Bishanga hoi chakari!

Bishanga hoi chakari!

sijui atasema alikuwa wapi mwaka jana alisema mafuriko yalimzuia njiani, IDD alisema alikwama Machimboni sasa sikukuu hizi atasema nini maana hata mvua hakuna. au alienda Tanga kwa chabo atakuja na gazeti
Heheheeee
 
Nimebakizwa huku Tng kuna mdada aliniokota stand akanipeleka kwao. Nilipo fika nikafungishwa ndoa. Na wameniambia nikijaribu kukimbia mimba itahamia kwangu, msaada wako pls niludi kwetu

basi usikimbie we tembea...
 
bepari Bishanga, nimekumisije best!
Njoo nikupe Nyu Yia
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom