Blasia za madada zetu!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Blasia za madada zetu!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by KakaKiiza, Sep 16, 2010.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Sep 16, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Hivi kwa kina dada inakuwaje unakuwa mzuri wakila kitu lakini unajisahau kwenye blasia??wengi nawaona!!wengini kwenye usafiri wetu huu wa daladal una kuta demu kapimp viwalo lakini wakati ameshika bomba la daladala chungulia kwapa sindria imechafukaaa!!!Unajiuliza huyu na uzuri wote kweli au hata likufuli waweza kuta yalah!
  Katika pitpita nimekumbana nayo sana hii!!nasijui nikwa nini??Akina dada watatwambia maana humu JF tunao ma intelligent watajibu kama hawataingia mitini!
   
 2. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #2
  Sep 16, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,067
  Likes Received: 1,805
  Trophy Points: 280


  lol... alafu ukawa unachungulia kila baada ya 5min..
   
 3. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #3
  Sep 16, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Man nilikuwa na hasira
  NIMEFUNGULIA kwa hii post yako
  nimecheka sana
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Sep 16, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Broda,
  Wewe ulipata ujasiri gani wa kuichunguli na kuichambua hivyo, kwamba iko chafu, au ulikuwa na mission ingine?
  Ukimaliza hii andika pia kuhusu "mitambo ya fungus ya wanaume!"....huh!
   
 5. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #5
  Sep 16, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Kwakuwa safari ilikuwa ndefu na wote tumesimama basi ilikuwa issue niwengi niwengi na wapo sasfii tena wamofisini siyo wakata nyasi!
   
 6. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #6
  Sep 16, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Tena hapa nilipokaa nimesikia funny-sound fulani hivi kukagua nagundua sikubadilisha soksi za viati za jana. Miguu yangu lakini nakereka kweli kweli
   
 7. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #7
  Sep 16, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Umenikumbusha mbali kwani kuna siku nilienda kwa rafiki yangu hapo ada estate kumuona jamaa alikuwa anaumwa!alikuwa RSA kafanyiwa operation sasa nikafika nikakuta yupo na jamaa2 kati yao nijamaa namjua ila alivaa soksi kisigino nje navidole nje nikashindwa kuelewa wakati anavaa alikuwa anavaa kama anavaa soksi au?? sasa basi harufu!!unajua watu wengi huwa hawana choice ya sokisi akiona mmachinga anauza ananunua wakati zile ni nylon!! unavaa lisaa limoja harufu yake utakoma ilibidi nijenge hoja kwa mshikaji kwamba kwanini tusikae nje tupate upepo jamaa akanielewa alishindwa kusema!!Hivyo nimatatizo juu ya matatizo!
   
 8. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #8
  Sep 16, 2010
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  huenda JAMAA ALITONGOZA AKAENDA KUMEGA AKUKUTA TOTO VIWALO SI VYENYEWE, POLE ILA KUOKOTEA NDIO MADHARA YAKE HAYO
   
 9. M

  MgonjwaUkimwi JF-Expert Member

  #9
  Sep 16, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 1,288
  Likes Received: 521
  Trophy Points: 280
  Bora hata huyo ambaye blazia hajafua, nilikutana na moja kwa nje kavaa kama Beyonce ila kwa ndani blazia yake anatumia mipira ya baiskeli (manati), ilituchukuwa muda kuitafuta blazia wakati tunaondoka mana alipoifungua iliruka kutoka kitandani na ikajitundika kwenye kitasa cha mlango.....kidogo ncheke.
   
 10. RAJ PATEL JR

  RAJ PATEL JR JF-Expert Member

  #10
  Sep 16, 2010
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Time for Tanzanian women to start wearing Punjabi or Burkha!
  Hare Krisha!
   
 11. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #11
  Sep 16, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  :becky::becky::becky::becky:uwiiiiii!Yaani nimechelka hadi usingizi kwishnei,lolz!
   
 12. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #12
  Sep 17, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,897
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Inabidi tuwaelimishe polepole mpaka waelewe umuhimu wa usafi.Kwa kuanzia nawapa mfano wa wanyama kama mbuzi ,punda,ngòmbe na wengineo walao majani,palepale maziwa yanapokaa kwa mwanamke,ndipo palepale mbulungu zinapokaa kwa mwanaume kwa maana hiyo basi na wao akina dada wayajali matiti yao kwa usafi na kuyasitiri kama vile sisi tunavyositiri mbulungu zetu.Na sivyema kuyatembeza waziwazi au kuyaacha katika hali ya uchafu ni kujitafutia magonjwa.
   
 13. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #13
  Sep 17, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,897
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145


  Mh Kingàsti kwenye hiyo Avatar yako unaramba nini tena ndugu yangu.
   
 14. M

  MgonjwaUkimwi JF-Expert Member

  #14
  Sep 17, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 1,288
  Likes Received: 521
  Trophy Points: 280
  Dah, watu tuko tofauti....mwenzenu napenda demu awe mchafu kidogo....kaarufu ka kusisimua kwa mbaaaaaaaaaali, na tukimaliza sitaki nioge at least kwa siku mbili ili niwe nanukizia nikiwa kazini....kwa raha zangu. Akiwa msafi sana nakuwa turned off.
   
 15. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #15
  Sep 17, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Mweeeee!!! I thought I've heard it all but this one right here....oh man oh man:becky::becky::becky::becky:
   
 16. M

  MgonjwaUkimwi JF-Expert Member

  #16
  Sep 17, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 1,288
  Likes Received: 521
  Trophy Points: 280
  Yep, hujaona mbuzi dume akimnusa mbuzi jike kwa nyuma kisha anabinua midomo yake na kuinua kichwa juu akiomba sala kwa muumba akisema "god bless the woman", unazani anafanya kwa kuchukia harufu?
   
 17. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #17
  Sep 17, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Oh yeah mabeberu wanapenda sana kufanya hizo. Dizaini mbunye ya mbuzi jike ina kaharufu flani kamleteako ashki beberu...
   
 18. M

  MgonjwaUkimwi JF-Expert Member

  #18
  Sep 17, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 1,288
  Likes Received: 521
  Trophy Points: 280
  Yep, sasa ile harufu ndo inapandisha mzuka....na nisipoisikia niko tayari kuvaa kinyago aka kujifunika makalio mithiri ya "vicks"
   
 19. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #19
  Sep 19, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,897
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  :becky::becky::becky::becky::becky:mbavu zangu mie
   
 20. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #20
  Sep 19, 2010
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  KakaKiiza ulichosema ni kweli kabisa,hata juzi nilikuwa nikiliongelea hilo na moja ya rafiki zangu,baadhi ya wanawake wanathamini urembo wa nnje na kutokuthamini ndani si braa pekee hata pants!unakuta ni chafu,zimefubaa hata rangi hazieleweki tena na kwa upande wa brazia huitaji hata kuchungulia coz wakati mwingine mikanda inaweza kutokeza kny bega nnje ya nguo so unaona ilivyo michafu,,argh!
   
Loading...