Blackberry ni tatizo

Blackberry ni tatizo

moko

Member
Joined
Apr 9, 2011
Posts
57
Reaction score
2
Wadau kuna blackberry nimetumiwa kutoka nje aina ni script naona haina lain,je wakuu hakuna visoftware tunaweza kuiongiza ndani yake tukatumia lain za bongo?wajanja nipeni utundu
 
Wadau kuna blackberry nimetumiwa kutoka nje aina ni script naona haina lain,je wakuu hakuna visoftware tunaweza kuiongiza ndani yake tukatumia lain za bongo?wajanja nipeni utundu
Hapo cha kufahamu ni je ilikuwa inatumika na mtandao gani nje?
 
Nenda ttcl,sasatel au zantel watakusaidia.
 
Nambie ni blackberry gani hiyo nitakusaidia.ni pm kama vip

Utamsaidiaje zaidi ya ushauri waliompa mpa hao wengine mkuu.????Ebu toa malezo hapa tuelimike wengi.?

Au una kampuni yako ya CDMA?
 
Wakuu kiukweli ni cdma,ss hebu tuambiane kua hao zantel au sasa tel ni kitu gani wataifanyia ili nasi tujue jinsi yakufanya wenyewe,nimeupenda maunjanja ya humu ndani sn
 
Mkuu, ingekuwa vizuri zaidi endapo unge tuambia ni blackberry model ipi?

Maana kuna baadhi ya BB sehemu ya kuwekea line zimejificha, mfano BB 8830WE Hii ina support technolojia zote mbili GSM na CDMA, hii BB ukiangalia kwa wasi wasi unaweza dhani hiana sehemu ya kuwekea line.
 
Back
Top Bottom