyewe
 
Bado blog ni deal maana ata wazungua wanaamini sana blog sema wao blog zao zime base upende mmoja,mfano blog ya afya inabidi Taarifa zote za afya uwe nazo na uchambuzi wakina hii itakusaidia kupata matangazo la afya na inakubidi uwe connected na watu kuna dada ana blog ya afya uwezi amini alipewa dola 2000 na UN
Mbongo?
 
Kazi yoyote unayoanzisha ni lazima ufanye research ukiingia kwa lengo la kupiga pesa huku hauna elimu inayojitosheleza utakwama tu tafuta elimu kwenye hiyo kazi ukiyoichagua fanya research wanaofanikiwa kwenye blogs wanatumia njia zip
 
Tanzania siku hizi kuna Yoiutube Channels nyingi sana za mpira mpiura wa miguu, ingawa wanaziita eti za Michezo lakini ni za mpira wa miguu tu. Nusu ya channel hizo huriuipoti ungo tu na nyingine hazina hata video zinbaweka static image st . Jaribu huko
 
Ni mbongo si yeye tu wapo wengi wanapiga pesa mimi nikiwemo ila mimi ni online Radio
Umeniinspire na online radio yako umekuja tofauti. Niliuliza hivyo kwa sababu nilitaka kujua kama ni mbongo au ni wa mbele maana niliona ilikuwa ela kidogo ila kama ni mbongo ni nyingi. Kitu kimoja ambacho nimekinotice... Huwezi fanya mtu anachofanya ukafanikiwa unless kiko ndani yako.
Mimi na earn ela ndefu online but si kati ya hayo yote. Blogging ilinishnda sikumaliza hata mwezi nikaona si passion yangu. YT same, nikaja kuona passion yangu ni kuuza services zangu. Yani ile mikutano na maclients, feedback za kazi nilizofanya, ratiba za vikao nao mwezi mzima I just enjoy every bit of it.
 
Ulichosema ni sahihi kabsa,alfu mi nasema kila siku kama hauko connected na watu uwezi kufanikiwa kwa haraka mtu una blog yako ata rafiki zako awajui sasa utafanikiwa vipi? Ujajiunganisha na bloggers wezio huna social network dah!

Sikiliza Tzgospel Radio hapa Tzgospel Radio

Tuna habari kutoka bbc,dw swahili,tbc taifa na kbc taifa na vipindi vingine vingi kikubwa ni burudani
 
Back
Top Bottom