Blasia za madada zetu!!

Bora hata huyo ambaye blazia hajafua, nilikutana na moja kwa nje kavaa kama Beyonce ila kwa ndani blazia yake anatumia mipira ya baiskeli (manati), ilituchukuwa muda kuitafuta blazia wakati tunaondoka mana alipoifungua iliruka kutoka kitandani na ikajitundika kwenye kitasa cha mlango.....kidogo ncheke.

ha haaaaaaaaaaaa, MgonjwaUkimwi, umenifanya niishiwe nguvu kabisa kwa kucheka. sasa huyo kazidi, hadi kwenye date anavaa manati? au ndo alikuwa nayo hiyo hiyo?
 
Bora hata huyo ambaye blazia hajafua, nilikutana na moja kwa nje kavaa kama Beyonce ila kwa ndani blazia yake anatumia mipira ya baiskeli (manati), ilituchukuwa muda kuitafuta blazia wakati tunaondoka mana alipoifungua iliruka kutoka kitandani na ikajitundika kwenye kitasa cha mlango.....kidogo ncheke.
hahahahahaha,,huyo naamini hakujua kama angekutana na wewe maana angebadilisha asingevaa manati wengi wao huwa wana za mtoko,,,lol:smile-big:
 
Du!! mgonjwaukimwi kiboko!! hii mipira ya manati bwana!! :becky::becky::becky::glasses-nerdy::confused2::confused2::confused2:
 
Dah, watu tuko tofauti....mwenzenu napenda demu awe mchafu kidogo....kaarufu ka kusisimua kwa mbaaaaaaaaaali, na tukimaliza sitaki nioge at least kwa siku mbili ili niwe nanukizia nikiwa kazini....kwa raha zangu. Akiwa msafi sana nakuwa turned off.

Ahsante Mkuu!!!!!, Kumbe hizo ndo zako!!!!( Mwaacha CHOO cha Nyumbani Kiswafi, Wenda choo cha Manispaaa!!!!!!!!)
 
Nawengi wenye asili hiyo ukimbilia nyeusi!!Huwanacheka sana maana niaibu nawao wamechukulia kuwa hawaonekani huko!!
 
Bora hata huyo ambaye blazia hajafua, nilikutana na moja kwa nje kavaa kama Beyonce ila kwa ndani blazia yake anatumia mipira ya baiskeli (manati), ilituchukuwa muda kuitafuta blazia wakati tunaondoka mana alipoifungua iliruka kutoka kitandani na ikajitundika kwenye kitasa cha mlango.....kidogo ncheke.

hapana, hizi nyingine ni balaa....jamani nimecheka sana haaaa hadi machozi.
 
Bora hata huyo ambaye blazia hajafua, nilikutana na moja kwa nje kavaa kama Beyonce ila kwa ndani blazia yake anatumia mipira ya baiskeli (manati), ilituchukuwa muda kuitafuta blazia wakati tunaondoka mana alipoifungua iliruka kutoka kitandani na ikajitundika kwenye kitasa cha mlango.....kidogo ncheke.

Jamani watu wana vituko humu JF yaani nimecheka mpaka staff mwenzangu ananishangaa hapa lol. kweli humu ni kwa kupunguzia stress
 
Mimi nafikiri wadada wengi ni wavivu tu wa kununua nguo za ndani especially bra na chupi ndio maana unakuta anatoka nayo wiki nzima akisubiri siku yuko nyumbani aifue. Kama ikitokea hata huo muda hajapata basi ndio itajiju mpaka kama ni mpya inakuwa mama nibebe kwa wiki mbili tu.

na wanafanya hivyo wakijua humo ndani hakuna anaewachungulia, kumbe hawajui janga lolote linaweza kukukuta njiani ukaabika sasa ukichanganya na joto la Dar na bra iliyovaliwa wiki nima bila kuonja maji ni kasheshe. Pengine afadhali na wadada wa kibongo maana wadada kama wa kinyaru ndio wengi wao kama 90% hawapendi kuoga asubuhi ni kunawa tu na kujipaka poda, pafyumu mtindo mmoja ukikutana naye njiani anavyomeremeta utazimia ngoja akusogelee au akugezie ****** usikie kapafyumu kama asiyetawaza na maji balaa. tehetehe:becky:
 
duuu huyo kazidi loo unakuta kavaa sidiria nyeupeee lakib imekomaa hatar na ile smel mmmhhhh
 
Kwakuwa safari ilikuwa ndefu na wote tumesimama basi ilikuwa issue niwengi niwengi na wapo sasfii tena wamofisini siyo wakata nyasi!

mkuu mpaka wa maofisini umekagua!! kweli research yako ni kubwa, siongezi wala kupunguza neno
 
Na nyinyi wakaka na boxer zenu chafuuuuuu mpaka znabadlka rangi from white to dirt yaan rang ya maziwa s maziwa full uchafu
 
Dah, watu tuko tofauti....mwenzenu napenda demu awe mchafu kidogo....kaarufu ka kusisimua kwa mbaaaaaaaaaali, na tukimaliza sitaki nioge at least kwa siku mbili ili niwe nanukizia nikiwa kazini....kwa raha zangu. Akiwa msafi sana nakuwa turned off.

Kumbe upo kama mimi
 
Back
Top Bottom