Black Monday??

kweli siku hazilingani.
hii siku inakuwa ngumu sana kuimaliza.
Ari yangu iko chini sana.

Sijui ndo black monday???
Not my usual thing, ngoja nikapige ulabu labda itasaidia.

nilikumiss sana
si unajua tulivyokuwa tunasimuliana siku ile ulivyomuokoa mtoto asigongwe na gari.

Stchwainn!
Mi nikajua nishapendwa ivo, kumbe unataka tusimuliane ya mtoto wa Mama Felista?
Aaaaagh! Kweli sipendwi...
 
Eeeehhh!!! Unaenda kupiga ulabu tena...!! Angalia usije ukafukuzwa kazi. Shauri yako. usije ukasema sikukuonya!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom