Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,321
- 10,140
kutoa nini bure?vile si kuhongwa unafikiri nani anatoa bure?
kutoa nini bure?vile si kuhongwa unafikiri nani anatoa bure?
kutoa nini bure?
sawa mama,nakudedicate 'chaupele mpenzi'.hebu nenda kaniwish happy new year kaachie kibao kule
kordan moja inakua ndefu na nyingine fupi. hizi mvua na baridi ni balaa!. mia
acha umbea,unajishobodoa kwa mke wangu ili iweje?Copy kwa The secretary
acha umbea,unajishobodoa kwa mke wangu ili iweje?
Maskini Bishanga !!Yaani sehemu za mwili wake zimegoma kuhamia digitali!!!
acha umbea,unajishobodoa kwa mke wangu ili iweje?
Babu Jinga gia boksi yako imekufa.
Clutch je? Haifanyi kazi
Meno yake yamesagika gia haziingii:becky:
mh! Ngoja aje mwenyewe ajibu hizi tuhuma
Ushaona wapi chatu la Kibisa likinyanyuka?
Likijitutumua na kunyanyuka lazima lianguke papo hapo pwaa pwaa pwaa!