Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,602
- 20,101
Kwa hiyo unalipizia na lijeki li chafu ili kumkomoa na m boxer wake!!!!!
Aaaghka.sjamaansha kulpiza..but I talk to other side
Kwa hiyo unalipizia na lijeki li chafu ili kumkomoa na m boxer wake!!!!!
Aaaghka.sjamaansha kulpiza..but I talk to other side
Nimesoma huu uzi nikacheka sana mpaka machozi, hasa kwenye comment za MgonjwaUkimwi afu sijui bado yuko active??
Kiukweli wadada wengi wanajisahau sana katika suala zima la Underwear na bra...
#ItBeginsWithYou
Hayaaaaa japo picha!!!!
Picha ya nn sasa????
Na nyinyi wakaka na boxer zenu chafuuuuuu mpaka znabadlka rangi from white to dirt yaan rang ya maziwa s maziwa full uchafu
Jamani kwani tunaongelea nini???????
Vaa nyeupe leo mpaka Ijumaa then weka picha tafadhali usiniangushe kan'tangaze
ahahaaa na wasivyopenda kuvaa nyeupe coz washajijua ni shidaa
Ha ha ha ha ha..sema MankaM semaaa.wanajkuta sana hao kuwasema wadada tu.wakat wenywe wachafuuuuuuahahaaa na wasivyopenda kuvaa nyeupe coz washajijua ni shidaa
Jamani kwani tunaongelea nini???????
Vaa nyeupe leo mpaka Ijumaa then weka picha tafadhali usiniangushe kan'tangaze
Wengine ni wachafu tu... Kuna mdada aliwahi kusema "Mie sipendi chup nyeupe, napenda za crazy color" nilimuangalia alivyo sista du hata sikuamini....